murongo munene
Member
- Oct 25, 2017
- 92
- 81
Haya ni mawazo mgando ndugu yangu badilika Taifa liishi Kwa ukweliVyama vya upinzani wala wasilikubali kuwe na Tume Huru wala kuhusishwa kwenye hiyo tume. Mkikubali tu, huo ndio utakuwa mwisho wenu wa kufanya siasa Tanzania.
Siku zote mmekuwa mkiwaaminisha wanachama na wafuasi wenu kuwa mnaibiwa kura. Na hicho ndicho kinawafanya waendelee kuwaamini. Sasa siku ikianzishwa hiyo tume na mkashirikishwa halafu mkashindwa. Mtawaeleza nini?
Nimetoa ushauri lakini. Na najua sikio la kufa ....!Umeongea kama yule Philosopher Paschal alivyowashauri wale Atheists wa Uingereza karne kadhaa nyuma.
Ila, in the moment of truth, ktk free and fair elections, hii ccm tunayoiona hii, haiwezi kushinda hata wakiachwa na Hashim Rungwe peke yake.
Sure I tell you. Na hizi figisu figisu anazofanya Magufuli usifikiri ni mjinga, tayari ramli wameshapigiwa kuwa his party has outlived its popularity na sasa kinaishi kwa nguvu za dola tu hali ambayo hawawezi kudumu nayo kwa muda mrefu.
Ni maoni yangu. Na wewe toa yako. Si ndio uhuru na haki mnayoipigania? Kwanini uzuie yangu?Haya ni mawazo mgando ndugu yangu badilika Taifa liishi Kwa ukweli
Ndio zao mkuu.Wakati ule alijua tume huru inaweza kumnyang'anya urais,kwa sasa anajua sio dili,kwa hiyo ikiwepo sawa tu.Kama nakosea Mungu anisamehe. Nachoamini huyu Mkapa ndio alimpora Maalim Seif urais wa Zanzibar.
Pili huyu ndio mwasisi wa ubavu ubavu na ubabe inakuwaje leo katoka madarakani na anaonekana kachoka ndio anatubu.
Kwanini asiwambie aliowaweka madarakani watende haki? Kwanini alazimishe kupendwa?
Kwa hiyo hakuna haja ya kuwa na tume huru mkuu?? Hii itakuwa ni ajabuVyama vya upinzani wala wasilikubali kuwe na Tume Huru wala kuhusishwa kwenye hiyo tume. Mkikubali tu, huo ndio utakuwa mwisho wenu wa kufanya siasa Tanzania.
Siku zote mmekuwa mkiwaaminisha wanachama na wafuasi wenu kuwa mnaibiwa kura. Na hicho ndicho kinawafanya waendelee kuwaamini. Sasa siku ikianzishwa hiyo tume na mkashirikishwa halafu mkashindwa. Mtawaeleza nini?
Nimesema hivyo?Kwa hiyo hakuna haja ya kuwa na tume huru mkuu?? Hii itakuwa ni ajabu
Nadhani kauli ya kuwaita wapizani malofa ilitokana na hasira za mwenyekiti J K kuimbiwa kale ka wimbo tunaimani ELAliyewaita wapinzani malofa ni nani, mbona anatonesha maumivu angetulia alee wajukuu ashatuletea majanga atuache tupambane nayo.
Sasa malofa wataruhusiwa vipi kukaa meza moja kuhesabu kura
Huyo meko atakubali hiyo tume huru iwepo?
Bams,
Kuna post Pascal kaandika kwamba ukiwa ndani ya box huoni yaliyo nje. Ukishatoka ndiyo anayaona ya nje. Ndani ya hili box linaloitwa CCM hata angeingia malaika lazima atageuka na kuwa shetani mpaka atakapotoka humo ndio atarudi tena kuwa malaika.
Na hii ndio aina ya Watawala wa Bara la Afrika ,hata Baba wa Taifa hili alijutia Katiba mbovu aliyo itumia katika Utawala wake wakati alikuwa na Mamlaka/Nafasi ya kuirekebisha.
Naunga mkono hoja. Now Mkapa the wise one.
P
Alianza kuwaita Jangwani wakati akimnadi JK awamu ya pili.Nadhani kauli ya kuwaita wapizani malofa ilitokana na hasira za mwenyekiti J K kuimbiwa kale ka wimbo tunaimani EL
Kwa nini sasa? kaona nini ambacho kipindi cha hapo nyuma hakukiona? teh,teh,teh.ukiona mtu anatubu na aonekane mtu mwema mbele ya jamii ana maswaibu makubwa yanamzonga yamkini israeli anamwita
Sipati mfano wake akiicha haya madaraka na yeye si hiyo copy ya hicho kitabu kapewa anaona Mzee mzima anavyoungama midhambi yake kiaina yeye itakuaje na mizigo kibao aliyonayo kwa mgongo wa rais wa masikini.Can't imaging Magufuli saying the same come 2030s.