Abdalla mpemba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 657
- 908
Kwani walio msindikiza Kikwete aikatae ya Warioba pale bungeni ni kina nani?Kwahiyo hutaki tume huru ya uchaguzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani walio msindikiza Kikwete aikatae ya Warioba pale bungeni ni kina nani?Kwahiyo hutaki tume huru ya uchaguzi?
Can't imaging Magufuli saying the same come 2030s.
Kwani chama gani kinahesabu kura kwa sasa na chama gani kinatangaza mshindi?
NEC ni nini?
Yuko kibiashara zaidi anatengeneza vivutio vya kitabu chakeMwl Nyerere ambae ni mwl wa Mkapa alishawishi Tanzania iingie katika mfumo wa vyama vingi, ni zamu ya mwanafunzi sasa kulivalia njuga hili hadi tume huru ya uchaguzi ipatikane!
Asiogope kunangwa, mara ooh mbona wewe ulikuwa hivi na vle...!
Hapo tutamuelewa, la sivyo tutajua anajikosha tu!...
Watu wa Mkuzi wamtenge tuu "mzee muongo" itakuwa fundisho kwa wengine kufanya ujinga wakitegemea wakiwa wazee na waongo watasamehewa.Muongo
Tafuteni kitabu kizima mkisome ili mkija hapa kutupa habari isiwe nusu nusu, tuelewe maana nzima.
Kuchomoa chomoa vipande huenda tusijue hilo limetokea katika context ipi?.
Wanaopondea mnataka bidamu afanyeje aeleweke?.
Kama taifa tuna madonda na Maumivu mengi yaliyotokea na hizi siasa siasa, na kitu kitaturudisha pamoja ni maridhiano na kusameheana. Kwangu Mimi andiko la BWM ni hatua muhimu kuelekea huko tusipokuwa vichwa ngumu. Maisha lazima yaendelee.
yaan mtu anatusimulia hadi kutuandikia kitabu jinsi alishiriki kuiba nan kunajisi nchi lakini anaachwa tuHe should be behind bars.
Ila yupo mtaani anatuuzia vitabu.
Tumegoma kununua kitabu chenye maandishi ya UNAFIKI
Kafika 80yr ndo umri wa kutafakari yote ya dunia ni ubatili, kuukimbiza upepo, yeye ndie aliyewaumiza Sana wapemba wakiwa na comandoo ambae nae Mungu kampiga upofu, kwa kushirikiana na Mahita ndio waliokuwa wakiifurumushia CUF mabomu kila siku
Sorry sijakuekewa point yako ni nini?
Kuna kitu kitaandikwa kwenye hicho kitabu kitakuwa kigeni masikioni mwa Watanzani labla iwe mambo ya Familia yake ila sio siasa za Tanzania.Tunatakiwa kukisoma kitabu.
Sababu tutatowa rejea ya dhambi za ccm kutoka kitabu cha mmoja wa wanaccm no-1