Benki ya Exim ya China kuichukua bandari ya Mombasa endapo Kenya itashindwa kurejesha mkopo iliochukua ili kujenga reli ya kisasa (SGR)

Kwa hiyo wazungu ndo rafiki zenu? Kisa wanatoa mikopo kwa masharti ya ushoga! Mbona wazungu wamechukua hadi utu wenu ila hamsemi,nini bandari?
 
Marekani wanadaiwa mabilioni ya dola na China na bado wanaendelea kukopa. Mbona hatusikii mali za Marekani zinachukuliwa na Mchina? Ufisadi wetu kwanini tumlaumu Mchina?
Kinachoangaliwa ni uwezo wa nchi kulipa, Bharesa anadaiwa na benki billions lkn akiomba mkopo anapewa tena wewe nenda benki kama utapewa hata laki.
 
Ndugu hiyo taarifa ya Ziwa Victoria ni fake news, jiongeze.
 
hizi kelele nazisikia kila siku ila sijawahi kusikia kama kenya wameshindwa kulipa deni............

nadhani tungejua ukweli ingetusaidia sana, niijuavyo kenya haina usiri ktk mambo mazito kama hayo.......
 
JAMAA WAMESHACHUKUA UWANJA WA NDEGE ZAMBIA
SAIVI HADI ZAMBIA POLISI NI WAO 😀😀😀😀😀😀
Mhhh! Ni balaa mi nilisikia wamechuka tu tanesco ya kule.. Ila hayo ya uwanjwa wa ndege na polisi nadhani ni chumvi zinaongezwa.
 
Wacha kuilinganisha Marekani na ombaomba
Marekani wanadaiwa mabilioni ya dola na China na bado wanaendelea kukopa. Mbona hatusikii mali za Marekani zinachukuliwa na Mchina? Ufisadi wetu kwanini tumlaumu Mchina?
 
Nawasifu sana wachina, hawataki ujinga.
 
Hakuna sehemu wamelazimisha watu waukubali ushoga wanasema haki za watu zilindwe na kuheshiwa.Soma vizuri maazimio ya UN kuhusu haki za binadamu
Kwa hiyo wazungu ndo rafiki zenu? Kisa wanatoa mikopo kwa masharti ya ushoga! Mbona wazungu wamechukua hadi utu wenu ila hamsemi,nini bandari?
 
Kama hujui kutafsiri kilichoandikwa kwa kiingereza omba ushauri. Kichwa Cha habari sio habari yenyewe.

#berational.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…