Hahahaa daah... kwa taarifa yako membe alimshinda Musiba Mahakamani wakati magufuli alikua madarakani, hukumu imekaziwa kipondi hiki tu.

Haya mambo ya kumchafua marehemu hayawasaidii.. hata hivyo mungu ameingilia kati.
 
Daah sasa itakuwaje?

Ndio maana Musiba hakuwahi kujitokeza kumuomba Marehemu Msamaha!!

Ila kama kesi imeshatokewa maamuzi wanasheria naombeni ufafanuzi utekelzaji wake unakuwaje?
 
Kama wamemtanguliza watamfuata
Nahisi ametangulizwa.Duh,imekuwa ghafla mno.Lakini alikuwa mwiba kwa establishment,hasa Magufuli,na ana mvuto zaidi kwa watu makini,ingawa alikuwa na makando kando yake hasa tuhuma za ufisadi.Mvuto wake inawezekana umechangia katika kifo chake.Nahisi pia Musiba ana mkono wake hapa kama ni kweli.Anyway R.I.P Membe,chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
 
Basi waache wanaoshangilia washangilie. Wana Sababu zao kama wale walioshangilia kifo Cha JPM. Twendeni hivyo hivyo tutafika tu.
 
Hakuna mtu anashangilia kifo cha mtu ila ktk hili ni SoMo kwetu hasa wale waliopo ona Magufuli amefariki wakaona ndio muda wakumnanga na kumsema...
Kuna wakati nasoma haya maneno nashindwa kuelewa jambo vizuri.. Tumaini,hivi unaona ni sawa mpaka leo tuwaseme vibaya akina Amin.

Savimbi,Hitler au ata Mobutu wakati atupo nao? Nadhani ifike mahali basi tuachane na tabia za kuzungumzia watu waliotangulia mbele ya haki.
 
Una hoja usikilizwe, kwanini Membe hakwenda Mzena hali ya kuwa ni mtumishi wa ile idara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…