Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Nasubiri jibu! Kutoka kwa Chige
Nini ulichouliza ambacho sijakujibu! Mbaya zaidi unauliza kutoka kwenye irrelevant data, na kinyume chake maswali yote niliyokuuliza hakuna hata moja ulilojibu
 
Nini ulichouliza ambacho sijakujibu! Mbaya zaidi unauliza kutoka kwenye irrelevant data, na kinyume chake maswali yote niliyokuuliza hakuna hata moja ulilojibu
Aibu ni ya kwako sasa.
 
Kweli kuielewa siasa inahitaji akili kubwa
Serikali ilishagundua kua lazima tutaingia uchumi wa kati kitambo tu maana ni mambo ya data tu
Wakawa wanalizungumzia kila mda na mwishowe limetimia ,cha kujiuliza ni kwamba mbona kipindi cha kikwete ilikua hawazungumzii sana mambo ya uchumi wa kati ,lakini muda JP magufuli hili jambo lilizungumziwa sana wakijua ni lazima tutafika uchumi wa kati na wakajua kabisa watanzania hawafuatilii data na hawaelewi maana ya Uchumi wa kati ni nini
Hata wakajua wabongo hawatafanya hesabu kulinganusha income per capital kipindi cha kikwete ilikua kwa kiasi gani na kipindi cha magufuli umekua kiasi gani.
Ila ukweli ni kwamba kwa wanaojua kufanya mahesabu ya uchumi kikwete alibakisha kidogo kufika uchumi wa kati maanake ni kwamba muhula wa mwisho wa kikwete income per capital ilikua kwa kasi zaidi kuliko muhula wa kwanza wa magufuli anaebisha akafukue data za Uchumi wa nchi ataliona ilo
Mwisho kipindi cha magufuli alichokaa madarakani Uchumi wa MTU mmoja mmoja umeongezeka kwa Kiwango kidogo sana ukilinganisha na kipindi cha kikwete

Pia tusishangilie sana maana Guinea wana Uchumi mkubwa sana lakini raia wake ni masikini ,muhimu ukuaji wa uchumi (macro economy ) uendane na ukuaji wa UCHUMI wa MTU mmoja mmoja
Mkuu ww ni great thinker sana nikupe pongezi.
Mkuu kuchambua takwimu za uchumi zinahitaji umakini sana. Mfano serikali inasema imezalisha ajira laki 6 ambayo ni kweli kitakwimu ila haimaanishi ni WATU LAKI 6 wameajiriwa/wamejiajiri ila kuna potential slots za watu laki 6 kufanya shughuli za kiuchumi Tanzania sababu kuna umeme, kuna miundombinu kuna ndege za ATCL n.k ila hizo takwimu haziongelei uwepo wa mitaji,soko n.k

Sasa kwa kuwa wanajua waTz hawapendi kusoma then tukiambiwa ajira laki 6 basi watu wanadhani ni AJIRA rasmi kabisa laki 6!!

Tuna safari ndefu sana
 
Na hapa omba msamaha kwa upotoshaji. JPM data ni za miaka 3 hiyo miaka 4/5 umezipata wapi? Chige
Hivi unajisikiaje watu tunajadili ripoti ya July 01, 2020 halafu wewe umekomaa na hoja kwa kutumia outdated report ya November 2019?!

Eti ndo Wafuasi wenyewe wa JPM nyie!!!
 
Lakini hali ya kipato ya mwananchi wa kawaida inaendelea kuzorota kila iitwapo leo.
Matunda ya kazi za JPM watakaofaidi ni watoto wako na wangu sio leo wala Kesho itachukua muda angalau 15 years minimum kwa kasi hii. Lakini kama na wewe upo ngangari kujiwezesha ni miaka mitano tu.
 
Aibu ni ya kwako sasa.
Ripoti uliyokomaa nayo hii:-
WB2.png


Wakati watu tunajadili Ripoti ya July 1, 2020!!! Bwah! Bwah! Bwah!

Yaani umeota mishipa kumbe ulikuwa hata kujua tunajadili nini ulikuwa hujui! No wonder unapewa WB Source unasema BBC eti kisa tu rangi!!
 
Ripoti uliyokomaa nayo hii:-
View attachment 1494878

Wakati watu tunajadili Ripoti ya July 1, 2020!!! Bwah! Bwah! Bwah!

Yaani umeota mishipa kumbe ulikuwa hata kujua tunajadili nini ulikuwa hujui! No wonder unapewa WB Source unasema BBC eti kisa tu rangi!!
Aliyeleta link ya BBC ni wewe endelea kujishaua, kuanzia sasa naku-ignore rasmi kwa sababu huna hoja umejaa viroja. Umejaa uongo na uzandiki.
 
Kila sehemu naona shangwe hebu nambieni tukishakuwa uchumi wa kati ndo inakuaje sasa?
 
Uchumi wa kati ni kipato cha wastani wa kuanzia dola 1,036 ambayo ni sawa na shs takribani milioni 2,500,000 kwa mwaka.

Mtanzania wa kawaida mnyonge ni kweli anapata kipato kinachofika takribani shilingi 7,000 kwa siku na kwa mwaka shilingi 2,500,000?

