Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

microphone check=kupitia mdomoni, si bunduki wala sindano; utajiongeza mwenyewe kuelewa kama ipo.
But if so, na sidhan kama msiba mwenyewe kalitaka hili, mana hapa mtoa msamaha kazibwa mdomo.
Namaliza; microphone check sauti haitoki, Musiba hapa ndio atalia zaidi, mana walipa visasi wamehakikisha hakuna msamaha, Hawa sio akina sukuma gang mana tayari kwishnea.
Agiza pop con picha ndio linaanza.
 
Jamaaa sometime unakuwa na taarifa nyeti sometimes dishi linayumba.

Okay
1,2 musiba umegeuka msiba mtu chaliii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu wa kuitwa MICROPHONE nahisi ni MEMBE.

Yaani hapa ni kwamba, KIPAZA SAUTI kinadedishwa Tarehe 12.

Lakini ni nani aliye nyuma ya KIPAZA SAUTI [emoji4][emoji1]

Ama, MICROPHONE maana yake TAARIFA YA HABARI.

Tarehe 12 TAZAMA TAARIFA YA HABARI mtu kalambishwa mchanga [emoji12][emoji16]
 
Ila JF ni mtandao mzito sana...

Ingekuwa ni FB wewe saizi unatafutwa mpaka huko Nanjilinji ulipo kwa hii comment yako maana One Two microphone check imefanya kazi
 
Rahaaaaaa, afu mabao yote yamefungwa kwa free kick. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sikiliza MAJASUSI weweee wacha ubishi [emoji12]

MAJASUSI akina TumainiEl walishaweka saini ya kuondoshwa kwa JASUSI MBOBEZI MEMBE, wewe ni nani wa kupinga?

Ugua pole.

Nimekuwa JF kwa zaidi ya miaka 13, sijawahi kuona mtu hatari zaidi ya TumainiEl , miaka ya nyuma aliwahi kutabiri utawala wa Rais mwanamke kabla ya 2015.

Tena alisema huyo Rais itakuwa ni temporary tu, yupo mtu ameandaliwa na mtandao fulani. Dah yani acheni tu hii JF hapana kabsa
 
Halafu yeye Huwa anasema AMEOTA kama Pashal Mayala tu ,Mzee wa VOICE WITHIN
 
Mutu y kitambo JF lakini na Post hata buku teni hazifiki huoni ni wakumpa nafasi yake!
 
Mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…