Beno Kakolanya atoroka kambini kuelekea Mechi na Yanga SC

Mtu uambiwe uachie goli 6 khaaaa we kuweza?jamaa katoka mita
 
TFF,YANGA,MWIGULU,IHEFU wanajitekenya wanachekaaaa
 
Soka letu kivyetuvyetup
 
Hawa Singida wali kuja na moto sana .naona tajiri kasariti kambi hatoi pesa tena .
 
Mpaka sasa matokeo ya mechi yanaakisi match fixing. TAKUKURU waingilie kati, mpira wa bongo unanajisiwa kwa vipande vidogo vya fedha
 
Mpaka sasa matokeo ya mechi yanaakisi match fixing. TAKUKURU waingilie kati, mpira wa bongo unanajisiwa kwa vipande vidogo vya fedha
Kumbe match fixing huwa yanaakisiwa na matokeo? Je yalitakiwa yawe matokeo ya aina gani ili isiwe na uashiriwa wa match fixing?
 
timu pia nasikia ishauzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…