Benjamin Mkapa: Natamani kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi, Wapinzani wahusishwe kwenye kupiga na kuhesabu kura na kutangazwa mshindi

Benjamin Mkapa: Natamani kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi, Wapinzani wahusishwe kwenye kupiga na kuhesabu kura na kutangazwa mshindi

Tafuteni kitabu kizima mkisome ili mkija hapa kutupa habari isiwe nusu nusu, tuelewe maana nzima.
Kuchomoa chomoa vipande huenda tusijue hilo limetokea katika context ipi?.

Wanaopondea mnataka bidamu afanyeje aeleweke?.

Kama taifa tuna madonda na Maumivu mengi yaliyotokea na hizi siasa siasa, na kitu kitaturudisha pamoja ni maridhiano na kusameheana. Kwangu Mimi andiko la BWM ni hatua muhimu kuelekea huko tusipokuwa vichwa ngumu. Maisha lazima yaendelee.
 
Shetani akizeeka anakuwa malaika
Ukiwa nje ya uwanja ndo unaona makosa ya mchezo
 
Mwl Nyerere ambae ni mwl wa Mkapa alishawishi Tanzania iingie katika mfumo wa vyama vingi, ni zamu ya mwanafunzi sasa kulivalia njuga hili hadi tume huru ya uchaguzi ipatikane!

Asiogope kunangwa, mara ooh mbona wewe ulikuwa hivi na vle...!
Hapo tutamuelewa, la sivyo tutajua anajikosha tu!...
Yuko kibiashara zaidi anatengeneza vivutio vya kitabu chake
 
Tatizo sio la mtu binafsi bali ni mfumo mzima wa CCM. Wewe binafsi kama raisi unaweza kuwa na nia njema lakini mfumo hauwezi kukuruhusu. Rejea nia njema ya JK ya kuwa na katiba mpya,sijui nini kilijiri mwishoni, matokeo yake mambo yalivurugika na katiba haikupatikana.Horace Kolimba alipojaribu tu kwenda kinyume muda huohuo alinyamazishwa.Adui wa Watanzania sio mtu mmoja mmoja bali ni CCM na mfumo wake.
 
Watu wa Mkuzi wamtenge tuu "mzee muongo" itakuwa fundisho kwa wengine kufanya ujinga wakitegemea wakiwa wazee na waongo watasamehewa.
Watu wa Mkuzi sio wa mchezo mchezo kama Lupaso/Nanyumbu.
 
Tafuteni kitabu kizima mkisome ili mkija hapa kutupa habari isiwe nusu nusu, tuelewe maana nzima.
Kuchomoa chomoa vipande huenda tusijue hilo limetokea katika context ipi?.

Wanaopondea mnataka bidamu afanyeje aeleweke?.

Kama taifa tuna madonda na Maumivu mengi yaliyotokea na hizi siasa siasa, na kitu kitaturudisha pamoja ni maridhiano na kusameheana. Kwangu Mimi andiko la BWM ni hatua muhimu kuelekea huko tusipokuwa vichwa ngumu. Maisha lazima yaendelee.

Huwezi kula ng'ombe mzima kwa mara moja

Ni utaratibu wa kawaida kula kipande kimoja baada ya changine, hatimae ng'ombe mzima kuisha.

Tutajadili kitu kimoja baada ya chengine hatimaye kitabu chote kitaisha.
 
Viongozi wengi katika nchi za Africa hupata akiri pindi watokapo madarakani, hata huyu wa sasa atakuja kutamani kuwepo bunge live, wapinzani waheshimu, kuwepo tume huru ya uchaguzi, kuwepo maridhiano ya kitaifa, maamuzi ya wananchi yameshimiwe.nk
 
Chinga boy oz cruel as f@ck dressing jw in ffu uniforms n let 'em pour heavy fire upon the 'yakhe' to 6ft under the soil. He oz so genocidic kinda of Hitler & the like Magu should go back to xul if to be compared.
 
Miaka themanini naa uzee umetaradadi kufa kupo njiani mali alizojilimbikizia ataziacha sasa sio kitu tena ila toba, haoni umehimu wa mali ila kumrudia Muumba, amejua kiburi ni kama nazi haishindani na jiwe yani kifo. Atulie tu atakutana ma mhusika siku ya mwisho sisi hatuwezi kusamehe na ikawa faraja kwake.
 
Kama ni msamaha kwa wapemba atatoka kapa
Kafika 80yr ndo umri wa kutafakari yote ya dunia ni ubatili, kuukimbiza upepo, yeye ndie aliyewaumiza Sana wapemba wakiwa na comandoo ambae nae Mungu kampiga upofu, kwa kushirikiana na Mahita ndio waliokuwa wakiifurumushia CUF mabomu kila siku
 
Tunatakiwa kukisoma kitabu.

Sababu tutatowa rejea ya dhambi za ccm kutoka kitabu cha mmoja wa wanaccm no-1
Kuna kitu kitaandikwa kwenye hicho kitabu kitakuwa kigeni masikioni mwa Watanzani labla iwe mambo ya Familia yake ila sio siasa za Tanzania.
 
Back
Top Bottom