pundadumeafrika
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 1,619
- 2,074
Kudadadek !
Kumbe CCM wanajijua majizi tangu enzi..
Kumbe CCM wanajijua majizi tangu enzi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikukuwa ndani ya box. Ukiwa ndani ya box inje huoni. Unapokuwa nje ya box ndipo unaona.Now the wise one or the stupid one? Kwanini hakusema haya yote kipindi yupo madarakani? Kwanini hakuyasema kipindi cha chaguzi zilizopita?
Rafiki na wewe uko ndani ya box huoni au nimekosea rafiki Mayalla.. maana siku hizi hueleweki katu!Alikukuwa ndani ya box. Ukiwa ndani ya box inje huoni. Unapokuwa nje ya box ndipo unaona.
P
Si tutajua kuwa tumeshindwa kwa kuwa tulikuwa sehemu ya tume na tutaeleza kuwa tumeshindwa kwakuwa kura hazikutosha.Vyama vya upinzani wala wasilikubali kuwe na Tume Huru wala kuhusishwa kwenye hiyo tume. Mkikubali tu, huo ndio utakuwa mwisho wenu wa kufanya siasa Tanzania.
Siku zote mmekuwa mkiwaaminisha wanachama na wafuasi wenu kuwa mnaibiwa kura. Na hicho ndicho kinawafanya waendelee kuwaamini. Sasa siku ikianzishwa hiyo tume na mkashirikishwa halafu mkashindwa. Mtawaeleza nini?
Hapana shetani kamwe hawezi kugeuka kuwa malaika bali ana uwezo wa kujifanya kama malaika ili kuhadaa watu. La muhimu hapa ni kwamba tusimpuuze shetani anaposema kweli, tuangalie tu ukweli wake na tumwache na ushetani wake.Tulishaambiwa kuwa shetani akizeeka hugeuka kuwa malaika
Na hii pia, RIP Gen. Imran KombeZile damu za Wapemba zinaanza kumlilia
Umenena vyema.Na hii ndio aina ya Watawala wa Bara la Afrika ,hata Baba wa Taifa hili alijutia Katiba mbovu aliyo itumia katika Utawala wake wakati alikuwa na Mamlaka/Nafasi ya kuirekebisha.
Perfect!Alikukuwa ndani ya box. Ukiwa ndani ya box inje huoni. Unapokuwa nje ya box ndipo unaona.
P
Wewe ni miongoni mwa wachache ambao hawajashambulia mtu bali umeangalia hoja yake tu kama inamaana,shida yetu wabongo ni kujadili mtu badala ya hoja iliyotolewaNaunga mkono hoja. Now Mkapa the wise one.
P
Akiiua CCM yeye atabaki salama?Tume huru na ayatakayo mkapa ni kutaka kuiuwa ccm