Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Wamechelewa sana.
Ingawa wamefanya jambo zuri
Ingawa wamefanya jambo zuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YesKuwafungia haitoshi, wanatakiwa walipe FIDIA siku zote walizo fanya kazi kinyume na Sheri. Pamoja na wahusika kufungwa jela miaka 30 na kufilisiwa mali zao zote. Warudishe fedha zote walizo chukua kwa wananchi kupitia riba. Wateswe na wanyongwe hadhani ili iwe fundisho kwa wengine.
Mbona application yako ipo onNo 18 kwenye list
Ka hawa hakika loan ni wezi kabisa fikiria wana kupa 40000,kialisia wanakuwekea kwako 32500,uje u
Tena ndani ya siku 5 na sio 7. Ikifikqa ya 7 unaweza kudhalilishwa.lipe 50000
Hawana vibali, it seems hata kodi hawalipiMlilazimishwa kukopa
Wanaumiza sanaaHawana vibali, it seems hata kodi hawalipi
HIZO NI HELA ZAKO MWENYEWE UKIANGALIA HAPO NA KUPIGA HESABU HELA YAO HALALI NI SHILINGI 21000 TU YA MWANZO ULIPOANZA KUKOPA MAANA ULIANZA WAKAUAMBIA WANAKUPA 30,00 LAKINI UKAINGIZIWA 21000 WAKATI WA KULIPAUKALIPA 37,000 MPAKA ULIPO FIKIA LAKI INAMAANA HELA ZOTE ZA KWAKO NA YAKWAO WALISHAGA RUDISHA KITAMBOIIla mkuu ujue unakula dhulma hela za wanaume wenzako hizo ungefanya kuwarudishia japo nusu hasara.
one pesa siioni??Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania.
Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya Mwongozo kwa Watoa Huduma Ndogo za Fedha wa Daraja la Pili wanaotoa huduma za mikopo kwa njia ya kidijitali wa mwaka 2024 uliotolewa na Benki Kuu tarehe 27 Agosti, 2024 (Guidance Note on Digital Lenders Under Tier 2 Microfinance Service Providers, 2024).
Pia, Soma:
Mwongozo huo unalenga kuimarisha usimamizi wa Watoa Huduma Ndogo za Fedha Daraja la Pili nchini na kuhakikisha uzingatiwaji wa Kanuni za Kumlinda Mlaji wa Huduma za Fedha, ikijumuisha uwazi, uwekaji wa tozo na riba, njia za ukusanyaji wa madeni, na utunzaji wa taarifa binafsi za wateja na kulinda faragha zao.
- Uchunguzi: Wakopeshaji wa mitandaoni hawajasajiliwa na BoT wala BRELA na uendeshaji wao umejaa vitendo vya udhalilishaji
- BoT Inawatambua Wakopeshaji wa Mitandaoni Wanne Pekee!
Kupitia taarifa hii, Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuuarifu Umma kwamba Majukwaa na Programu Tumizi "Applications" zifuatazo hazina kibali na haziruhusiwi kuendelea na shughuli za utoaji mikopo kidijitali;
Toa mfanoKuwapa watu wa matangazo
Unadhani matangazo yanayokuja kwenye kifaa chako kwa sms au kupitia internet jamaa wanakuaga wanapata taarifa wapi ili waku target vizuri.....hizo apps nyingi zilikua zinabeba taarifa binafsi za watu,,,, namba za simu,,, mesej zako,,,hizo taarifa ni muhimu sana kwa makampuni ya matangazoToa mfano
Nae Toka 2014 Bado member tu acha uvivuBENKI Kuu ya Tanzania (BOT) imetoa orodha ya Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications 69 zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka BOT.
Katika taarifa iliyotoa kwa umma, BOT imesema majukwaa na programu hizo hazijakidhi matakwa ya Mwongozo kwa Watoa Huduma Ndogo za Fedha wa Daraja la Pili wanaotoa huduma za mikopo kwa njia ya kidijitali wa mwaka 2024 walioutoa Agosti 27 mwaka huu (Guidance Note on Digital Lenders Under Tier 2
Microfinance Service Providers, 2024).
"Mwongozo huo unalenga kuimarisha usimamizi wa
Watoa Huduma Ndogo za Fedha Daraja la Pili nchini na kuhakikisha uzingatiwaji wa Kanuni za Kumlinda Mlaji wa Huduma za Fedha, ikijumuisha uwazi, uwekaji wa tozo na riba, njia za ukusanyaji wa madeni, na utunzaji wa taarifa binafsi za wateja na kulinda faragha zao," imeeleza taarifa hiyo.View attachment 3157731View attachment 3157732
Hayo matangazo nayablock ,simple tuUnadhani matangazo yanayokuja kwenye kifaa chako kwa sms au kupitia internet jamaa wanakuaga wanapata taarifa wapi ili waku target vizuri.....hizo apps nyingi zilikua zinabeba taarifa binafsi za watu,,,, namba za simu,,, mesej zako,,,hizo taarifa ni muhimu sana kwa makampuni ya matangazo
😀😀si mpaka ukishtuka hasa matangazo ya sms za kawaida,, tena utablock ukiwa na smart ila ukiwa na kiswaswadu utayakoga tuHayo matangazo nayablock ,simple tu
Branch wanataka namba ya kitambulisho tu. Hawana shida na picha ya kitambukisho wala sura yako.Hivi hakuna app ambazo hawahitaji picha za vitambulisho!?