Beno Kakolanya atoroka kambini kuelekea Mechi na Yanga SC

Beno Kakolanya atoroka kambini kuelekea Mechi na Yanga SC

Mtu uambiwe uachie goli 6 khaaaa we kuweza?jamaa katoka mita
 
TFF,YANGA,MWIGULU,IHEFU wanajitekenya wanachekaaaa
 
Kablu ya singida fountain gate imesikitishwa na kitendo cha gilikipa wao beno kakolanya cha kutoroka kambini muda mchache kuelekea game yao dhidi ya yanga.
Singida wanakichukulia kitendo hicho kama ni hujma na wanafatilia kwa undani pamoja na wachezaji wengine wote wenye viashiria vya kuihujuma singida kwenye mchezo huo.
View attachment 2963432
Soka letu kivyetuvyetup
 
Hawa Singida wali kuja na moto sana .naona tajiri kasariti kambi hatoi pesa tena .
 
Mpaka sasa matokeo ya mechi yanaakisi match fixing. TAKUKURU waingilie kati, mpira wa bongo unanajisiwa kwa vipande vidogo vya fedha
 
Mpaka sasa matokeo ya mechi yanaakisi match fixing. TAKUKURU waingilie kati, mpira wa bongo unanajisiwa kwa vipande vidogo vya fedha
Kumbe match fixing huwa yanaakisiwa na matokeo? Je yalitakiwa yawe matokeo ya aina gani ili isiwe na uashiriwa wa match fixing?
 
Ya kale ni dhahabu!

IMG-20240414-WA0032.jpg
 
Kablu ya Singida Fountain Gate imesikitishwa na kitendo cha gilikipa wao Beno Kakolanya cha kutoroka kambini muda mchache kuelekea game yao dhidi ya Yanga.

Singida wanakichukulia kitendo hicho kama ni hujma na wanafatilia kwa undani pamoja na wachezaji wengine wote wenye viashiria vya kuihujuma singida kwenye mchezo huo.

View attachment 2963432
timu pia nasikia ishauzwa
 
Back
Top Bottom