Kuna wale wanajiita Mo Dewj cjui, wale ni matapeli wa kutupwa ila kwenye orodha hawapo inamaana wamesajiliwa kabisa?!
Nani yuko nyuma yao?!
 
Kule mtandao mwingine, si unapenda kuvaa jezi PSG n.k,kuna moja upo juu ya pikipiki
😆😆

Mkuu situmii mtandao wowote zaidi ya JF, Insta na Watsup.

Wewe umeniona mtandao upi kati ya hapo?
 
Ukisikia kupigwa na kitu kizito ndio huku, NI HUZUNI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…