Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Hii imekaa poa sanaDiamond Trust Bank nmeipenda sana hii benki.
Hawana monthly charges.
Kutoa pesa dirishani chini ya laki 5 ni 750/=
Kutoa pesa dirishani zaidi ya laki 5 ni bure kabisa.
Kutoa pesa kwenye ATM ni 750/=
Diamond Trust Bank nmeipenda sana hii benki.
Hawana monthly charges.
Kutoa pesa dirishani chini ya laki 5 ni 750/=
Kutoa pesa dirishani zaidi ya laki 5 ni bure kabisa.
Kutoa pesa kwenye ATM ni 750/=
Ndiyo mkuu nilitoa 510,000/= sijakatwa ata 10.Zaidi ya lak 5 n bure na chini ya laki 5 ni 750...!!?
Mkuu hii imekaaje,yaani kwa amount kubwa hawachaj chochote!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmetumia equity bank wako vizuri. Tatizo wamepandisha sana viwango vya kutoa pesa kwa wakala.Zama Equity bank chap acha kupotea na mayowe ya humu
Standard Chartered Bank! Nina Account uko, Jamaa hawana njaa kabisa sina ninchokatwa zaidi ya malipo ya kutoa hela kwenye ATM tu, Cheque Book bure na hata ukipoteza kadi unatengenezewa bure bila charge zozote.
Hawa jamaa nawakubali sana
Ushauri wangu kwa anaetaka kufungua, afanye window shopping kwanza, maana akiuliuza humu ataambiwa tu jibu jepesi kuwa fungua benki fulani,kumbe huyo mtu yuko na interest na benki hiyo lakini ki uhalisia atakutana na makato ambayo ni hiden.
bank yyte duniani inajiendesha kwa mfumo wa ubepari,kila bank ina makato kwa mwezi hata charges zao ni karibu zinalingana zinapishana kidogo sana.wanatofautiana tu kwa njia wanazotumia kukata hayo makato ukikuta makato ya mwezi yapo chini sana jua kuna sehemu wanafidia.
Kuna benki ilikua inanikata 1,888/= kwa mwezi.Kuna benki nje ya Tanzania hazina makato. Hata hapa TZ zamani hatukuwa na makato haya ya sasa. Wazee wenzanu watakubaliana nami. Benki zilikuwa zinatoa faida kwa wateja. Siku hizi wateja ndio wanazipa benki faida!
Kuna benki ilikua inanikata 1,888/= kwa mwezi.
Mwisho wa mwaka wananikata kama 15,000/= hivi ya card fee.
Nikijumlisha charges inakuja kama 40,000/= kwa mwaka nje ya withdrawal charges.
Yeah! Nmetumia SIM banking app kucheki balance walikua wananikata pesa ndefu wakati equity bank ni free.Inaitwa CRDB. Kwa nini unaficha? Bado wanakata hiyo 1888/= kwa mwezi. Hata kuulizia balance kwa ATM wanakata! Huu ni wizi.
BoT waliamka nayo siku moja ikawekwa lockdown.
Nimepitia uzi wote lakin Bado sijapata jibu
Mimi Ni mjasiliamali mdogo mwenye ndoto kubwa katika biashara yangu, nahitaji bank rafiki ili nijenge mahusiano nayo ili hata huko mbeleni nikitaka kupanua biashara yangu iwe rahisi kwangu kupata mkopo
Wadau ushauri wenu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hojaNaelewa ugumu unaoupata. Na ndio ukweli huo. Hakuna benki rafiki nchi hii. Benki zinapokata hela mteja kwa kuulizia salio kwenye ATM, au internet banking, ni benki hizo tena? Ni genge la wezi tu wenye leseni za BOT. Hebu fikiria makampuni ya simu yaanze kukata muda wa maongezi ama data kila unapoulizia salio!
kweli tupu!!Kuna benki nje ya Tanzania hazina makato. Hata hapa TZ zamani hatukuwa na makato haya ya sasa. Wazee wenzangu watakubaliana nami. Benki zilikuwa zinatoa faida kwa wateja. Siku hizi wateja ndio wanazipa benki faida!
kweli kabisa...kwa kuongezea hiyo ni bila VATDiamond Trust Bank nmeipenda sana hii benki.
Hawana monthly charges.
Kutoa pesa dirishani chini ya laki 5 ni 750/=
Kutoa pesa dirishani zaidi ya laki 5 ni bure kabisa.
Kutoa pesa kwenye ATM ni 750/=