Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
microphone check=kupitia mdomoni, si bunduki wala sindano; utajiongeza mwenyewe kuelewa kama ipo.Shkamoo Jasusi.
Nimeelewa hapo kwenye "ONE TWO MICROPHONE CHECK".
Leo ni tarehe 12 (ONE TWO). Ahsante sana.
Lakini hapo kwenye "MICROPHONE CHECK" sijaelewa vizuri Kaka Jasusi.
Hii ni aina ya NOTIFICATION ama?
MICROPHONE CHECK?
ONE TWO MICROPHONE CHECK?
TAREHE 12 ANGALIA SIMU MTU KADEDISHWA. [emoji50]
Jamaaa sometime unakuwa na taarifa nyeti sometimes dishi linayumba.Nilisema Nini? Haya tulieni muone picha hii Kali ya intelligence ya Tz. Kiufupi kifo cha Magufuli sio ushindi ila nikilio kikubwa kwa waliodhani kwa kufa kwake watafanya vile wanataka kufanya Yani kunawatu watalilia chooni na familia zao. Kuna watu 2025 watakimbia hata nchi ilawatakuta passport ziko freeze. Nani alikwambia kifo cha Rais nichakufanyia sherehe? Kiufupi Tetesi zina sema hata namba moja Kuna mambo Alisha ambiwa awaachie wana usalama na kama anataka kuona cheusi na cheupe basi aingilie wana idara kama hajaona usiku kuwa mchana na mchana kuww usiku. Thanks God namba moja ameamua kupambana na vitu vyake na usalama anakaa pembeni na kushauriwa. Picha nikali sijapata kuona ila kiufupi mwisho wa yote one two microphone check msishange mtu Chali ndio mtajuwa musiba ni msiba. End
Huyu wa kuitwa MICROPHONE nahisi ni MEMBE.itabidi turudi kwenye archive tutazame upya zile clip za mwisho mwisho alizokuwa anahojiwa na waandishi wa habari....tupime umbali wa yeye na microphone.
ila yote kwa yote, mpaka half time, timu msoga 1 - 1 sukuma gang. tusubiri second half.
jamani raha si raha?....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila JF ni mtandao mzito sana...Nilisema Nini? Haya tulieni muone picha hii Kali ya intelligence ya Tz. Kiufupi kifo cha Magufuli sio ushindi ila nikilio kikubwa kwa waliodhani kwa kufa kwake watafanya vile wanataka kufanya Yani kunawatu watalilia chooni na familia zao. Kuna watu 2025 watakimbia hata nchi ilawatakuta passport ziko freeze. Nani alikwambia kifo cha Rais nichakufanyia sherehe? Kiufupi Tetesi zina sema hata namba moja Kuna mambo Alisha ambiwa awaachie wana usalama na kama anataka kuona cheusi na cheupe basi aingilie wana idara kama hajaona usiku kuwa mchana na mchana kuww usiku. Thanks God namba moja ameamua kupambana na vitu vyake na usalama anakaa pembeni na kushauriwa. Picha nikali sijapata kuona ila kiufupi mwisho wa yote one two microphone check msishange mtu Chali ndio mtajuwa musiba ni msiba. End
Rahaaaaaa, afu mabao yote yamefungwa kwa free kick. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]itabidi turudi kwenye archive tutazame upya zile clip za mwisho mwisho alizokuwa anahojiwa na waandishi wa habari....tupime umbali wa yeye na microphone.
ila yote kwa yote, mpaka half time, timu msoga 1 - 1 sukuma gang. tusubiri second half.
jamani raha si raha?....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikiliza MAJASUSI weweee wacha ubishi [emoji12]Bora alishuhudia JIWE kufa baadae YY kafaliki
Jamaaa sometime unakuwa na taarifa nyeti sometimes dishi linayumba.
Okay
1,2 musiba umegeuka msiba mtu chaliii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lazima sometimes wayumbishe dishi makusudi ili msije kuwaharibia ugali wao paleee mahaliJamaaa sometime unakuwa na taarifa nyeti sometimes dishi linayumba.
Okay
1,2 musiba umegeuka msiba mtu chaliii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikiliza MAJASUSI weweee wacha ubishi [emoji12]
MAJASUSI akina TumainiEl walishaweka saini ya kuondoshwa kwa JASUSI MBOBEZI MEMBE, wewe ni nani wa kupinga?
Ugua pole.
Halafu yeye Huwa anasema AMEOTA kama Pashal Mayala tu ,Mzee wa VOICE WITHINNimekuwa JF kwa zaidi ya miaka 13, sijawahi kuona mtu hatari zaidi ya TumainiEl , miaka ya nyuma aliwahi kutabiri utawala wa Rais mwanamke kabla ya 2015.
Tena alisema huyo Rais itakuwa ni temporary tu, yupo mtu ameandaliwa na mtandao fulani. Dah yani acheni tu hii JF hapana kabsa
Mutu y kitambo JF lakini na Post hata buku teni hazifiki huoni ni wakumpa nafasi yake!Nimekuwa JF kwa zaidi ya miaka 13, sijawahi kuona mtu hatari zaidi ya TumainiEl , miaka ya nyuma aliwahi kutabiri utawala wa Rais mwanamke kabla ya 2015.
Tena alisema huyo Rais itakuwa ni temporary tu, yupo mtu ameandaliwa na mtandao fulani. Dah yani acheni tu hii JF hapana kabsa
MmmhNilisema Nini? Haya tulieni muone picha hii Kali ya intelligence ya Tz. Kiufupi kifo cha Magufuli sio ushindi ila nikilio kikubwa kwa waliodhani kwa kufa kwake watafanya vile wanataka kufanya Yani kunawatu watalilia chooni na familia zao. Kuna watu 2025 watakimbia hata nchi ilawatakuta passport ziko freeze. Nani alikwambia kifo cha Rais nichakufanyia sherehe? Kiufupi Tetesi zina sema hata namba moja Kuna mambo Alisha ambiwa awaachie wana usalama na kama anataka kuona cheusi na cheupe basi aingilie wana idara kama hajaona usiku kuwa mchana na mchana kuww usiku. Thanks God namba moja ameamua kupambana na vitu vyake na usalama anakaa pembeni na kushauriwa. Picha nikali sijapata kuona ila kiufupi mwisho wa yote one two microphone check msishange mtu Chali ndio mtajuwa musiba ni msiba. End
Kachero ndio kwani alikuwa muuza viatu, mpishi?Kachero mkongwe eeeh!