Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu infozao si za kupuuzwa akiwemo paschal Mayalla, Ex Spy,TumainiEl, Tumia akili na MAGAMBA MATATUNimekuwa JF kwa zaidi ya miaka 13, sijawahi kuona mtu hatari zaidi ya TumainiEl , miaka ya nyuma aliwahi kutabiri utawala wa Rais mwanamke kabla ya 2015.
Tena alisema huyo Rais itakuwa ni temporary tu, yupo mtu ameandaliwa na mtandao fulani. Dah yani acheni tu hii JF hapana kabsa
Duh[emoji119][emoji119][emoji119]Nilisema Nini? Haya tulieni muone picha hii Kali ya intelligence ya Tz. Kiufupi kifo cha Magufuli sio ushindi ila nikilio kikubwa kwa waliodhani kwa kufa kwake watafanya vile wanataka kufanya Yani kunawatu watalilia chooni na familia zao. Kuna watu 2025 watakimbia hata nchi ilawatakuta passport ziko freeze. Nani alikwambia kifo cha Rais nichakufanyia sherehe? Kiufupi Tetesi zina sema hata namba moja Kuna mambo Alisha ambiwa awaachie wana usalama na kama anataka kuona cheusi na cheupe basi aingilie wana idara kama hajaona usiku kuwa mchana na mchana kuww usiku. Thanks God namba moja ameamua kupambana na vitu vyake na usalama anakaa pembeni na kushauriwa. Picha nikali sijapata kuona ila kiufupi mwisho wa yote one two microphone check msishange mtu Chali ndio mtajuwa musiba ni msiba. End
Mkuu, unatishaPicha nikali sijapata kuona ila kiufupi mwisho wa yote one two microphone check msishange mtu Chali ndio mtajuwa musiba ni msiba. End
Duh hii deduction yako ni hatari.Shkamoo Jasusi.
Nimeelewa hapo kwenye "ONE TWO MICROPHONE CHECK".
Leo ni tarehe 12 (ONE TWO). Ahsante sana.
Lakini hapo kwenye "MICROPHONE CHECK" sijaelewa vizuri Kaka Jasusi.
Hii ni aina ya NOTIFICATION ama?
MICROPHONE CHECK?
ONE TWO MICROPHONE CHECK?
TAREHE 12 KIPAZA SAUTI KINADEDISHWA. [emoji50]
Ama, MICROPHONE maana yake ni TAARIFA YA HABARI?
Tarehe 12 TAZAMA TAARIFA YA HABARI, MTU ANADEDISHWA.
Unahabri jiraniAnabadirika mpiga mnada. Wapiga minada wapo wengi tu mkuu. Labda membe aamue yeye kupooza doso
Aiseee nimeogopa ggaflaNilisema Nini? Haya tulieni muone picha hii Kali ya intelligence ya Tz. Kiufupi kifo cha Magufuli sio ushindi ila nikilio kikubwa kwa waliodhani kwa kufa kwake watafanya vile wanataka kufanya Yani kunawatu watalilia chooni na familia zao. Kuna watu 2025 watakimbia hata nchi ilawatakuta passport ziko freeze. Nani alikwambia kifo cha Rais nichakufanyia sherehe? Kiufupi Tetesi zina sema hata namba moja Kuna mambo Alisha ambiwa awaachie wana usalama na kama anataka kuona cheusi na cheupe basi aingilie wana idara kama hajaona usiku kuwa mchana na mchana kuww usiku. Thanks God namba moja ameamua kupambana na vitu vyake na usalama anakaa pembeni na kushauriwa. Picha nikali sijapata kuona ila kiufupi mwisho wa yote one two microphone check msishange mtu Chali ndio mtajuwa musiba ni msiba. End
Aiseee nimeogopa ggafla
Aiseee........naam
[emoji1][emoji1][emoji1] ndogoJapo sitetei aliyokuwa anayafanya Musiba ila b9 wametumia hesabu zipi yaani maneno tu mtu adai b9 [emoji1]
Ulitaka ziongezwe 😃 pesa nyingi sana hio[emoji1][emoji1][emoji1] ndogo
Leo mtu aje akuharibia unapolia ugali Kwa taarifa za uongo , defamation mbaya sanaUlitaka ziongezwe [emoji2] pesa nyingi sana hio
SawaLeo mtu aje akuharibia unapolia ugali Kwa taarifa za uongo , defamation mbaya sana
Tafuta comments za huyu mtu kuhusu Bsaa8.ni wazi serikali ya ccm imeingia kwenye mauaji ya visasi. ikiwa comment hii uliiweka April 30 leo Membe anafariki. nasadiki kifo cha magufuli kuna mambo kumbe hizi story watu wakubwa team msoga kufanya sherehe za kifo cha Magufuli ni za kweli. JF idumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana chanjo za kovidi zimegandisha damu ....mtuhumiwa ni chifu aliye leta chanjo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo sukuma gang wamemmaliza membe?
Unamaanisha nini kusema hivi mkuu, suluhisho ni kuuana wenyewe kwa wenyewe hicho ndicho unachomaanisha ?Ukinunua musiba unanunua msiba nani atanunua?
Muulize TumainiEl anajua masuala ya intelligence kutoka ndani huko deep state family juu ya nini wanachofanyiana umafioso kwa kwenda Mbele hizo Gambino family ukizingua bila tahadhari unaingizwa kwenye Butcher, sasa wanachodai wao eti Mzee Membe wakati wa kifo Cha ankari Magu alifanya sherehe yaan jamaa ndio wameshikia hapo, wanasema kwamba km alifanya sherehe kifo Cha Magu basi na yeye wana haki ya kumuua na kumpoteza kabisa na mazima, according to deep state family members in JFKwahiyo sukuma gang wamemmaliza membe?
Naona kaamua kufata ushauri wako kapooza doso [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anabadirika mpiga mnada. Wapiga minada wapo wengi tu mkuu. Labda membe aamue yeye kupooza doso