briskyking
New Member
- Nov 9, 2024
- 1
- 0
Inamaanisha kama umekopa huwalipi na pia sms na kuwapigia watu havipi tenaKa hawa hakika loan ni wezi kabisa fikiria wana kupa 40000,kialisia wanakuwekea kwako 32500,uje ulipe 50000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaanisha kama umekopa huwalipi na pia sms na kuwapigia watu havipi tenaKa hawa hakika loan ni wezi kabisa fikiria wana kupa 40000,kialisia wanakuwekea kwako 32500,uje ulipe 50000
Kuna wale wanajiita Mo Dewj cjui, wale ni matapeli wa kutupwa ila kwenye orodha hawapo inamaana wamesajiliwa kabisa?!Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania.
Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya Mwongozo kwa Watoa Huduma Ndogo za Fedha wa Daraja la Pili wanaotoa huduma za mikopo kwa njia ya kidijitali wa mwaka 2024 uliotolewa na Benki Kuu tarehe 27 Agosti, 2024 (Guidance Note on Digital Lenders Under Tier 2 Microfinance Service Providers, 2024).
Pia, Soma:
Mwongozo huo unalenga kuimarisha usimamizi wa Watoa Huduma Ndogo za Fedha Daraja la Pili nchini na kuhakikisha uzingatiwaji wa Kanuni za Kumlinda Mlaji wa Huduma za Fedha, ikijumuisha uwazi, uwekaji wa tozo na riba, njia za ukusanyaji wa madeni, na utunzaji wa taarifa binafsi za wateja na kulinda faragha zao.
- Uchunguzi: Wakopeshaji wa mitandaoni hawajasajiliwa na BoT wala BRELA na uendeshaji wao umejaa vitendo vya udhalilishaji
- BoT Inawatambua Wakopeshaji wa Mitandaoni Wanne Pekee!
Kupitia taarifa hii, Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuuarifu Umma kwamba Majukwaa na Programu Tumizi "Applications" zifuatazo hazina kibali na haziruhusiwi kuendelea na shughuli za utoaji mikopo kidijitali;
Nimekuona sehemu kumbe ndio weweNdiyo mimi mwenyewe baba Marcom
Umeniona wapi?Nimekuona sehemu kumbe ndio wewe
Kule mtandao mwingine, si unapenda kuvaa jezi PSG n.k,kuna moja upo juu ya pikipikiUmeniona wapi?
😆😆Kule mtandao mwingine, si unapenda kuvaa jezi PSG n.k,kuna moja upo juu ya pikipiki
Ukisikia kupigwa na kitu kizito ndio huku, NI HUZUNI.Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania.
Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya Mwongozo kwa Watoa Huduma Ndogo za Fedha wa Daraja la Pili wanaotoa huduma za mikopo kwa njia ya kidijitali wa mwaka 2024 uliotolewa na Benki Kuu tarehe 27 Agosti, 2024 (Guidance Note on Digital Lenders Under Tier 2 Microfinance Service Providers, 2024).
Pia, Soma:
Mwongozo huo unalenga kuimarisha usimamizi wa Watoa Huduma Ndogo za Fedha Daraja la Pili nchini na kuhakikisha uzingatiwaji wa Kanuni za Kumlinda Mlaji wa Huduma za Fedha, ikijumuisha uwazi, uwekaji wa tozo na riba, njia za ukusanyaji wa madeni, na utunzaji wa taarifa binafsi za wateja na kulinda faragha zao.
- Uchunguzi: Wakopeshaji wa mitandaoni hawajasajiliwa na BoT wala BRELA na uendeshaji wao umejaa vitendo vya udhalilishaji
- BoT Inawatambua Wakopeshaji wa Mitandaoni Wanne Pekee!
Kupitia taarifa hii, Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuuarifu Umma kwamba Majukwaa na Programu Tumizi "Applications" zifuatazo hazina kibali na haziruhusiwi kuendelea na shughuli za utoaji mikopo kidijitali;
Huzuni Gani mkuu?Ukisikia kupigwa na kitu kizito ndio huku, NI HUZUNI.
Huwezi kujua kwasababu wewe bado ni WAKUSOMA, utajua utakapomaliza shule.Huzuni Gani mkuu?
Wao interest in sh ngapiBranch wanataka namba ya kitambulisho tu. Hawana shida na picha ya kitambukisho wala sura yako.