Benki ya Amana inahujumiwa

Hii benki pamoja na kwamba ni Islamic inaendeshwa kidini mno, ikifika wafanyakazi wore ni waislam, ukiomba tends hata Kama una vigezo hawakupi Kama wewe sio mwislamu. Waache ubaguzi was kidini.

Hapa ndio wanapofeli hawa jamaa,wameetanguliza dini kuliko akili na ndio mana mambo yao mengi yanafeli.
 
Islamic banking inahitaji uongozi mzuri kuliko hata benki za kawaida, ukiwepo uongozi mbovu ni rahisi kuipoteza benki hasa kwenye utoaji mbaya wa fedha maana hakuna kushikana mashati kuirudisha kama mteja amefirisika.

Najua kuwa haitoi huduma bure ndio maana nasema inatakiwa kuzingatiwa ni nani shareholders na wanataka nini, ni ipi management yenye sera na mipango ya utoaji huduma na uendeshaji. Ingekuwa kugawa hela bure hata mjinga akikaa hapo si anaweza kufanya.
Kuanza kulalamikia hujuma kutoka nje ni kukwepa majukumu. Nani specifically anawahujumu, kwanini wahujumiwe na hatua gani wamechukua.
 
Bado sijaelewa benki isiyotoza riba kabisa inawezaje kumudu gharama za uendeshaji. Kwa ufupi, kinachotokea ndicho hasa kinachotarajiwa kuwapo, vinginevyo ingekuwa ni mshangao
Hi ni simple tu unaenda pale kukopa pesa kujenga nyumba unaombwa BOQ yako yote wananunua hivyo vifa vya ujenzi wanakuuzia kwa faida ndogo e.g nyundo zinauzwa 13000, wenyewe watakuuzia kwa 13500 kila nyundo faida yao ni sh 500 kila nyundo kwa mwezi au mwaka kulingana na makubaliano, wewe ndo unae wapeleka unako taka kununua hiyo sio riba ni faida......hiyo nyumba ikipata dhoruba hasara mnaigawana pasu kwa pasu
 

Bora kukosa mali kuliko kukosa akili. Naonea huruma hawa wanaojidanganya nafsi.
Kila tatizo lao binafsi wanasingizia watu wengine
Mara majina yao shule yanafutwa....mara kazi wananyimwa....mara wanachukiwa wakipewa madaraka hata kama wanafanya makosa gani....

Yaaani kila uchao ni kusingia watu ambao hawana hatia
 
Wajanja wanawatumia wajinga kuwarubuni na kujineemesha kupitia dini,mnahujumiana wenyewe kisha mnakuja kulialia humu,hakuna taasisi ya waislam ambayo inaweza kujisimamia vzri bila msaada wa waarabu,kwasababu huwa hawaajiri brain ila wanaajiri wakariri kuwani na wenye sigda kubwa.
 
Mkuu huo sio udini nakueleza ukweli kabisa, unajua wengi hatujui islamic system of banking bora tukae kimya.
system ya islamic banking siijui vp ???? kijana wa jana unataka kunambia unajua systems au tenets za dini kuniliko mie.
Banking ni biashara , na ni biashara ina expenses za juu sana , ukizingatia trends za nyakati tulizopo sio kama enzi za kitambo . kama utafanya biashara in this century nenda na nyakati strategically, bila that utakuwa extinct. Management ya pale inakasoro kubwa mno
 

Hawa jamaa niwa kuwahurumia tu,mana msingi wa imani yao ni kukataa western education,wakati ndio inayo run dunia kwa sasa,zaidi ajira zao zimejikita kiubaguzi wa kidini badala uwezo wa kiakili wa kufanya kazi yani kigezo cha kufanya kazi katika taasisi zao ni dini. Na dini haipendi elimu ya western world[emoji28]
 
Kwani mpaka sasa kuna kina dani au john au vaileti kwenye hiyo bank? Si mnaajiri waislamu tupu nyie au mmeanza kuhujumiana wenyewe😂😂. Mkikaa ikulu mkumbuke kuomba msaada bank isimame sio mnaomba kodi za tende zishuke. Alafu msitafute huruma za maraisi waislamu pambaneni. Elimu elimu elimu. Inafaida zake
 
Hatutaki huruma ya raisi.Ni wajibu wake kulinda vitega uchumi na kuzui mtafaruki wa wateja wa benki.Apeleke watu wataalamu wakafuatilie au awaite ikulu kuuliza kuhusu tetesi hizi na awashauri.
 
Ami bank ya Kiislam kufanya vizuri kwa nchi kama yetu ni vigumu sana. Hapa Tanzania Waislam siyo homogenious group useme wanaweza ongea kitu kwa kauli moja.

