Labda hakuelewa kilichoandikwa, na pia inategemea aliye watafsiria hiyo taarifa kwa kiswahili alikuwa nani.Magu kasema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda hakuelewa kilichoandikwa, na pia inategemea aliye watafsiria hiyo taarifa kwa kiswahili alikuwa nani.Magu kasema
Kilaza huwa haelewi Mkuu! Kama umefunguka macho ina maana umeelewa, na anayeelewa hawezi kuwa kilaza! Vilaza ni wale ambao hata baada ya kuwawekea data, wanaishia kutukana!!
Kumbe na wewe mchawi.
Takwimu tu mnashindwa kusoma itakuwa katiba?
You can change your earlier thoughts I presume.
Sasa BBC ndio source yako unayoiamini? Ina maana wenyewe WB ambao ndio wanatoa hizo data huwaamini? Au ndio kiwango cha darasa la pili?
Aibu ni ya kwako sasa.
Vijakazi vya mabeberu vitapinga
Mkuu ukitusaidia taarifa ya World Bank tuione itakuwa jambo zuri sana
Aliyeleta link ya BBC ni wewe endelea kujishaua, kuanzia sasa naku-ignore rasmi kwa sababu huna hoja umejaa viroja. Umejaa uongo na uzandiki.
Kuna wakati najiuliza zitto junior nia na dhamira yako ni nini? Hata kama wewe ni mpinzani kisiasa, ni aibu kuwa na mawazo yaliyomo kwenye hoja yako hapo juu (underlined). Una maana gani kama siyo kutusi jamii, au wewe ndiye hupendi kusoma?
Kwa suala la WB kuiorodhesha Tanzania kwenye nchi zenye kiwango cha chini cha Kipato cha Kati, si jambo la kubeza, ila la kila Mtanzania, kutambua fursa zilizopo za kukuza uchumi binfasi na wa Taifa kuelekea Uchumi wa Kati. Kama wewe ni mwanasiasa, basi kuweka Sera na Mikatati ya maendeleo (Kijamii, kisiasa, Kiuchumi na Kiteknolojia) ambazo zitalinda na kuendeleza kiwango hicho cha "Kipato cha Kati", na si kubishana kama ni kweli au
La.
Tabia ya kupinga kila jambo na/au kujadili matukio inawaondoa kwenye masuala ya kitaifa ili Chama kikubaliwe na wananchi. Hivyo nategemea, Mkuu zitto junior na wenye tabia na mawazo kama yako, utatafsiri mafanikio ya Tanzania kupanda kwa Kipato cha Kati kwa vitendo ili kufikia " Middle Income" kama Zimbabwe uliyoifagilia.
Unanilazimisha kusema yasiyohusika na mada kuu, kwamba viongozi unaodhani wana uwezo wa kuipandisha Tanzania kiuchumi ndio hao wenye tuhuma za ufisadi, uzinzi na ulevi wa kupindukia!!!
Kudos nini? Nyinyi ndio wanga kuletaleta thread za ajabuajabu usiku waway manane. LalenibanaKitendo cha Nchi ya Tanzania kuingia katika daraja hilo LA nchi zenye Uchumi wa kati,Rais wetu mpendwa Dr Magufuli na watanzania wote wanahitaji kupewa pongezi.
Mbali na pongezi hizo,hapa pana jambo LA mhimu sana kuliko pongezi hizo nalo ni aina ya Rais alietuvusha kufika katika daraja hilo kutofikirika kuongezwa Mda wa Utawala wake ili aendelee kubuni na kusimamia mambo mengine ya mhimu katika ustawi wa nchi na wananchi kwa kigezo cha katiba ! Namaanisha hata baada ya miaka hii mitano tuitarajiayo ya kipindi cha Rais wetu Watanzania tufikirie kumwongezea Rais miaka mingine zaidi ya utawala ili azidi kupata mda wa ziada wa kitekeleza mipango mingine ya kimaendeleo kwa nchi yetu na watu wake! "Kidumu Chama cha Mapinduzi".
Naona Benki ya Dunia imeeunga juhudi za serikali ya awamu ya 5 kuelekea uchaguzi mkuu 2020.Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "
Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali
Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa kuongoza vyema Tanzania kupeleka uchumi wakati
Sisi ni matajiri
Soma pia: World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020
============
View attachment 1494690View attachment 1494691
Ndio kabisa, na elimu yetu ni bureee watoto wanafundishwa na walimu wa kutosha wenye ujuzi wa kutosha, wanapata bonge la elimu yaani! tukiugua tunatibiwa hospitali za serikali ambako kuna madawa kibao, ashindwe mgonjwa tu.. mambo ya kuambiwa tukanune dawa pharmacy ni historia.ELEWENI 2014, GDP per capita ya Tanzania ilikuwa $ 1,030 IKASHUKA ikawa $947 2015. Leo tunambiwa tuko $1,090. Tumepanda kwa $40 Kwenye miaka 6. Tunashukuru sana Mh. Rais. Tukiendelea hivi 2025 GDP per capita itafika $1,130. Kwa mwendo HUU tutakuwa tajiri baada ya miaka 150-Fatma Karume on twitter
Mkuu twende taratibu kwahiyo hii taarifa ni ya upotoshaji.?Anasema inatakiwa watu wapende kujisomea ili wawe na uelewa mpana wa mambo. Mtu anayependa kujisomea ni tofauti na wale watu wanaosimama kwenye mikutano ya propaganda mfu, na kuishia kulishwa taarifa za upotoshaji.