Kufika uchumi wa kati unaotangazwa ni kweli ndio hali halisi au makaratasi yanayopelekwa bemki ya dunia yamedanganya?
Hivi mbona wa Afrika wengi Ni Wajinga hivi!

sasa unataka kuanza kutuhangaisha vichwa Sisi kwa maswali yako ya kinafiki haya, Si upande ndege mpaka Geneva Uswis ukawaulize hao W.B maswali yako Maana ndo waliotoa hiyo taarifa ya Uchumi wa kati.

Mbona mwenzio alipanda ndege kwenda kuomba WB isitoe pesa za Elimu kwa serikali ya JMT japo Walimupuuza.
 
Aliyeleta link ya BBC ni wewe endelea kujishaua, kuanzia sasa naku-ignore rasmi kwa sababu huna hoja umejaa viroja. Umejaa uongo na uzandiki.
Unatia aibu... weka hapa hiyo link ya BBC niliyoiweka kama sio ukurupukaji wako ndio ulikufanya screenshot ya WB uone ni ya BBC kisa tu red layout!! Ni ukurupukaji huo huo ndio umekufanya hadi ulete report ya 2019 wakati watu wanajadili report ya leo!

In short, hapo unajichekesha chekesha tu lakini deep inside your heart unajua umechemka!!

All in all, jibu maswali yangu na kama huna majibu, tusichoshane!!
 
Kanuni wanazotumia ni za jumla bila kujali kipato halisi cha masikini wengi.
 
Kwa takwimu hizo, ni ushahidi tosha kwamba JPM amevuruga uchumi, na JK was far better compared to JPM.

Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:- Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'

Ukiangalia WB Secondary Data, unakutana na hii kitu (GNI per capita by Atlas Method).
View attachment 1494559

Kumbe, 2015 GNI Per Capita by Atlas Method ilikuwa $980. Kwa maana nyingine, kwa miaka 5 mzima, JPM alikuwa anahangaika kuivusha GNI per capita from $980 to $1036... a difference of ONLY $54.

Kinyume chake, GNI Per capita in 2010 ilikuwa kama ifuatavyo:-
View attachment 1494564

Utaona hapo, in 2010 GNI per capita ilikuwa $720, na kwa maana nyingine, GNI per capita ilipanda from $720 in 2010 to $980 in 2015! Yaani ilipanda kwa $260, wakati miaka 5 ya JPM imepanda around $54+!

On top of that, mwaka 2005 GNI per capita ilikuwa $500, na kwa maana nyingine, miaka yake 5 ya kwanza, Mzee wa Msoga alipandisha GNI per capita from $500 in 2005 to $720 in 2010... yaani $220 wakati JPM miaka 5 yake ya kwanza inaonesha kapandisha for less than $100.

View attachment 1494576

Ama kweli mtaji mkubwa JPM ni Jeshi Kubwa la Wajinga lililopo nyuma yake! And JPM anafanikiwa haya kwa sababu ile ile niliyowahi kuitaja siku za nyuma: Tanzania is full of people with average mind, and many more below the average!
Dah mkuu kwa huu uchambuzi wa kitaalam ulipaswa uajiriwe federal reserve. Unachambua hadi server zimejaa
 
Hivi mbona wa Afrika wengi Ni Wajinga hivi!

sasa unataka kuanza kutuhangaisha vichwa Sisi kwa maswali yako ya kinafiki haya, Si upande ndege mpaka Geneva Uswis ukawaulize hao W.B maswali yako Maana ndo waliotoa hiyo taarifa ya Uchumi wa kati.

Mbona mwenzio alipanda ndege kwenda kuomba WB isitoe pesa za Elimu kwa serikali ya JMT japo Walimupuuza.
Mbona una hasira?
 
I
Dah mkuu kwa huu uchambuzi wa kitaalam ulipaswa uajiriwe federal reserve. Unachambua hadi server zimejaa
Up upuuzi aloandika Apo hata mwanangu anaandika hesabu za kutoa,magu abaki kua juu ametoa nchi mahala flani
 
Kitendo cha Nchi ya Tanzania kuingia katika daraja hilo LA nchi zenye Uchumi wa kati,Rais wetu mpendwa Dr Magufuli na watanzania wote wanahitaji kupewa pongezi.

Mbali na pongezi hizo,hapa pana jambo LA mhimu sana kuliko pongezi hizo nalo ni aina ya Rais alietuvusha kufika katika daraja hilo kutofikirika kuongezwa Mda wa Utawala wake ili aendelee kubuni na kusimamia mambo mengine ya mhimu katika ustawi wa nchi na wananchi kwa kigezo cha katiba !

Namaanisha hata baada ya miaka hii mitano tuitarajiayo ya kipindi cha Rais wetu Watanzania tufikirie kumwongezea Rais miaka mingine zaidi ya utawala ili azidi kupata mda wa ziada wa kitekeleza mipango mingine ya kimaendeleo kwa nchi yetu na watu wake! "Kidumu Chama cha Mapinduzi".
 
Unajua mtaji wa CCM ni waTz ambao hatupendi kusoma. Sijaona uzi mzima watu wakiomba methodology, au classification basis ya hizo takwimu. No wonder hamshangai Zimbabwe ni middle income!!
View attachment 1494836
Nadhani hiyo footnote kutoka kwenye hiyo ripoti inajieleza yenyewe.

Tupende kusoma wanaJF
Tatizo Wana PhD lakini hawajui kusoma Wala kuandika kwa hiyo hawaelewi mengi ndo maana wanadanganyika na kudanganyana kwa urahisi.
 
Back
Top Bottom