TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Duniani Tunapita
Pumzika kwa Amani Baba Yetu Kiongozi Wetu
Mwendo umeumaliza fika salama huko uendako
Kwaheri papaa!
 
Reactions: BAK
Mkapa alikuwa jitu la kimataifa na mwanamikakati mahiri naikumbuka picha aliyopiga na baba wa taifa mwl nyerere akiwa na mke wa hayati mchungaji Martin Luther King Bibi Coretta Scott King sio wengine wanaishia kupiga picha na kina nkurunzinza 😬😬😬😬😬😬
 
Dah pole mkuu,inaonekana unatafakari deep Sana yaani unawaza kifo Hadi unakosa usingizi?kwanini?hicho kipo tu huna hata haja ya kuwaza hivyo saa ikifika hamna namna...
 
@HisExclFormlPresdent....pumzka kwa amani mzee wetu.hakika Kila nafsi itaonja mauti.tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi
 
Kwani litakuwa Jambo baya?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…