Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

ni wazi serikali ya ccm imeingia kwenye mauaji ya visasi. ikiwa comment hii uliiweka April 30 leo Membe anafariki. nasadiki kifo cha magufuli kuna mambo kumbe hizi story watu wakubwa team msoga kufanya sherehe za kifo cha Magufuli ni za kweli. JF idumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly, sisi zetu bisi tu kwa kizungu wanaiita popcorn… mjomba washa kideo…
 
Sawa na jasusi wako
 
mwisho wa yote one two microphone check msishange mtu Chali

Shkamoo Jasusi.

Nimeelewa hapo kwenye "ONE TWO MICROPHONE CHECK".

Leo ni tarehe 12 (ONE TWO). Ahsante sana.

Lakini hapo kwenye "MICROPHONE CHECK" sijaelewa vizuri Kaka Jasusi.

Hii ni aina ya NOTIFICATION ama?

MICROPHONE CHECK?

ONE TWO MICROPHONE CHECK?

TAREHE 12 KIPAZA SAUTI KINADEDISHWA. [emoji50]

Ama, MICROPHONE maana yake ni TAARIFA YA HABARI?

Tarehe 12 TAZAMA TAARIFA YA HABARI, MTU ANADEDISHWA.
 
Wewe bado ni mtoto mchanga sana kwenye haya mambo
 

Kachero mkongwe eeeh!
 
Shkamoo Jasusi.

Nimeelewa hapo kwenye "ONE TWO MICROPHONE CHECK".

Leo ni tarehe 12 (ONE TWO).

Ahsante sana.

Lakini hapo kwenye "MICROPHONE CHECK" sijaelewa vizuri Kaka Jasusi.

Hii ni aina ya NOTIFICATION ama?

MICROPHONE CHECK?
itabidi turudi kwenye archive tutazame upya zile clip za mwisho mwisho alizokuwa anahojiwa na waandishi wa habari....tupime umbali wa yeye na microphone.

ila yote kwa yote, mpaka half time, timu msoga 1 - 1 sukuma gang. tusubiri second half.

jamani raha si raha?....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duuuuu, wewe ni noumer
 
Who is next now!?

Je Fatuma ataendelea kumsurubu Musiba!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…