Usijitoe akili, CCM inahusika kwa kila kitu kwenye hili la kupungua kwa dola na mengineyo.Ona huyu, anaambiwa dola yeye anasema kadi za ccm,
Tukiwaambia ccm itatawala miaka elf mbili mnapinga
Bwashee sio kila mahali ni siasa, kuwa siriasi wakati mwingine
Nilitaka kumtukana,nikaona nipotezee, mwenzangu umeongea kidiplomasiaUsiturudishe kwenye ule UHAYAWANI wa
MAGUFULI. Kunya g'anya fedha za mtu aliyezitolea jasho lake siyo uungwana. Ndiyo maana JITU lile lilikufa tarrhe 17/ 03/21.
Dolla zipo huko nje wajanja wamezikwapua halafu mnaimb eti wazirudishe ebo nchi haiendeshwi hivyo ,beral zilivyozuiliwa wanafiki si walipga kelele sasa kikowapiView attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.
Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.
Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Wacha wafiche zote ili tushindwe kuagiza toka nje, halafu akili za kuzalisha vya ndani ndio zitatujia...View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.
Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.
Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Bi tozo wala halimhusu ueye amedondokewa na embe dodo full kula bats hata nchi ikidondoka yey ataridi zake kizimkazeHivi watu wa kitengo hawawezi kutoa taarifa nyeti kuhusu wahusika wakuu wenye kuhusika kuficha fedha za kigeni hasa dola za Kimarekani?
Yaani kweli BoT imefikia hatua ya kuishia kulalamika kuhusu upungufu uliopo katika mzunguko wa fedha za kigeni hapa nchini na kisha kuwapigia magoti wahujumu uchumi?
Taassi nyeti zinapaswa kuwachukulia hatua wahusika kwa kuwa wanafahamika, kama vile ambavyo alithubutu JPM kufanya. Ukiona serikali imeuchuna, huku taasisi yake nyeti ya fedha, BOT inalalamika, basi tambua inawagwaya wafanyabiashara na matajiri wakubwa, na hata inashindwa kuwachukulia hatua ijapokuwa inawatambua.
"Toothless bulldog"
Wewe ni mnufaika na dorra kupande ,achieni dorra mlizo zifichaUsiturudishe kwenye ule UHAYAWANI wa
MAGUFULI. Kunya g'anya fedha za mtu aliyezitolea jasho lake siyo uungwana. Ndiyo maana JITU lile lilikufa tarrhe 17/ 03/21.
Jamani kama walioficha hizo dolali si mchukue hatua !! Ya nini kulalamika while you have authority to handle all issues concerning fedha. Mnaliabisha taifa kwenye uso wa dunia.View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.
Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.
Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Magufuli alivyopora watu sukari, sukari ilishuka bei?Hivi watu wa kitengo hawawezi kutoa taarifa nyeti kuhusu wahusika wakuu wenye kuhusika kuficha fedha za kigeni hasa dola za Kimarekani?
Yaani kweli BoT imefikia hatua ya kuishia kulalamika kuhusu upungufu uliopo katika mzunguko wa fedha za kigeni hapa nchini na kisha kuwapigia magoti wahujumu uchumi?
Taassi nyeti zinapaswa kuwachukulia hatua wahusika kwa kuwa wanafahamika, kama vile ambavyo alithubutu JPM kufanya. Ukiona serikali imeuchuna, huku taasisi yake nyeti ya fedha, BOT inalalamika, basi tambua inawagwaya wafanyabiashara na matajiri wakubwa, na hata inashindwa kuwachukulia hatua ijapokuwa inawatambua.
"Toothless bulldog"
Tutuba, sarafu ya BRICS vipi?View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.
Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.
Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Walikufa natural death, ila huyu Magufuli alikufa kwa madhambi aliyojibebesha!Kwenye ukoo na familia yako hakuna "majitu" yaliyokufa!? Nao walinyang'angya fedha za nani!? Kuwa na heshima.
Wewe pimbi hata hiyo dolla hujawahi kuiona ndiyo maana unaandika dorra. Hii hoja waachie wenye akiliWewe ni mnufaika na dorra kupande ,achieni dorra mlizo zificha
Benki kuu inaongozwa na vilaza hawajui wanachofanya!! Kupatikana kwa dollar katika mzunguko huja kwa sera mahiri za fedha na sio kuomba watu waachie dollar zao!!View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.
Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.
Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Tumezificha mahala salama.View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.
Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.
Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
They will print the fiat currency!Dhahabu sawa. Jee dhahabu si zinanunuliwa Kwa fedha? Jee hizo fedha za kununulia dhahabu za kuhifadhi tunazo??
Unategemea mama Abdul awachukulie hatua wafadhiri wake wa Royal Tour? She is in bed with the Tanzanian Mafia!Hivi watu wa kitengo hawawezi kutoa taarifa nyeti kuhusu wahusika wakuu wenye kuhusika kuficha fedha za kigeni hasa dola za Kimarekani?
Yaani kweli BoT imefikia hatua ya kuishia kulalamika kuhusu upungufu uliopo katika mzunguko wa fedha za kigeni hapa nchini na kisha kuwapigia magoti wahujumu uchumi?
Taassi nyeti zinapaswa kuwachukulia hatua wahusika kwa kuwa wanafahamika, kama vile ambavyo alithubutu JPM kufanya. Ukiona serikali imeuchuna, huku taasisi yake nyeti ya fedha, BOT inalalamika, basi tambua inawagwaya wafanyabiashara na matajiri wakubwa, na hata inashindwa kuwachukulia hatua ijapokuwa inawatambua.
"Toothless bulldog"
Wameficha au wamejitunzia?View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.
Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.
Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Unanunua kwa pesa ya Japan sio lazma DollarHalafu hiyo hela ya Afrika utaitumia kufanyia nini wakati hamtengenezi chochote?
Mjapan atakubali kuuza V8 zake kwa pesa ya madafu, ya Afrika?
Katoa mchongo kwa umma, kwa wale wenye dola ukificha dola sasa hivi utatengeneza faida kubwa baadae.walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko
Maana yake, siyo vizuri kutegemea Currency moja kwa uchumi wa Dunia. Wenye nazo wakiamua, uchumi wa Dunia unayubaHalafu hiyo hela ya Afrika utaitumia kufanyia nini wakati hamtengenezi chochote?