Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Nasubiri jibu! Kutoka kwa Chige
Nini ulichouliza ambacho sijakujibu! Mbaya zaidi unauliza kutoka kwenye irrelevant data, na kinyume chake maswali yote niliyokuuliza hakuna hata moja ulilojibu
 
Nini ulichouliza ambacho sijakujibu! Mbaya zaidi unauliza kutoka kwenye irrelevant data, na kinyume chake maswali yote niliyokuuliza hakuna hata moja ulilojibu
Aibu ni ya kwako sasa.
 
Mkuu ww ni great thinker sana nikupe pongezi.
Mkuu kuchambua takwimu za uchumi zinahitaji umakini sana. Mfano serikali inasema imezalisha ajira laki 6 ambayo ni kweli kitakwimu ila haimaanishi ni WATU LAKI 6 wameajiriwa/wamejiajiri ila kuna potential slots za watu laki 6 kufanya shughuli za kiuchumi Tanzania sababu kuna umeme, kuna miundombinu kuna ndege za ATCL n.k ila hizo takwimu haziongelei uwepo wa mitaji,soko n.k

Sasa kwa kuwa wanajua waTz hawapendi kusoma then tukiambiwa ajira laki 6 basi watu wanadhani ni AJIRA rasmi kabisa laki 6!!

Tuna safari ndefu sana
 
Na hapa omba msamaha kwa upotoshaji. JPM data ni za miaka 3 hiyo miaka 4/5 umezipata wapi? Chige
Hivi unajisikiaje watu tunajadili ripoti ya July 01, 2020 halafu wewe umekomaa na hoja kwa kutumia outdated report ya November 2019?!

Eti ndo Wafuasi wenyewe wa JPM nyie!!!
 
Lakini hali ya kipato ya mwananchi wa kawaida inaendelea kuzorota kila iitwapo leo.
Matunda ya kazi za JPM watakaofaidi ni watoto wako na wangu sio leo wala Kesho itachukua muda angalau 15 years minimum kwa kasi hii. Lakini kama na wewe upo ngangari kujiwezesha ni miaka mitano tu.
 
Aibu ni ya kwako sasa.
Ripoti uliyokomaa nayo hii:-


Wakati watu tunajadili Ripoti ya July 1, 2020!!! Bwah! Bwah! Bwah!

Yaani umeota mishipa kumbe ulikuwa hata kujua tunajadili nini ulikuwa hujui! No wonder unapewa WB Source unasema BBC eti kisa tu rangi!!
 
Aliyeleta link ya BBC ni wewe endelea kujishaua, kuanzia sasa naku-ignore rasmi kwa sababu huna hoja umejaa viroja. Umejaa uongo na uzandiki.
 
Kila sehemu naona shangwe hebu nambieni tukishakuwa uchumi wa kati ndo inakuaje sasa?
 
Hivi mbona wa Afrika wengi Ni Wajinga hivi!

sasa unataka kuanza kutuhangaisha vichwa Sisi kwa maswali yako ya kinafiki haya, Si upande ndege mpaka Geneva Uswis ukawaulize hao W.B maswali yako Maana ndo waliotoa hiyo taarifa ya Uchumi wa kati.

Mbona mwenzio alipanda ndege kwenda kuomba WB isitoe pesa za Elimu kwa serikali ya JMT japo Walimupuuza.
 
Aliyeleta link ya BBC ni wewe endelea kujishaua, kuanzia sasa naku-ignore rasmi kwa sababu huna hoja umejaa viroja. Umejaa uongo na uzandiki.
Unatia aibu... weka hapa hiyo link ya BBC niliyoiweka kama sio ukurupukaji wako ndio ulikufanya screenshot ya WB uone ni ya BBC kisa tu red layout!! Ni ukurupukaji huo huo ndio umekufanya hadi ulete report ya 2019 wakati watu wanajadili report ya leo!

In short, hapo unajichekesha chekesha tu lakini deep inside your heart unajua umechemka!!

All in all, jibu maswali yangu na kama huna majibu, tusichoshane!!
 
Kanuni wanazotumia ni za jumla bila kujali kipato halisi cha masikini wengi.
 
Dah mkuu kwa huu uchambuzi wa kitaalam ulipaswa uajiriwe federal reserve. Unachambua hadi server zimejaa
 
Mbona una hasira?
 
I
Dah mkuu kwa huu uchambuzi wa kitaalam ulipaswa uajiriwe federal reserve. Unachambua hadi server zimejaa
Up upuuzi aloandika Apo hata mwanangu anaandika hesabu za kutoa,magu abaki kua juu ametoa nchi mahala flani
 
Kitendo cha Nchi ya Tanzania kuingia katika daraja hilo LA nchi zenye Uchumi wa kati,Rais wetu mpendwa Dr Magufuli na watanzania wote wanahitaji kupewa pongezi.

Mbali na pongezi hizo,hapa pana jambo LA mhimu sana kuliko pongezi hizo nalo ni aina ya Rais alietuvusha kufika katika daraja hilo kutofikirika kuongezwa Mda wa Utawala wake ili aendelee kubuni na kusimamia mambo mengine ya mhimu katika ustawi wa nchi na wananchi kwa kigezo cha katiba !

Namaanisha hata baada ya miaka hii mitano tuitarajiayo ya kipindi cha Rais wetu Watanzania tufikirie kumwongezea Rais miaka mingine zaidi ya utawala ili azidi kupata mda wa ziada wa kitekeleza mipango mingine ya kimaendeleo kwa nchi yetu na watu wake! "Kidumu Chama cha Mapinduzi".
 
Tatizo Wana PhD lakini hawajui kusoma Wala kuandika kwa hiyo hawaelewi mengi ndo maana wanadanganyika na kudanganyana kwa urahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…