mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Mzee wetu Mkapa kwani hii Tume ya Uchaguzi unayotamani iwe huru siingewezekana wakati wa Utawala wako?Kama nakosea Mungu anisamehe. Nachoamini huyu Mkapa ndio alimpora Maalim Seif urais wa Zanzibar.
Pili huyu ndio mwasisi wa ubavu ubavu na ubabe inakuwaje leo katoka madarakani na anaonekana kachoka ndio anatubu.
Kwanini asiwambie aliowaweka madarakani watende haki? Kwanini alazimishe kupendwa?