Benki yapiga mnada nyumba ya mwandishi wa habari wa Gazeti la RAIA MWEMA kisa deni la Tsh. Milioni 5.2

Hwa wanawake wana midomo sana.
Ukute alisha mjeruhi mume wake kwa mdomo wake, na jamaa akaona potelea mbali acha noma na iwe noma.

Pole kwa watoto wanaopitia njia hii.
 
Milion 5 ndio nyumba iuzwe jaman? Ina maana ameshindwa hata kuongea Na huyo mwajuri wake amkopeshe.
 
Kumbe ni mambo ya siasa.
 
Milion 5 ndio nyumba iuzwe jaman? Ina maana ameshindwa hata kuongea Na huyo mwajuri wake amkopeshe.
Mwajiri ni Gazeti la RAIA MWEMA anaishi NHC.
Hili gazeti kila siku linapokea matangazo ya minada ya nyumba za watu, wacha nao waone mziki wa mabank na madeni
 
Nyumba ya family hapo nadhan ndo anatakiwa kuanza napo
 
Nyumba ya family hapo nadhan ndo anatakiwa kuanza napo
Asipokimbilia mahakamani kuweka CAVET atakuta mnunuzi alisha maliza kufanya transfer kama ina hati, mwisho wa siku atafanya kesi na wanunuzi hata sita au atakuta mnunuzi alishaibomoa na kujenga nyingine.
 
Kwani watu wanapitia maisha gani mpka wanakopa mbona mpka leo sijawahi kopa ili nifanye jambo bora nijichange na kubana matumizi nikiwekeza kwa jambo langu lijalo.

Sasa hapo watakaoteseka ni watoto mke anaweza akapata jibwana likamtuliza
Ndugu shukuru sana wewe ni mtoto wa hao walio kuzaa na pia unaishi hayo maisha unayo yaishi.
"Mara nyingine pia Binadamu aliekufa hua thamani inashuka"
 
Mimi ninachofahamu ni kwamba huo mkopo mke anaujuwa vzr na hata mume anaujuwa vzr,,

Kinachofanyika ni njia ya kujinasua na kuomba huruma za wanainchi.


Kuna Jirani yangu mmoja nae alipata mkasa kama huo wa huyo dada,,

Mumewe alikopa pesa Sehemu 10 millions akaweka nyumba rehani

Mdaiwa hakulipa deni in time,,mdai akaenda mahakamani akapewa order nyumba iuzwe.

Mke akaja na madai kama hayo kwamba nyumba ni ya family na watoto na Sio ya jamaa peke yake.

Mnada ukasitishwa,,,,
Jamaa akalipa kidogo kidogo akamaliza deni.

Lakini Sio kwl kwamba mke hajuwi deni.
Ni uongo 100%..

Lipa pesa za watu wacha longo longo we dada na mumeo.
 
Kwani watu wanapitia maisha gani mpka wanakopa mbona mpka leo sijawahi kopa ili nifanye jambo bora nijichange na kubana matumizi nikiwekeza kwa jambo langu lijalo.

Sasa hapo watakaoteseka ni watoto mke anaweza akapata jibwana likamtuliza
Una umri gani kijana!?

Yaani hujui sababu ya mtu kukopa!!? Hata moja tuu
 
Akilipa mume atarudi tena kuidai hiyo nyumba.
 
Enyi benki miela yote hiyo mliyonayo mnashindwa kusamehe mama wa watu mtaendaje mbinguni sasa
 
Hivi hyo hela inayozidi wakipiga mnada wanakurudishia au... Assume deni ni 5.2m nyumba imeuzwa 30m hyo 24+m wanarudisha au?
Kwa taratibu za kifedha, inabidi arudishiwe baada ya kukata gharama zote na sehem zingine anazodaiwa ambako nyumba ilikuwa attached
 
Hao wanamgogoro wao binafsi, mwanaume ameamua kumkomka mkewe.
 
Kisheria bank haiwezi kuuza collateral ya marehemu kuna insurance ambayo huwa inafanya kazi pale mkopaji anapofariki au kupata ulemavu au magonjwa ya kudumu labda km alikopa kwenye micro credit

Insurance haikulipii mkopo kwa sababu za hasara zako za kibiashara.

Insurance inakusaidia kukulipia pale ukifariki ama ukipata ulemavu wa kudumu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…