antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Semeni tu kuwa mnataka kuajiri kwa ubaguzi wa kidini, wafanyakazi wote wawe wavaa suruali fupiTatizo linaloinyemelea Amana bank ni kama ilivyoelezwa hapo juu.Kuna mapandikizi wengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Semeni tu kuwa mnataka kuajiri kwa ubaguzi wa kidini, wafanyakazi wote wawe wavaa suruali fupiTatizo linaloinyemelea Amana bank ni kama ilivyoelezwa hapo juu.Kuna mapandikizi wengi.
Walimtoa nduki USA kutoka Afghanistan aliyevaa buti
Inafanya biashara.Wapigie watakuelimishaBado sijaelewa benki isiyotoza riba kabisa inawezaje kumudu gharama za uendeshaji. Kwa ufupi, kinachotokea ndicho hasa kinachotarajiwa kuwapo, vinginevyo ingekuwa ni mshangao
Hii benki pamoja na kwamba ni Islamic inaendeshwa kidini mno, ikifika wafanyakazi wore ni waislam, ukiomba tends hata Kama una vigezo hawakupi Kama wewe sio mwislamu. Waache ubaguzi was kidini.
Islamic banking inahitaji uongozi mzuri kuliko hata benki za kawaida, ukiwepo uongozi mbovu ni rahisi kuipoteza benki hasa kwenye utoaji mbaya wa fedha maana hakuna kushikana mashati kuirudisha kama mteja amefirisika.Ninge kushauri to take your time ujifunze jinsi Islamic banking system inavo operate, pesa ya kuhudumia wafanya kazi inapatikana vizuri, haitowi huduma bure inacho tafoutisha na banki zingine ni mambo kama matatu au mawili hususani pale katika kukopa kerejesha na kushindwa kulipa, ukisoma islamised economics hizo oparation are very alaborated. Tatizo letu wabongo hatupendi kusoma vitabu.
kwani unafikiri kuna mgalatia hata mmoja pale? woote ni wao na wanataka kulaumu mgalatia.Semeni tu kuwa mnataka kuajiri kwa ubaguzi wa kidini, wafanyakazi wote wawe wavaa suruali fupi
Hi ni simple tu unaenda pale kukopa pesa kujenga nyumba unaombwa BOQ yako yote wananunua hivyo vifa vya ujenzi wanakuuzia kwa faida ndogo e.g nyundo zinauzwa 13000, wenyewe watakuuzia kwa 13500 kila nyundo faida yao ni sh 500 kila nyundo kwa mwezi au mwaka kulingana na makubaliano, wewe ndo unae wapeleka unako taka kununua hiyo sio riba ni faida......hiyo nyumba ikipata dhoruba hasara mnaigawana pasu kwa pasuBado sijaelewa benki isiyotoza riba kabisa inawezaje kumudu gharama za uendeshaji. Kwa ufupi, kinachotokea ndicho hasa kinachotarajiwa kuwapo, vinginevyo ingekuwa ni mshangao
[emoji28][emoji28][emoji28],wazee wa kulialia,unaleta dini kwenye biashara lazima ufeli tu,wamesahau ya kaisari mpe kaisari.
Wenzao waarabu wana mafuta yawapa pesa nyingi,huku bongo pangu pakavu wanataka kuiga waarabu kisa wamekaririshwa kusali kiarabu.
Mnaotuhujumu ni nyinyi.
system ya islamic banking siijui vp ???? kijana wa jana unataka kunambia unajua systems au tenets za dini kuniliko mie.Mkuu huo sio udini nakueleza ukweli kabisa, unajua wengi hatujui islamic system of banking bora tukae kimya.
Bora kukosa mali kuliko kukosa akili. Naonea huruma hawa wanaojidanganya nafsi.
Kila tatizo lao binafsi wanasingizia watu wengine
Mara majina yao shule yanafutwa....mara kazi wananyimwa....mara wanachukiwa wakipewa madaraka hata kama wanafanya makosa gani....
