Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachoangaliwa ni uwezo wa nchi kulipa, Bharesa anadaiwa na benki billions lkn akiomba mkopo anapewa tena wewe nenda benki kama utapewa hata laki.Marekani wanadaiwa mabilioni ya dola na China na bado wanaendelea kukopa. Mbona hatusikii mali za Marekani zinachukuliwa na Mchina? Ufisadi wetu kwanini tumlaumu Mchina?
China ni rafiki wa kweli wa raslimali zetu. Waliomba walichukue ziwa Victoria ili Africa mashariki isamehewe madeni yake. Wao watajilipia ziwani.Kama walivyojilipa Kwa kuiba madini na mali zilizofichwa na wajerumani plus meno ya tembo selous na mikumi wakati wa Ujenzi wa reli ya Tazara Kwa mgongo wa kuijenga railway bure kama msaada.
Hata hilo hujui.Wataibeba hiyo port waende nayo China?
hizi kelele nazisikia kila siku ila sijawahi kusikia kama kenya wameshindwa kulipa deni............Benki ya Exim ya China huenda ikaichukua Bandari ya Mombasa, endapo #Kenya itashindwa kurejesha mkopo iliochukua ili kujenga reli ya kisasa (SGR). Kenya ilikopa TZS trilioni 7.2 kwa ajili ya reli hiyo mwaka 2013.
==========Chinese may take over Mombasa port: Ouko
The Daily Nation
SUMMARY
Kenya could lose the port of Mombasa to the Chinese government if Kenya Railways Corporation (KRC) defaults in the payment of Sh227 billion owed to Exim Bank of China.
- The government borrowed the billions to construct the Mombasa-Nairobi standard gauge railway (SGR), against opposition that it could become a white elephant.
- A report by Auditor-General Edward Ouko states that the payment agreement substantively means that the revenue of the Kenya Ports Authority would be used to clear the debt.
- The auditor notes that the agreement is biased since any non-performance or dispute with the bank would be referred to arbitration in China, “whose fairness is resolving the disagreement may not be guaranteed”.
- Ouko accuses the KPA management of not disclosing the guarantee documents in its financial statements.
The government borrowed the billions to construct the Mombasa-Nairobi standard gauge railway (SGR), against opposition that the project by China Roads and Bridges Corporation (CRBC), a Chinese State-owned company, could become a white elephant. The country's sovereignty is now at stake.
View attachment 972261
View attachment 972260
Mhhh! Ni balaa mi nilisikia wamechuka tu tanesco ya kule.. Ila hayo ya uwanjwa wa ndege na polisi nadhani ni chumvi zinaongezwa.JAMAA WAMESHACHUKUA UWANJA WA NDEGE ZAMBIA
SAIVI HADI ZAMBIA POLISI NI WAO 😀😀😀😀😀😀
Ohoo fatilia saivi wanaajiriwa kama polisi ZambiaMhhh! Ni balaa mi nilisikia wamechuka tu tanesco ya kule.. Ila hayo ya uwanjwa wa ndege na polisi nadhani ni chumvi zinaongezwa.
Marekani wanadaiwa mabilioni ya dola na China na bado wanaendelea kukopa. Mbona hatusikii mali za Marekani zinachukuliwa na Mchina? Ufisadi wetu kwanini tumlaumu Mchina?
Wataibeba hiyo port waende nayo China?
Wataibeba hiyo port waende nayo China?
Wataibeba hiyo port waende nayo China?
Benki ya Exim ya China huenda ikaichukua Bandari ya Mombasa, endapo #Kenya itashindwa kurejesha mkopo iliochukua ili kujenga reli ya kisasa (SGR). Kenya ilikopa TZS trilioni 7.2 kwa ajili ya reli hiyo mwaka 2013.
==========Chinese may take over Mombasa port: Ouko
The Daily Nation
SUMMARY
Kenya could lose the port of Mombasa to the Chinese government if Kenya Railways Corporation (KRC) defaults in the payment of Sh227 billion owed to Exim Bank of China.
- The government borrowed the billions to construct the Mombasa-Nairobi standard gauge railway (SGR), against opposition that it could become a white elephant.
- A report by Auditor-General Edward Ouko states that the payment agreement substantively means that the revenue of the Kenya Ports Authority would be used to clear the debt.
- The auditor notes that the agreement is biased since any non-performance or dispute with the bank would be referred to arbitration in China, “whose fairness is resolving the disagreement may not be guaranteed”.
- Ouko accuses the KPA management of not disclosing the guarantee documents in its financial statements.
The government borrowed the billions to construct the Mombasa-Nairobi standard gauge railway (SGR), against opposition that the project by China Roads and Bridges Corporation (CRBC), a Chinese State-owned company, could become a white elephant. The country's sovereignty is now at stake.
View attachment 972261
View attachment 972260
Unamaanisha nini mkuu wangu, yani wachina wajute ebu nitoe tongotongo plz?nawaonea huruma saana wachina watakuja kujuta saana mda sio mrefu
Ushajiuliza why wachina hawaichukui hiyo SGR?Ina maana hyo SRG hailipi mkopo?
JAMAA WAMESHACHUKUA UWANJA WA NDEGE ZAMBIA
SAIVI HADI ZAMBIA POLISI NI WAO 😀😀😀😀😀😀
Kwa hiyo wazungu ndo rafiki zenu? Kisa wanatoa mikopo kwa masharti ya ushoga! Mbona wazungu wamechukua hadi utu wenu ila hamsemi,nini bandari?
Wachukue tu, hakuna namna nyingine
Kama hujui kutafsiri kilichoandikwa kwa kiingereza omba ushauri. Kichwa Cha habari sio habari yenyewe.Benki ya Exim ya China huenda ikaichukua Bandari ya Mombasa, endapo #Kenya itashindwa kurejesha mkopo iliochukua ili kujenga reli ya kisasa (SGR). Kenya ilikopa TZS trilioni 7.2 kwa ajili ya reli hiyo mwaka 2013.
==========Chinese may take over Mombasa port: Ouko
The Daily Nation
SUMMARY
Kenya could lose the port of Mombasa to the Chinese government if Kenya Railways Corporation (KRC) defaults in the payment of Sh227 billion owed to Exim Bank of China.
- The government borrowed the billions to construct the Mombasa-Nairobi standard gauge railway (SGR), against opposition that it could become a white elephant.
- A report by Auditor-General Edward Ouko states that the payment agreement substantively means that the revenue of the Kenya Ports Authority would be used to clear the debt.
- The auditor notes that the agreement is biased since any non-performance or dispute with the bank would be referred to arbitration in China, “whose fairness is resolving the disagreement may not be guaranteed”.
- Ouko accuses the KPA management of not disclosing the guarantee documents in its financial statements.
The government borrowed the billions to construct the Mombasa-Nairobi standard gauge railway (SGR), against opposition that the project by China Roads and Bridges Corporation (CRBC), a Chinese State-owned company, could become a white elephant. The country's sovereignty is now at stake.
View attachment 972261
View attachment 972260
China hajawahi kuwa rafiki kwa mataifa ya Afrika