Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

itabidi turudi kwenye archive tutazame upya zile clip za mwisho mwisho alizokuwa anahojiwa na waandishi wa habari....tupime umbali wa yeye na microphone.

ila yote kwa yote, mpaka half time, timu msoga 1 - 1 sukuma gang. tusubiri second half.

jamani raha si raha?....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Katika ulimwengu wa saa na habari za kurekodi. One two Microphone check maana yake ni kufanya jaribio la kurekodi kuona kama mitambo yote iko sawa
 
microphone check=kupitia mdomoni, si bunduki wala sindano; utajiongeza mwenyewe kuelewa kama ipo.
But if so, na sidhan kama msiba mwenyewe kalitaka hili, mana hapa mtoa msamaha kazibwa mdomo.
Namaliza; microphone check sauti haitoki, Musiba hapa ndio atalia zaidi, mana walipa visasi wamehakikisha hakuna msamaha, Hawa sio akina sukuma gang mana tayari kwishnea.
Agiza pop con picha ndio linaanza.
One two = tarehe 12
Microfone check = kipaza atakachotumia kitawekwa mambo.
Hayo mambo yatasukuma hadu tarehe 12 Leo.
 
Mashavu yamekushuka.

Jifunzeni kuacha ujuaji.
Atakaeteuliwa kusimamia Mirathi ataendelea nae mpaka kieleweke! Hii sio kesi ya jinai so akuna kitakacho haribika dawa ya Deni ni kulipa tu akuna mbadala! Mirathi ya Uncle Membe (RIP) ikitoka tu tunaendelea nae. Mazishi Jumanne Kijijini Kwake tujumuike kumzika Kiongozi na ndugu yetu
 
Hawa Watendaji wa Serikali ambao nasikia Wanajiita Sukuma Gang, wamemuhakikishia Musiba hakuna baya litamkuta just atulie tu.

Hili suala wahusika wasilichukulie poa, this is a testament that Magufuli/ Sukuma gang is still alive and kicking in Spite of their GODFATHER sleeping six feet under somewhere in CHATTLE!
Mjomba inabidi aanze kupiga RAMLI!
 
Nimekuwa JF kwa zaidi ya miaka 13, sijawahi kuona mtu hatari zaidi ya TumainiEl , miaka ya nyuma aliwahi kutabiri utawala wa Rais mwanamke kabla ya 2015.

Tena alisema huyo Rais itakuwa ni temporary tu, yupo mtu ameandaliwa na mtandao fulani. Dah yani acheni tu hii JF hapana kabsa
JF weka mbali n watoto mkuu... Ni kama Dark web now days
 
Nilisema Nini? Haya tulieni muone picha hii Kali ya intelligence ya Tz. Kiufupi kifo cha Magufuli sio ushindi ila nikilio kikubwa kwa waliodhani kwa kufa kwake watafanya vile wanataka kufanya Yani kunawatu watalilia chooni na familia zao. Kuna watu 2025 watakimbia hata nchi ilawatakuta passport ziko freeze. Nani alikwambia kifo cha Rais nichakufanyia sherehe? Kiufupi Tetesi zina sema hata namba moja Kuna mambo Alisha ambiwa awaachie wana usalama na kama anataka kuona cheusi na cheupe basi aingilie wana idara kama hajaona usiku kuwa mchana na mchana kuww usiku. Thanks God namba moja ameamua kupambana na vitu vyake na usalama anakaa pembeni na kushauriwa. Picha nikali sijapata kuona ila kiufupi mwisho wa yote one two microphone check msishange mtu Chali ndio mtajuwa musiba ni msiba. End
Uliwahi andika ktk Uzi Ule Kuwa Anapofariki Rais akiwa madarakani kuwa Nchi Huwa inakuwa ktk Hali ya hatari Kwa kipindi kisichojulikana.

Ulipuuzwa kama kawaida ya wadanganyika.
 
Huo muda mtumieni kuchangishana vibubu alipe deni. Musiba ni mtoto mdogo mbele ya Membe kama unataka watumie figisu. Mtu kafyatuka from nowhere kajulikana miaka mitano tu ndio mtake azungushane na kachero mkongwe.

Kwahiyo mpango wenu wa kuomba msamaha kupitia maaskofu umegonga mwamba na sasa mnatumia kisingizio cha Sukuma gang
Mpk sasa iv nani ni mdogo?
 
Back
Top Bottom