Yaaani kila uchao ni kusingia watu ambao hawana hatia
Kwani mpaka sasa kuna kina dani au john au vaileti kwenye hiyo bank? Si mnaajiri waislamu tupu nyie au mmeanza kuhujumiana wenyewe😂😂. Mkikaa ikulu mkumbuke kuomba msaada bank isimame sio mnaomba kodi za tende zishuke. Alafu msitafute huruma za maraisi waislamu pambaneni. Elimu elimu elimu. Inafaida zakeHii ni benki ya mwanzo nchini kuendesha huduma zake kwa misingi ya sharia za kiislamu. Pia ni muendelezo wa mfumo bora wa kibenki unaofanya kazi nchi nyingi duniani.
Benki hii ilipoanza kazi nchini kulikuwa na maneno kutoka kwa baadhi ya watu lakini hatimae ikaanza shughuli zake na kuonekana kukua kwa kasi. Hata hivyo katika siku za karibu kwa mtazamo wa kimteja nimeona kuna shida zisizotatulika.
Katika pita pita yangu nimekutana na jamaa mwenye taarifa za ndani ambaye amethibitisha kuna hujuma za ndani kwa ndani zinazoendeshwa na wafanyakazi ambao kama wametumwa wafanye kazi hiyo.Kwa upande mwengine kuna benki nyengine ambazo zinakiuka sheria za BOT na kuacha ushirikiano na benki hii tena bila kukemewa.
inajulikana benki yoyote ya kiislamu duniani haiwezi kufilisika kwa njia za kawaida.Hata hivyo panapokuwa na hujuma zinazoendelea ndani kwa ndani hilo si ajabu kutokea.
Kuna tetesi kuwa wale waliopigania uanzishwaji wake na kupelekea furaha kwa jamii ya kiislamu na faida kubwa kwa wananchi kwa jumla walipoona wimbi la ufisadi na mbinu zao kuzidiwa na watu hao waliamua kukaa pembeni kuliko kuangalia kinachotokea.
Moja ya matawi muhimu ya benki ya Amana ni pale Tandamti ambapo awali wafanyabiashara wakubwa wa kiislamu walijazana kuweka fedha zao. Mara kadhaa nimekwenda nikakutana na wenzangu na mie wanaokwenda kutoa sh.10,000 za kununulia fungu la muhogo na dagaa. Inasemekana wengi wamekerwa na uzembe unaondelea wanapohitaji huduma kwenye benki hiyo.
Ushauri kama wapo wakereketwa wa benki ya Amana waliobaki katika uongozi wa juu basi wafukuze wapuuzi wote wanaotaka kutukanisha benki hiyo hasa kwenye vitengo ya teknohama na kila inapowezekana waanze kuajiri waislamu wenyewe kwanza wenye taaluma ya vitengo husika mbali mbali vya benki hiyo.
Salamu hizi zimfikie raisi Samia ili apeleke watu wake wakafuatilie mhimili huu wa uchumi iii mwaka wowote atakaondoka asije akaondoka na benki imekufa. Atabezwa kama alivyofanyiwa Kikwete aliyeondoka madarakani akiwawaacha masheikh wamerundikwa kwa makosa yasiyo na mbele wala nyuma.
Hawa jamaa wanadeka sana wao ni kulia lia tu badala ya kuchukua hatua kwa matatizo yanayowakabiliMmeshindwa kusimamia bank mnasingizia hujuma, mnashindwa kuwasomesha watoto wenu mnasingizia hujuma, mnashindwa kujiletea maendeleo mnasingizia hujuma, mwambieni allah kama kashindwa kuwaongoza aseme tu.
