Benki yapiga mnada nyumba ya mwandishi wa habari wa Gazeti la RAIA MWEMA kisa deni la Tsh. Milioni 5.2

Na
Naimani mpaka inafikia kupigwa mnada kuna tahadhari kibao zilitoka, na kama mkopo alikuwwa anaujua angefatilia km kaishaona ye na mume wametengana.
 
Wengi wanamhukumu jamaa kwa hisia Zaid kuliko uhalisia
 
Yes ndo ilivyo sijajua hapo juu kuna member wanadai bank zinauza nyumba za marehemu.maybe hawajawah kopa ukikopa mkopo wowote utakatwa vitu viwili loans processing fee na insurance fee sijajua ilikuwaje kwa huyo mwandishi Hadi kuuziwa nyumba yake
 
Pole Sana', Mwanahabari! Mungu ni Mwema. Utapata Ufumbuzi. [emoji120]
 
Haya sasa Mayalla(Lakha) msaada unahitajika ila nasikia huyo ni wa Chadema zijui itakuwaje!
 
Jmn pole yake
 
Hivi hyo hela inayozidi wakipiga mnada wanakurudishia au... Assume deni ni 5.2m nyumba imeuzwa 30m hyo 24+m wanarudisha au?
...Hata Mimi Huwa najiuliza Sana hili Swali.
Nasubiri jibu.
 
Gazeti la RAIA MWEMA Huwa lina tabia ya kutangaza minada ya kuuza nyumba za watu.
Mungu ibariki FINCA, imefanya kazi nzuri.
Ninashauri mabaunsa wawahi kumuondoa haraka iwezekanavyo kwani hujasoma mkataba wa mkopo kutoka Finca.
Hakuna rejesho ndogo wala kubwa , dawa ya deni ni kulipa
 
Kisheria bank haiwezi kuuza collateral ya marehemu kuna insurance ambayo huwa inafanya kazi pale mkopaji anapofariki au kupata ulemavu au magonjwa ya kudumu labda km alikopa kwenye micro credit
Sasa fanya kuwa wakili wa mdaiwa kwa muda ukamtetee dhidi ya bank
 
Kwanza haqajasaini wote inakuwaje huo mkopo wakati mme na mke huwa wanasaini Mana inabidi wakubaliane wote jamani kuchukua mkopo kwa hati ya Nyumba Kama dhamana
 
...Hata Mimi Huwa najiuliza Sana hili Swali.
Nasubiri jibu.
If the sale of the home yields profit, the lender is not entitled to excess proceeds over the loan balance plus any fees, in short any money earned above the loan balance + fees goes to the borrower
 
Alipe nini wakati mnada umeshafanyika? Kilichobakia awahi bank akautoe salio lililobakia means 30m ~5.2m =24.8m.
Iwapo atafungua kesi na salio limebakia Finca , sheria inaelekeza Finca kutumia hilo salio kuendesha hiyo kesi.
 
Huyo mwanaume lazima anabeti
 
Sasa kwani shida iko wapi? Dawa ya Deni Ni kulipa na Kama hujalipa dhamana inpigwa bei
 
Kuna shida kubwa kwenye familia hiyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…