Kabla ya Waislam hawajaenda kwenye hiyo bank watajiuliza mmiliki ni nani? Shia, Ismail, Sunni au Bohora? Jibu likiwa tofauti na matazamio yake basi ujue huyo mteja hatatumia hiyo bank.

Labda utuambie hiyo bank mmiliki ni nani na ndipo tunaweza kujua inakufa kifo cha kawaida au inahujumiwa.

Pili ushindani ni mkubwa, japo Amana wanatoa mikopo wakidai haina riba kimsingi wana riba sema wameibadilisha jina. Sasa wafanyabiashara wengi wanaokopa kwa mazingira ya Tanzania walishazoea hizi riba zetu za commercial bank ili kuendesha niashara zao. Ni vigumu kubadilika.
 
na ofcourse principles za kiuchumi alizoleta mohamad ni za uongo, utaendeshaje bank, utalipate mishahara, na gharama zingnie bila kupata pesa ya ziada? na kama ipo wasiseme hakuna riba, waseme tu kuna riba. wenzao waarabu kwasababu wana pesa hua wanazifanya hizo bank kuwa ni services kwa raia wakiona inataka kudondoka wanaipush kwa pesa zao, hawa sasa wameingia kichwa kichwa, bank inafilisika, hakuna wa kulaumu kwasababu uongozi woooote ni wa waislam na wafanyakazi wooote ni waislam, wanahangaika kutafuta wapi watamwingiza mgalatia hawapaoni, wamebaki kutapatapa. jidhihirisheni mumtetee muanzisha dini wenu kuwa principles zake za uchumi zinafanya kazi kwa kupitia bank yenu, mkishindwa mrudi mumpokeee Yesu Kristo awe Bwana na Mwokozi wa maisha yenu kwasababu mtajua mliingia cha kike. mlidanganywa kuwepo kwenye hiyo dini. jiteteeni sasa tuwaone.

enzi za Eliya Mtishibi kule Israel, aliwaita hivyo hivyo muombe moto ushuke, mliomba hadi mkajikatakata hakuna moto ulishuka, Eliya alipomwomba Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo, Mungu wa Israel ambaye ndiye aliyewaumba hata ninyi na anapenda mumrudie hata leo, moto ulishuka ukalamba mawe hadi maji. kwahiyo huko kushindwa kwenu sio kwa mara ya kwanza, mtaendelea kushindwa milele mbele ya wale wanaomwambini Mungu wa Kweli, Mungu wa Israel.
 
Ukiondoa hujuma za makusudi hakuna uwezekano wa hii benki kufa mfano wa Efatha.Kwa hivyo tusizungumzie kifo ila tujiulize wapi wanakwama ilhali wana kundi kubwa la wateja.
 
Hatutaki huruma ya raisi.Ni wajibu wake kulinda vitega uchumi na kuzui mtafaruki wa wateja wa benki.Apeleke watu wataalamu wakafuatilie au awaite ikulu kuuliza kuhusu tetesi hizi na awashauri.
Yaani raisi akashughulikie ka bank kamoja kasikojiweza kazi ya waziri ni nn. Waitwe ikulu si wataomba kifaa cha kuchungulia mwezi tu kama kawaida yao
 
Ukiondoa hujuma za makusudi hakuna uwezekano wa hii benki kufa mfano wa Efatha.Kwa hivyo tusizungumzie kifo ila tujiulize wapi wanakwama ilhali wana kundi kubwa la wateja.
kwani Efatha bank ilipokufa, kuna mgalatia yeyote aliwanyooshea kidole waislam kwamba wanahujumu? ile ilikufa kwa kukosa usimamizi mzuri na tulikubaliana namna hiyo ikaisha hiyo, kisomi namna hiyo, hakuna kulialia wala nini. though ukweli ni kwamba Magu alikuwa na mkono kwenye kuidondosha kwa maslahi yake kisiasa. sasa sasahivi utasema samia anaihujumu bank yake? rais in muislam, waziri mkuu muislam, mkuu wa TISS ni muislam, ukija kwenye bank yenyewe viongozi woote ni waislam, lakini kwasababu haina maana waislam wanaenda kuchukua mikopo kwenye bank za kipagani huko na wanazidi kuzinufaisha hizo, kwahiyo hilo ni tatizo lenu, kama mnao wasomi kaeni chini huko misikitini mjadili mna mpate jibu, mkipata poa na msipopata poa ni zigo lenu halituhusu sisi wengine, kwasababu bank zetu sisi tusiojua kulialia zinaendelea vizuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…