Hatutaki huruma ya raisi.Ni wajibu wake kulinda vitega uchumi na kuzui mtafaruki wa wateja wa benki.Apeleke watu wataalamu wakafuatilie au awaite ikulu kuuliza kuhusu tetesi hizi na awashauri.Kwani mpaka sasa kuna kina dani au john au vaileti kwenye hiyo bank? Si mnaajiri waislamu tupu nyie au mmeanza kuhujumiana wenyewe😂😂. Mkikaa ikulu mkumbuke kuomba msaada bank isimame sio mnaomba kodi za tende zishuke. Alafu msitafute huruma za maraisi waislamu pambaneni. Elimu elimu elimu. Inafaida zake
Ami bank ya Kiislam kufanya vizuri kwa nchi kama yetu ni vigumu sana. Hapa Tanzania Waislam siyo homogenious group useme wanaweza ongea kitu kwa kauli moja.Hii ni benki ya mwanzo nchini kuendesha huduma zake kwa misingi ya sharia za kiislamu. Pia ni muendelezo wa mfumo bora wa kibenki unaofanya kazi nchi nyingi duniani.
Benki hii ilipoanza kazi nchini kulikuwa na maneno kutoka kwa baadhi ya watu lakini hatimae ikaanza shughuli zake na kuonekana kukua kwa kasi. Hata hivyo katika siku za karibu kwa mtazamo wa kimteja nimeona kuna shida zisizotatulika.
Katika pita pita yangu nimekutana na jamaa mwenye taarifa za ndani ambaye amethibitisha kuna hujuma za ndani kwa ndani zinazoendeshwa na wafanyakazi ambao kama wametumwa wafanye kazi hiyo.Kwa upande mwengine kuna benki nyengine ambazo zinakiuka sheria za BOT na kuacha ushirikiano na benki hii tena bila kukemewa.
inajulikana benki yoyote ya kiislamu duniani haiwezi kufilisika kwa njia za kawaida.Hata hivyo panapokuwa na hujuma zinazoendelea ndani kwa ndani hilo si ajabu kutokea.
Kuna tetesi kuwa wale waliopigania uanzishwaji wake na kupelekea furaha kwa jamii ya kiislamu na faida kubwa kwa wananchi kwa jumla walipoona wimbi la ufisadi na mbinu zao kuzidiwa na watu hao waliamua kukaa pembeni kuliko kuangalia kinachotokea.
Moja ya matawi muhimu ya benki ya Amana ni pale Tandamti ambapo awali wafanyabiashara wakubwa wa kiislamu walijazana kuweka fedha zao. Mara kadhaa nimekwenda nikakutana na wenzangu na mie wanaokwenda kutoa sh.10,000 za kununulia fungu la muhogo na dagaa. Inasemekana wengi wamekerwa na uzembe unaondelea wanapohitaji huduma kwenye benki hiyo.
Ushauri kama wapo wakereketwa wa benki ya Amana waliobaki katika uongozi wa juu basi wafukuze wapuuzi wote wanaotaka kutukanisha benki hiyo hasa kwenye vitengo ya teknohama na kila inapowezekana waanze kuajiri waislamu wenyewe kwanza wenye taaluma ya vitengo husika mbali mbali vya benki hiyo.
Salamu hizi zimfikie raisi Samia ili apeleke watu wake wakafuatilie mhimili huu wa uchumi iii mwaka wowote atakaondoka asije akaondoka na benki imekufa. Atabezwa kama alivyofanyiwa Kikwete aliyeondoka madarakani akiwawaacha masheikh wamerundikwa kwa makosa yasiyo na mbele wala nyuma.
