Kwa wenye taarifa zenye uhakika naomba mtujuze kuhusu taarifa za kifo cha mh.membe.
 
Mkuu

Linda afya yako ukiwa kijana!!

Gigi,in na nk vinasumbua sana uzeeni na macho pia plus mapafu!!

Rip Mzee Membe!!
 
Musiba ni mchawi kwelikweli. We jiulize kwa nini hakuna aliyeweza kumgusa hadi sasa zaidi walikimbilia mahakamani. Maana tuliambiwa like kikundi ni mamafia sana, lakini kwa musiba sijui wameshindwaje

Ukikaa na kuamini makonda,sabaya,musiba waliibuka tu kama akina baba level umechagua kuwaza vibaya.

Japo siamini ktk uchawi kwenye hili ila kwa vyovyote membe asingelipwa na wala hatalipwa pesa zile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…