Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

Duh[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Duh hii deduction yako ni hatari.
 
Aiseee nimeogopa ggafla
 
Tafuta comments za huyu mtu kuhusu Bsaa8.
 
Kwahiyo sukuma gang wamemmaliza membe?
Muulize TumainiEl anajua masuala ya intelligence kutoka ndani huko deep state family juu ya nini wanachofanyiana umafioso kwa kwenda Mbele hizo Gambino family ukizingua bila tahadhari unaingizwa kwenye Butcher, sasa wanachodai wao eti Mzee Membe wakati wa kifo Cha ankari Magu alifanya sherehe yaan jamaa ndio wameshikia hapo, wanasema kwamba km alifanya sherehe kifo Cha Magu basi na yeye wana haki ya kumuua na kumpoteza kabisa na mazima, according to deep state family members in JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…