Lahaula..eeeeh Mola weee.ikitokea hali ya namha hiyo kitu ambacho huwa kinafanywa ni kupiga bomu la machoki ndani au bomu lenye kuchosha wote waliomu kwa muda na hapo askari hutumia nafas hiyo kuokoa au kuna watu wa CRT wanaweza wakaingia au kumua jambazi bila yeye kujua..snapers ndo kazi yao hapo sasa..jambazi anackncetrate kuangalia askari huku snaper akiwa anamtafutia target na huwa hakosi
Duu nimecheka sana hakika jf raha tupuMimi tawi langu ndiyo hapo crdb mbagala wakiingia kwenye akaunti yangu watachukua hela yangu yote
Babaeee, hizo hela wanapelekaga wap jamani? Uwiiiii, yeuwuiiii, kelewiiiiiieeeBenki ya CRDB tawi la Mbagala imevamiwa na majambazi,Mbagala hakuendeki mpaka muda huu polisi imeizingira benki majambazi yapo ndani ya benki, kujisalimisha hayataki.
Ipo karibu na dar liveIpo,kama sikosei ipo upande wa kulia kama unatokea mtoni kuelekea rangi tatu
Tupia picha basi tukuamini sisi matomasoHizo habari sio za kweli nmefika sas ivi kuna askari wawili walinz wa bank wapo nje wanapga stor raia wanaingia na kutok km kawaida
Mbona kila siku ni Mbagala?Tupia picha basi tukuamini sisi matomaso
Hizo habari sio za kweli nmefika sas ivi kuna askari wawili walinz wa bank wapo nje wanapga stor raia wanaingia na kutok km kawaida
Kwa mjibu wa utaratibu, hairuhusiwi kulanda landa ukiwa na mtutu ndani ya bank wakati wa kuhudumia wateja. Iwe ni polisi au raia wa kawaida.Kama itakuwa ni kweli,itakuwa ni mtihani kwa Vyombo vya ulinzi na usalama na Sekta za kibenki.
Benki kama ina kamera za ulinzi,zitumike kusoma tukio lilotokea.
Na Serikali nayo inatakiwa kulaumiwa,kwani imeendelea kuacha makazi holela na kutokuwa na mpangilio wa miji.
Siku chache zilizopita uvamizi kwenye tawi la benki umefanyika Mbagala.inaonekana wahalifu wanajificha katika makazi ambayo hayajapimwa.
Vile vile CRDB huwa wanatumia ulinzi wa askari wetu wa Polisi,leo kama tukio limetokea na askari wapo nje,sasa itabidi askari wabadili mbinu za ulinzi.
JF wamepeleka mahakamani pingamizi dhidi ya matumizi huru ya internet.kuna kesi ya nini tena
Utaratibu uliopo ni kutii amri. Umeambiwa toa hela... u better submit tena immediatelyIla majambazi yanafanya dhambi kubwa sana kuua watu, bank zote zina insurance, wakiiba fedha bank zinarudishiwa fedha sasa kwa nini watoe uhai wa mtu wakati uhai auna insurance????????????? Aaaaahhhh mikaka jambazi akili haina kabisa
The Olympus has Fallen,Niko eneo la tukio...ngoja nichukue picha.
Ila huu uwingi wa watu utawafanya majambazi yajichanganye na raia wa ndani ya bank.
Siondoki mpaka nipige picha
dah hv kama wasipotoka hao majambazi polisi watachukua hatua gn, mana kwenye muv huwa naona askari mmoja anajisalimisha nakuacha silaha zote nje then anachoma ndani.
Lahaula..eeeeh Mola weee.
Machoki = machozi
Snapers/snaper = Sniper