Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Vipi kuhusu wanaofadhili hiyo jinai kwa kumpa silaha na kinga za kidiplomasia (Marekani na nchi za ulaya magharibi) ?Kwa uovu na ujahili unaoufanya kwa wapalestina,fimbo ya Mungu inakusuburi,utakufa vibaya na kaburi lako halitajaa mchanga,unaua watoto,wazee,waandishi wa habari,modokta,manesi,wanawake wenye mimba,vikongwe hakika Mungu anakuona siku yako ipo karibu