na ofcourse principles za kiuchumi alizoleta mohamad ni za uongo, utaendeshaje bank, utalipate mishahara, na gharama zingnie bila kupata pesa ya ziada? na kama ipo wasiseme hakuna riba, waseme tu kuna riba. wenzao waarabu kwasababu wana pesa hua wanazifanya hizo bank kuwa ni services kwa raia wakiona inataka kudondoka wanaipush kwa pesa zao, hawa sasa wameingia kichwa kichwa, bank inafilisika, hakuna wa kulaumu kwasababu uongozi woooote ni wa waislam na wafanyakazi wooote ni waislam, wanahangaika kutafuta wapi watamwingiza mgalatia hawapaoni, wamebaki kutapatapa. jidhihirisheni mumtetee muanzisha dini wenu kuwa principles zake za uchumi zinafanya kazi kwa kupitia bank yenu, mkishindwa mrudi mumpokeee Yesu Kristo awe Bwana na Mwokozi wa maisha yenu kwasababu mtajua mliingia cha kike. mlidanganywa kuwepo kwenye hiyo dini. jiteteeni sasa tuwaone.Wajanja wanawatumia wajinga kuwarubuni na kujineemesha kupitia dini,mnahujumiana wenyewe kisha mnakuja kulialia humu,hakuna taasisi ya waislam ambayo inaweza kujisimamia vzri bila msaada wa waarabu,kwasababu huwa hawaajiri brain ila wanaajiri wakariri kuwani na wenye sigda kubwa.
Ukiondoa hujuma za makusudi hakuna uwezekano wa hii benki kufa mfano wa Efatha.Kwa hivyo tusizungumzie kifo ila tujiulize wapi wanakwama ilhali wana kundi kubwa la wateja.Ami bank ya Kiislam kufanya vizuri kwa nchi kama yetu ni vigumu sana. Hapa Tanzania Waislam siyo homogenious group useme wanaweza ongea kitu kwa kauli moja.
Kabla ya Waislam hawajaenda kwenye hiyo bank watajiuliza mmiliki ni nani? Shia, Ismail, Sunni au Bohora? Jibu likiwa tofauti na matazamio yake basi ujue huyo mteja hatatumia hiyo bank.
Labda utuambie hiyo bank mmiliki ni nani na ndipo tunaweza kujua inakufa kifo cha kawaida au inahujumiwa.
Pili ushindani ni mkubwa, japo Amana wanatoa mikopo wakidai haina riba kimsingi wana riba sema wameibadilisha jina. Sasa wafanyabiashara wengi wanaokopa kwa mazingira ya Tanzania walishazoea hizi riba zetu za commercial bank ili kuendesha niashara zao. Ni vigumu kubadilika.
Yaani raisi akashughulikie ka bank kamoja kasikojiweza kazi ya waziri ni nn. Waitwe ikulu si wataomba kifaa cha kuchungulia mwezi tu kama kawaida yaoHatutaki huruma ya raisi.Ni wajibu wake kulinda vitega uchumi na kuzui mtafaruki wa wateja wa benki.Apeleke watu wataalamu wakafuatilie au awaite ikulu kuuliza kuhusu tetesi hizi na awashauri.
kwani Efatha bank ilipokufa, kuna mgalatia yeyote aliwanyooshea kidole waislam kwamba wanahujumu? ile ilikufa kwa kukosa usimamizi mzuri na tulikubaliana namna hiyo ikaisha hiyo, kisomi namna hiyo, hakuna kulialia wala nini. though ukweli ni kwamba Magu alikuwa na mkono kwenye kuidondosha kwa maslahi yake kisiasa. sasa sasahivi utasema samia anaihujumu bank yake? rais in muislam, waziri mkuu muislam, mkuu wa TISS ni muislam, ukija kwenye bank yenyewe viongozi woote ni waislam, lakini kwasababu haina maana waislam wanaenda kuchukua mikopo kwenye bank za kipagani huko na wanazidi kuzinufaisha hizo, kwahiyo hilo ni tatizo lenu, kama mnao wasomi kaeni chini huko misikitini mjadili mna mpate jibu, mkipata poa na msipopata poa ni zigo lenu halituhusu sisi wengine, kwasababu bank zetu sisi tusiojua kulialia zinaendelea vizuri tu.Ukiondoa hujuma za makusudi hakuna uwezekano wa hii benki kufa mfano wa Efatha.Kwa hivyo tusizungumzie kifo ila tujiulize wapi wanakwama ilhali wana kundi kubwa la wateja.