Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wale wale!!!View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.
Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.
Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Dola hamna wasitudanganye.
NMB kwasasa wanauza dollar 100 kwa kila mtu hutakiwi kuzidisha
Mkuu tunanunua online kwa 2600Na ndio mana biashara zinazidi kuwa ngumu mtaani dollar kwa muda mrefu imesimamia 2500
Akili ya mbayuwayu changanya na zakwako pia soma somo la social inferenceView attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.
Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.
Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Afrika ikisimama yenyewe anaweza kuwa mzalishaji mkubwa wa tatu duniani ,baada ya Marekani na china.Halafu hiyo hela ya Afrika utaitumia kufanyia nini wakati hamtengenezi chochote?
Mjapan atakubali kuuza V8 zake kwa pesa ya madafu, ya Afrika?
Acha ndoto za mchanaNi muda Afrika kuwa na currency yake ili tuepukane na Dola domination.
Miaka yote watu wamekuwa wakinunua magari mbona crisis kama haijatokea?! Wacha visingizio?Kila siku USD zinatumwa Japan zitapatikana vip.
Serikal Ibane matumiz ya USD yasiyo ya lazima ikiwemo kununua magar mapya ...
View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.
Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.
Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Hivi wale waliokamatwa kwa kuunganisha Bomba la mafuta huko kigamboni na wakatuhakikishia kutupa mrejesho iliishia wapi au walikuta ni hao hao wenyewe kwa wenyewe wakamezea!!Wakibana rushwa watapigaje?
Si nimesema serekali mkuu?Miaka yote watu wamekuwa wakinunua magari mbona crisis kama haijatokea?! Wacha visingizio?
Hahahahaha.......ndugu yangu wewe si ulikuwa unashauri Serikali ifutilie mauzo bana ya Tz na nchi zingine kucontrol dollar expenditure?Si nimesema serekali mkuu?
Au na wewe ni serekali
"Wakitajwa nchi itatikisika"Hivi watu wa kitengo hawawezi kutoa taarifa nyeti kuhusu wahusika wakuu wenye kuhusika kuficha fedha za kigeni hasa dola za Kimarekani?
Yaani kweli BoT imefikia hatua ya kuishia kulalamika kuhusu upungufu uliopo katika mzunguko wa fedha za kigeni hapa nchini na kisha kuwapigia magoti wahujumu uchumi?
Taassi nyeti zinapaswa kuwachukulia hatua wahusika kwa kuwa wanafahamika, kama vile ambavyo alithubutu JPM kufanya. Ukiona serikali imeuchuna, huku taasisi yake nyeti ya fedha, BOT inalalamika, basi tambua inawagwaya wafanyabiashara na matajiri wakubwa, na hata inashindwa kuwachukulia hatua ijapokuwa inawatambua.
"Toothless bulldog"
Unakuta mtu yuko busy kufukunyua history kuthibitisha kwamba waafrika ndio Jamii ya kwanza kustaarabika. JamaniMnashindwa hata kuwa na akiba ya dhahabu wakati zimejaa ardhini na watu wanafukua kila kukicha
Kuna nchi hawana madini ila wanatuzidi kwa uwekezaji na wanazihifadhi matani mengi tu
Eti ndio binadamu wa kwanza duniani what a joke kweli wazungu wanatukebehi kama watani zao
No, nazungumzia purchases za serikali ...Hahahahaha.......ndugu yangu wewe si ulikuwa unashauri Serikali ifutilie mauzo bana ya Tz na nchi zingine kucontrol dollar expenditure?