Angalia unavyozidi kudhihirisha uzuzu wako!
Kwamba pesa being accounted uliongelea kuhusu hali za watu kukosa pesa mifukoni... kuna mahali nimeongelea kuhusu pesa mifukoni?!
Na hata kama ningekuwa nimeongelea, kwani huko kwenye infrastructure development watu hawalipwi?! Na kama wanalipwa, how come infrastructure development iathiri mifuko ya watu?! Pamoja na kujigamba kwako kwamba una degree wakati hakuna aliyekuuliza, what do you know aboout multiplier effect in the economy?
Kwamba siku hizi degree mnauzia karanga, ina maana kuuzia karanga ndo kunakufanya uwe zuzu usiyejua ulichofundishwa darasani?!
Degree yako kuuzia karanga kuna uhusiano gani na kukufanya ushindwe kuelewa kwamba infrastructure development haiwezi kusababisha watu kutokuwa na pesa mifukoni, sana sana, as a result of multiplier effect, kutasababisha watu kuwa na pesa mifukoni!!
Mimi kutokuwa na ajira rasmi kuna uhusiana vipi na nyie kutumia degree zenu kuuzia karanga?! Btw, how come nitakuwa na ajira rasmi kama unavyodai wakati Ikulu kuna Boya anayevuruga uchumi?
Hivi una akili kweli wewe?!
We baki tu kuimba mapambio lakini every time unavyojaribu kuthibitisha kwamba wewe ni msomi ndo kwanza unaendelea kuthibitisha ujinga wako! Mbaya zaidi, unahangaika ku-prove kitu ambacho hakuna aliyekuhoji ikiwa unacho!