kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 421
- Thread starter
-
- #61
Unatumia account gani ya Equity bank?, makato yake kwa mwezi ni sh. ngapi?hiyo kiboko
mm naona EQUITY BANK ya Kenya
huku kwetu bara wanatupa ATM kadi mpaka za VISA na tukitoa kwenye ATM nashangaa hatukatwi, sijui wanatukaribisha au ipo siku watatukata?
Nikajua CashXpress ni account mojawapo ya Ecobank, kumbe siyo, bali ni prepaid card, duh!CashXpress ni prepaid card, haina makato ila ni pale unapoitumia ndipo unakuwa charged. Na unaweza kuitumia kwa online purchase pia.
Nataka niifungue mkuu..hebu toa nondo kidogo..kuhusu kudeposit,withdraw na je hupewi kadi kabisa??Yah ni nzuri mkuu nimefungua tayari na haina makato ya mwezi..
sio account boss ni BANK KABISA HYOKibubu Personal account?
Hiyo account ni ya benki gani?
Hahahaaa!!sio account boss ni BANK KABISA HYO
Mzee baba, nimefanya review kwenye b. statements zangu, Transsaction zote nazielewa ila nimekuta moja ambayo nilikua siijui me mwenyewe ambayo inaitwa Annual Debit Card Fee, apo wamekata buku 10, ATM card nimeishaipoteza mara mbili na nikapewa mpya, sijaona makato yake kwenye Bank Statements, na me uwa sio mtu wa kurundika hela ivo nikikatwa najua.Nakushauri ufanye review ya bank statement yako, SCB sio charity organisation kama unavyofikiri. Haijawahi kutokea SCB upoteze ATM ukapewa bure!!! Haitatokea Cheque book wakupe bure. Akaunti yako itakuwa kwenye bundled fee charges! Kati ya mabenki ambao yako smart kwenye kurecover charges ni SCB. Naongea nikiwa naijua vizuri,si kwa kuwa mteja bali ni kuwa mfanayakazi wake. Wako vizuri sana nakubaliana mfano kwa customer service ni excellent! Lakini bure bure hawana! Na hata ukichajiwa unafurahia makato sababu ya huduma zao nzuri!
Hujanijibu mkuu.Mzee baba, nimefanya review kwenye b. statements zangu, Transsaction zote nazielewa ila nimekuta moja ambayo nilikua siijui me mwenyewe ambayo inaitwa Annual Debit Card Fee, apo wamekata buku 10, ATM card nimeishaipoteza mara mbili na nikapewa mpya, sijaona makato yake kwenye Bank Statements, na me uwa sio mtu wa kurundika hela ivo nikikatwa najua.
na asikwambie mtu Co-workers wenzangu wanakatwa ila hii aina ya account nilionayo mimi sijaona makato ayo
Kwani inafoleni!?Kwa Barclays bank utapata kadi mbili ambayo ni debit na credit card na itaenjoy international banking experience ambayo utaweza kutoa(Cash withdrawal) na kuweka hela(Cash deposit) kwenye Atms so zile inconvenience za foleni kwenye branch na Atms hakuna
Jamaa alionifungulia alinambia ni Current Account, kwenye website yao ipo na imeandikwa kabsa haina makato ya mwezi.Hujanijibu mkuu.
Hiyo account yako ya Standard Chartered ambayo haina makato inaitwaje?
Hapo sawa mkuu, sina swali tena.Jamaa alionifungulia alinambia ni Current Account, kwenye website yao ipo na imeandikwa kabsa haina makato ya mwezi.
Mr nilisikia huwezi kutoa hela iliyoko kwenye paypal account ukiwa Tz? Je, huduma hii inapatikana kwa sasa? Km ipo bank gani nzuri ya kutolea pesa kutoka kweny paypal account?Nisirembe sana, kichwa cha habari kinajitosheleza.
Karibu.
account yako itakuwa inaitwa "Hifadhi Account" ni current account ambayo haina monthly fee but has transaction fee!! Na fee per transaction ni 950 ( Kwa ATM) na ina ATM annual fee ya 10,000. Ulisema haina charge ya cheque book, ni kwamba ina charge ya Tshs 14,000 kwa 30 leaves mkuu. Utakuwa ulikatwa ila hukumbuki, maana inakatwa mara moja wakati wanaiagiza au kuissue. Kma kuna sehemu nimekosea nikumbushe mkuu, ila kama unasema haina makato, andika leaf yako ya cheque,ingia ndani utoe dirishani uangalie kama haikatwi au unakatwa.Jamaa alionifungulia alinambia ni Current Account, kwenye website yao ipo na imeandikwa kabsa haina makato ya mwezi.
Kudepost unaweza kudeposit kwenye matawi yao ya ecobank (Kwa tellers) au kutumia wallet kwa maana ya Mpesa,Tigo pesa na Airtel Money. Withdraw pia waweza kuweka kwenye wallet "Mpesa,Tigo pesa au Airtel Money" au unagenerate Token unaenda ATM ya ecobank unavuta kwa card less.Nataka niifungue mkuu..hebu toa nondo kidogo..kuhusu kudeposit,withdraw na je hupewi kadi kabisa??
Wana akaunti nyingi ila nyingine sizijui sana lakini unaweza kufungua Express account kwa smart phone yako hapo ulipo. Haina makato ya mwezi na wala haikuhitaji kwenda tawini kwao. Hata kama uko mji ambako hawapo unaweza kufungua. Akaunti zingine sio mtaalam sana.Nikajua CashXpress ni account mojawapo ya Ecobank, kumbe siyo, bali ni prepaid card, duh!
Account ya kawaida Ecobank makato yake ni sh. ngapi?, na hiyo account ya kawaida inaitwaje?
Sina uhakika mkuu.Mr nilisikia huwezi kutoa hela iliyoko kwenye paypal account ukiwa Tz? Je, huduma hii inapatikana kwa sasa? Km ipo bank gani nzuri ya kutolea pesa kutoka kweny paypal account?
Nimesikia watu wengi wanasema Equity bank haina makato makubwa, unatumia account gani mkuu mpaka huchajiwi kwa mwezi?Equity benki,hamna makato hadi wakati unatoa pesa!
Ni kweli nimeendelea kupekua nimekuta cheque book imekatwa mwanzoni, na io annual fee, ndo makato ninayoyaona kwenye B. Statements na haina malipo ya mwezi itakua ndo io Hifadhi Account nafikiriaccount yako itakuwa inaitwa "Hifadhi Account" ni current account ambayo haina monthly fee but has transaction fee!! Na fee per transaction ni 950 ( Kwa ATM) na ina ATM annual fee ya 10,000. Ulisema haina charge ya cheque book, ni kwamba ina charge ya Tshs 14,000 kwa 30 leaves mkuu. Utakuwa ulikatwa ila hukumbuki, maana inakatwa mara moja wakati wanaiagiza au kuissue. Kma kuna sehemu nimekosea nikumbushe mkuu, ila kama unasema haina makato, andika leaf yako ya cheque,ingia ndani utoe dirishani uangalie kama haikatwi au unakatwa.
Asante!.
Nimeshindwa kujua ni jinsi gani naweza kudeposit kwa kutumia mpesaSina uhakika mkuu.
Ila kutokana na vyanzo mbaimbali, kupokea pesa kutoka paypal na kuzidraw inawezekana kwa benki mbili tu mpaka sasa, Barclays na Ecobank.
Ecobank inawezekana kwa kutumia prepaid ATM card ya Ecobank inayoitwa CashXpress.
Jaribu kuchimba na wewe.