Benki Kuu Tanzania: Mlioficha Dola zirudisheni kwenye mzunguko

Si juzi tu Mwigulu ametoka kujigamba kuwa nchi ina ziada ya dola na uchumi umeimarika!!
 
Ubaya ni kwamba Dola ikipanda Tsh inashuka thamani pia. Hivyo ukienda Kenya pesa ya iko juu na hata dola tegamea itakua juu vilevile.
Not necessarily.
Dollar dunia nzima imeadimika kwa sababu The Fed wamepandisha interest rate. Inamaanisha more savings, the more the money is saved, the more expensive it gets.
Globally, not local.
Sasa hivi TZS to KES ni 16.9. when TZS was stable a couple of years back, it was 21 TZS for a KES.
 
Kila siku USD zinatumwa Japan zitapatikana vip.
Serikal Ibane matumiz ya USD yasiyo ya lazima ikiwemo kununua magar mapya ...
Mtu atafute pesa kwa jasho lake halafu umpangie matumizi? Hii siyo socialist country. Plus ukiona taasisi zinalalamika ujue walioficha hizo $$ ni untouchables.
 
Dhahabu tuichimba na nin au jembe la mkonoi!??maana machinery systems za mining zinauzwa Kwa Dola kuzifanyia service malipo Kwa Dola[emoji1727]
 
Nimeiamini ile kauli aliyoitoa mchumi INSIDER MAN kuwa.......

"Uchumi una kawaida Moja,... uchumi Huwa haudanganyi... kama mwigulu alilihakikishia Bunge kuwa dolar zipo za kutosha!? Muda utaongea...."

Kudos to you .. mkuu insider.... muda umeongea! Kweli penbe la ngo'ombe.... halifichiki!
 
Ubaya ni kwamba Dola ikipanda Tsh inashuka thamani pia. Hivyo ukienda Kenya pesa ya iko juu na hata dola tegamea itakua juu vilevile.
Sio kwamba naenda na pesa cash naweka mzigo kwenye account naenda kutolea kule kwenye ATM hiyo imekaaje kiongozi...?
 
Dollar 1 ipo hapa siiachii
 
Kuficha pesa sio jinai kweli, yaani uhujumu uchumi?
 
Anzeni tena kuvamia biashara za watu mkitafuta Dollars zilizofichwa!😁.
 
Nafikiria km BOT wanajua waliozificha wawafikie tu ili zisaidie kupunguza makali. 😄
 
Njia ni rahisi, ni kufuatilia vituo/taasisi zote zinazobadilisha fedha, na kuainisha wale wote waliobadili fedha za ndani na kupewa dola/fedha za kigeni kiasi kikubwa, waeleze wamezipeleka wapi na zinafanya nini.​
 
Wamwambie mama abdul alie uza bandari
 
Magufuli alipokuwa ameamua kufunga Bureau De Change za Binafsi mlimuona mjinga!
Sasa endeleeni kuifungua nchi....
Sisi tumekaa paleee!
Walidhani kwenda kinyume na JPM kwenye kila kitu ni kumkomoa na kufuta legacy yake! Acha wacheze huo mziki sasa.
 
Usiturudishe kwenye ule UHAYAWANI wa
MAGUFULI. Kunya g'anya fedha za mtu aliyezitolea jasho lake siyo uungwana. Ndiyo maana JITU lile lilikufa tarrhe 17/ 03/21.
Kwenye ukoo na familia yako hakuna "majitu" yaliyokufa!? Nao walinyang'angya fedha za nani!? Kuwa na heshima.
 
Wsongo tu. Sasa mbona kuna uhaba huku wanajidai zipo dola za kutosha. Waache maneno hayadaidii. Kinachotakiwa ni uamuzi utakaofanya watu watoe dola kwa hiari au kulazimishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…