Mh...kweli hayo? Ecobank wana CashXpress unavuta tu pesa yako toka paypal na waweza kuweka paypal pia toka CashXpress.Inategemea na account uliyofungua, kila account ina makato yake, ukienda kufungua account waambie nataka kufungua aacount ambayo makato yake ni madogo kuliko account zote.
Uzuri wa Barclays unapokea fedha kutoka paypal na unazitoa kabisa kwenye ATM, benki nyingine hazina hiyo huduma, ni Barclays peke yake nchi nzima ndiyo mwenye hiyo kitu.
Mwingereza huyo, watu wanasema Standard Chartered ina huduma nzuri kuliko hata mwingereza mwenzie Barclays.Standard Chartered Bank! Nina Account uko, Jamaa hawana njaa kabisa sina ninchokatwa zaidi ya malipo ya kutoa hela kwenye ATM tu, Cheque Book bure na hata ukipoteza kadi unatengenezewa bure bila charge zozote.
Hawa jamaa nawakubali sana
nenda BARCLAY'S BANK monthly maintenance fee ni ndogo na kutoa hela kwenye Atms ni 600 tofaut na mwengine wanakata 800
Alishasema kwenye comments zake zilizopita, amesema kwamba Barclays makato yake kwa mwezi ni 2,500/=, ila hakutaja hayo makato ni ya account gani. Ngoja aje atuambie hayo makato ni ya account gani.Monthly fee ndogo ni kiasi gani? Tusaidie tuijue na sisi.
Nakushauri ufanye review ya bank statement yako, SCB sio charity organisation kama unavyofikiri. Haijawahi kutokea SCB upoteze ATM ukapewa bure!!! Haitatokea Cheque book wakupe bure. Akaunti yako itakuwa kwenye bundled fee charges! Kati ya mabenki ambao yako smart kwenye kurecover charges ni SCB. Naongea nikiwa naijua vizuri,si kwa kuwa mteja bali ni kuwa mfanayakazi wake. Wako vizuri sana nakubaliana mfano kwa customer service ni excellent! Lakini bure bure hawana! Na hata ukichajiwa unafurahia makato sababu ya huduma zao nzuri!Standard Chartered Bank! Nina Account uko, Jamaa hawana njaa kabisa sina ninchokatwa zaidi ya malipo ya kutoa hela kwenye ATM tu, Cheque Book bure na hata ukipoteza kadi unatengenezewa bure bila charge zozote.
Hawa jamaa nawakubali sana
Wasipokucharge watajiendeshaje? ATM machine wanalipia, ukiingia ndani wanakucharge pesa nyingi kwa sababu unawaongezea kazi,wamekupa ATM card ili upunguze foleni ndani na ndio maana makato ya ATM ni kidogo zaidi ya kuingia ndani.Yaani hii ya kuchaji hela ya ATM inashangaza sana. Ukikaa foleni wanakata hela, ukitumia ATM wanakata hela, hivi maana yake ni nini?
Kibubu Personal account?KIBUBU PERSONAL BANK
Teknolojia inakuwa, siku za mbele kila benki kupokea pesa kutoka paypal litakuwa ni jambo la kawaida.Mh...kweli hayo? Ecobank wana CashXpress unavuta tu pesa yako toka paypal na waweza kuweka paypal pia toka CashXpress.
