Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yaanika Application 69 zilizofungiwa kwa utoaji mikopo kidijitali bila leseni
Kuwafungia haitoshi, wanatakiwa walipe FIDIA siku zote walizo fanya kazi kinyume na Sheri. Pamoja na wahusika kufungwa jela miaka 30 na kufilisiwa mali zao zote. Warudishe fedha zote walizo chukua kwa wananchi kupitia riba. Wateswe na wanyongwe hadhani ili iwe fundisho kwa wengine.
Yes
 
Ila mkuu ujue unakula dhulma hela za wanaume wenzako hizo ungefanya kuwarudishia japo nusu hasara.
HIZO NI HELA ZAKO MWENYEWE UKIANGALIA HAPO NA KUPIGA HESABU HELA YAO HALALI NI SHILINGI 21000 TU YA MWANZO ULIPOANZA KUKOPA MAANA ULIANZA WAKAUAMBIA WANAKUPA 30,00 LAKINI UKAINGIZIWA 21000 WAKATI WA KULIPAUKALIPA 37,000 MPAKA ULIPO FIKIA LAKI INAMAANA HELA ZOTE ZA KWAKO NA YAKWAO WALISHAGA RUDISHA KITAMBOI
 
Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania.

Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya Mwongozo kwa Watoa Huduma Ndogo za Fedha wa Daraja la Pili wanaotoa huduma za mikopo kwa njia ya kidijitali wa mwaka 2024 uliotolewa na Benki Kuu tarehe 27 Agosti, 2024 (Guidance Note on Digital Lenders Under Tier 2 Microfinance Service Providers, 2024).

Pia, Soma:
Mwongozo huo unalenga kuimarisha usimamizi wa Watoa Huduma Ndogo za Fedha Daraja la Pili nchini na kuhakikisha uzingatiwaji wa Kanuni za Kumlinda Mlaji wa Huduma za Fedha, ikijumuisha uwazi, uwekaji wa tozo na riba, njia za ukusanyaji wa madeni, na utunzaji wa taarifa binafsi za wateja na kulinda faragha zao.

Kupitia taarifa hii, Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuuarifu Umma kwamba Majukwaa na Programu Tumizi "Applications" zifuatazo hazina kibali na haziruhusiwi kuendelea na shughuli za utoaji mikopo kidijitali;
one pesa siioni??
 
Toa mfano
Unadhani matangazo yanayokuja kwenye kifaa chako kwa sms au kupitia internet jamaa wanakuaga wanapata taarifa wapi ili waku target vizuri.....hizo apps nyingi zilikua zinabeba taarifa binafsi za watu,,,, namba za simu,,, mesej zako,,,hizo taarifa ni muhimu sana kwa makampuni ya matangazo
 
We
BENKI Kuu ya Tanzania (BOT) imetoa orodha ya Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications 69 zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka BOT.


Katika taarifa iliyotoa kwa umma, BOT imesema majukwaa na programu hizo hazijakidhi matakwa ya Mwongozo kwa Watoa Huduma Ndogo za Fedha wa Daraja la Pili wanaotoa huduma za mikopo kwa njia ya kidijitali wa mwaka 2024 walioutoa Agosti 27 mwaka huu (Guidance Note on Digital Lenders Under Tier 2


Microfinance Service Providers, 2024).


"Mwongozo huo unalenga kuimarisha usimamizi wa


Watoa Huduma Ndogo za Fedha Daraja la Pili nchini na kuhakikisha uzingatiwaji wa Kanuni za Kumlinda Mlaji wa Huduma za Fedha, ikijumuisha uwazi, uwekaji wa tozo na riba, njia za ukusanyaji wa madeni, na utunzaji wa taarifa binafsi za wateja na kulinda faragha zao," imeeleza taarifa hiyo.View attachment 3157731View attachment 3157732
Nae Toka 2014 Bado member tu acha uvivu
 
Unadhani matangazo yanayokuja kwenye kifaa chako kwa sms au kupitia internet jamaa wanakuaga wanapata taarifa wapi ili waku target vizuri.....hizo apps nyingi zilikua zinabeba taarifa binafsi za watu,,,, namba za simu,,, mesej zako,,,hizo taarifa ni muhimu sana kwa makampuni ya matangazo
Hayo matangazo nayablock ,simple tu
 
Hayo matangazo nayablock ,simple tu
😀😀si mpaka ukishtuka hasa matangazo ya sms za kawaida,, tena utablock ukiwa na smart ila ukiwa na kiswaswadu utayakoga tu
 
Sababu ni leseni na siyo kusumbua na kuingilia privacy za watu
 
Back
Top Bottom