Kwa Lugha nyepesi kabisa na hili liweze kufahamika kwamba kwa namna yoyote ile utawala wa chama kile umefika ukomo, kwani hata huyu angekuwa kiongozi wa nchi, saizi taifa lingekuwa kwenye maombolezo.

Hizi ni ishara tu na kama kutakuwa kuna kulazimisha kubaki katika utawala baada ya miaka 40 ya kuanzishwa kwao na kutawala kwao basi tutasikia wengi wakiwahi viwanja.

Kwa wasomaji wa Biblia, kuanzia kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo, tawala za watu mbalimbali wakiwemo kina Mussa, Suleiman na wengineo wengi zilikuwa ni miaka 40. Miaka 40 kwa nchi yetu na chama kile iliishia 2017 na ilipotokea kulazimisha mambo wote twajua yaliyotokea.

Asikiaye na Afahamu.
 
Nchi ya kuuana tunaelekea kubaya
 
Mungu ampokee mja wake
 



Labda ni kutokana Na matendo ya mtu alipokuwa hai,

Tuishi kwa kutendeana mema na haki.
 
Huwa wanaacha kwanza hadi muda wa kukata rufaa upite.
Rufaa kwa mtu ambae hakutokea kabisa mahakamani? Kumbuka musiba alidharau mahakama na hakuitikia wito, pia hukumu ilitoka toka mwaka jana na hakuna rufaa ilikatwa
 
Wema huwa hawafi
Pumzika kwa amani
 
Wewe tulia, muhusika kaondoka. Familia wala haitaendelea na hili. Wao wanaachana nalo hili.Ninajua kuna kurithi wadai na wadaiwa.Ila kwa hili la kesi ya Musiba,Familia inaliacha linaondoka na aliyepeleka kesi.


Ghadhabu ya Mungu itafanya kazi yake!
 
Anadai mtu fidia ya Billion 9 utadhani aliwasiliana na MUNGU
 
Hapo hakuna mba mba mba ni zamu yake imefika tu,
Hayo mengine ni hisia za walimwengu tu
 


Propaganda za kuzugia watu hizi au ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…