Kwa Lugha nyepesi kabisa na hili liweze kufahamika kwamba kwa namna yoyote ile utawala wa chama kile umefika ukomo, kwani hata huyu angekuwa kiongozi wa nchi, saizi taifa lingekuwa kwenye maombolezo.
Hizi ni ishara tu na kama kutakuwa kuna kulazimisha kubaki katika utawala baada ya miaka 40 ya kuanzishwa kwao na kutawala kwao basi tutasikia wengi wakiwahi viwanja.
Kwa wasomaji wa Biblia, kuanzia kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo, tawala za watu mbalimbali wakiwemo kina Mussa, Suleiman na wengineo wengi zilikuwa ni miaka 40. Miaka 40 kwa nchi yetu na chama kile iliishia 2017 na ilipotokea kulazimisha mambo wote twajua yaliyotokea.
Asikiaye na Afahamu.