Hiyo itakuwa akaunti yao mpya inaitwa Express account, ukiwa na smart phone unadownload application yao ya ecobank unafungua akaunti wewe mwenyewe, haina ATM card ila ukitaka kutoa pesa unaweza kuihamia mpesa,tigo pesa au airtel money na unaweza kugenerate Token ambayo utatumia kutoalea pesa kwa ATM zao kwa card less. Hawa jamaa wana product nzuri mno ila nafikiri hawajitangazi sana. hiyo akaunti ni nzuri sana,sana sana kwa wanafunzi wa vyuo. Ni rahisi maana haina milolongo mara kwenda kwa mwenyekiti sijui kupata utambulisho. Ni wewe na smart phone yako unamalizana na akaunti.Kuna hawa EcoBank nmekutana nao jana wanasema wanatoza 1% kwenye kutoa ktk ATM ila sijajua makato yao ya mwezi na gharama nyingine.. nahis watakuw wazuri
Wasipokucharge watajiendeshaje? ATM machine wanalipia, ukiingia ndani wanakucharge pesa nyingi kwa sababu unawaongezea kazi,wamekupa ATM card ili upunguze foleni ndani na ndio maana makato ya ATM ni kidogo zaidi ya kuingia ndani.
ELFU 10000Kwani Barclays ipo mpaka leo hapa Tanzania?, si' nasikia imesitisha huduma zake?
Kwa mwezi unakatwa sh. ngapi ya makato?
Kwa sababu kila mmoja anamiliki account ya kampuni moja au mbili, itakuwa ngumu huyu mmoja kutoa jibu kwa mabenki yote.
Naomba kila mmoja aseme anatumia benki gani na aseme kwa mwezi anaona makato ya sh. ngapi. Wakishataja wengiwengi, tutapata majibu kwamba benki gani ina makato kidogo kwa mwezi.
Haya sasa, njoo, useme unatumia benki gani, na unakatwa sh. ngapi kila mwezi.
CRDB makato kwa mwezi ni 1888 ATM 944 SIM BANKING hii waweza toa ela kwenye account yako kwenda mtandao wowote wa simu 2360 kuangalia salio kupitia simbanking ni 354Mambo kama haya watu hawayadadavui..ila ikiletwa mada ya mapenz,saivi uzi ungekuwa wa page kama 100..
Natumia crdb makato yake sio mchezo,si kushauri sana kuitumia
Kuna mwingine kasema anachajiwa 2,500/=, nafikiri account yako na yake ni tofauti, ndiyo maana mnachajiwa gharama tofauti.ELFU 10000
1,888/= na 2,360/= ni makato gani?CRDB makato kwa mwezi ni 1888 ATM 944 SIM BANKING hii waweza toa ela kwenye account yako kwenda mtandao wowote wa simu 2360 kuangalia salio kupitia simbanking ni 354
hiyo kibokoKIBUBU PERSONAL BANK
Hiyo itakuwa akaunti yao mpya inaitwa Express account, ukiwa na smart phone unadownload application yao ya ecobank unafungua akaunti wewe mwenyewe, haina ATM card ila ukitaka kutoa pesa unaweza kuihamia mpesa,tigo pesa au airtel money na unaweza kugenerate Token ambayo utatumia kutoalea pesa kwa ATM zao kwa card less. Hawa jamaa wana product nzuri mno ila nafikiri hawajitangazi sana. hiyo akaunti ni nzuri sana,sana sana kwa wanafunzi wa vyuo. Ni rahisi maana haina milolongo mara kwenda kwa mwenyekiti sijui kupata utambulisho. Ni wewe na smart phone yako unamalizana na akaunti.
CashXpress ni prepaid card, haina makato ila ni pale unapoitumia ndipo unakuwa charged. Na unaweza kuitumia kwa online purchase pia.Teknolojia inakuwa, siku za mbele kila benki kupokea pesa kutoka paypal litakuwa ni jambo la kawaida.
Hiyo account ya Ecobank ya CashXpress ni nzuri sana, Barclays walikuwa wanajivunia wao tu ndiyo unaoweza kupokea pesa paypal, sasa siyo benki moja tena unayoweza pokea pesa toka paypal. Pengine kuna baadhi ya benki nyingine unaweza pokea pesa toka paypal, tusubiri tuone comments za mbele.
Una account ya kawaida Ecobank?, makato sh. ngapi kwa mwezi?, na hiyo account ya CashXpress makato sh. ngapi kwa mwezi?