Katika ulimwengu wa saa na habari za kurekodi. One two Microphone check maana yake ni kufanya jaribio la kurekodi kuona kama mitambo yote iko sawaitabidi turudi kwenye archive tutazame upya zile clip za mwisho mwisho alizokuwa anahojiwa na waandishi wa habari....tupime umbali wa yeye na microphone.
ila yote kwa yote, mpaka half time, timu msoga 1 - 1 sukuma gang. tusubiri second half.
jamani raha si raha?....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ongeza sautiSukuma gang mtapenyea wapi? Kila mwanya tumeuziba
Ayaa, na mimi nilielewa hivyo hivyo!Katika ulimwengu wa saa na habari za kurekodi. One two Microphone check maana yake ni kufanya jaribio la kurekodi kuona kama mitambo yote iko sawa
Fatma ni mtu mdogo sana nadhani hana hata mpango wa kudaiWho is next now!?
Je Fatuma ataendelea kumsurubu Musiba!?
Alihusika pakubwa sanaKachero ndio kwani alikuwa muuza viatu, mpishi?
Bado list inaendeleaWhat next now
[emoji23][emoji23][emoji23]Naona kaamua kufata ushauri wako kapooza doso [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
One two = tarehe 12microphone check=kupitia mdomoni, si bunduki wala sindano; utajiongeza mwenyewe kuelewa kama ipo.
But if so, na sidhan kama msiba mwenyewe kalitaka hili, mana hapa mtoa msamaha kazibwa mdomo.
Namaliza; microphone check sauti haitoki, Musiba hapa ndio atalia zaidi, mana walipa visasi wamehakikisha hakuna msamaha, Hawa sio akina sukuma gang mana tayari kwishnea.
Agiza pop con picha ndio linaanza.
Ni mmoja wa watu WASIOJULIKANAWe jamaa watu wanakupuuzaga ila inaonekana una info nyingi tu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Atakaeteuliwa kusimamia Mirathi ataendelea nae mpaka kieleweke! Hii sio kesi ya jinai so akuna kitakacho haribika dawa ya Deni ni kulipa tu akuna mbadala! Mirathi ya Uncle Membe (RIP) ikitoka tu tunaendelea nae. Mazishi Jumanne Kijijini Kwake tujumuike kumzika Kiongozi na ndugu yetuMashavu yamekushuka.
Jifunzeni kuacha ujuaji.
Acha wauane shauri zao ,kwanza Hana msaada na Mimi Wala Ndugu zanguSawa
Tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini [emoji1]
Alisema 1 2 microphone check chali.One two = tarehe 12
Microfone check = kipaza atakachotumia kitawekwa mambo.
Hayo mambo yatasukuma hadu tarehe 12 Leo.
Hawa Watendaji wa Serikali ambao nasikia Wanajiita Sukuma Gang, wamemuhakikishia Musiba hakuna baya litamkuta just atulie tu.
JF weka mbali n watoto mkuu... Ni kama Dark web now daysNimekuwa JF kwa zaidi ya miaka 13, sijawahi kuona mtu hatari zaidi ya TumainiEl , miaka ya nyuma aliwahi kutabiri utawala wa Rais mwanamke kabla ya 2015.
Tena alisema huyo Rais itakuwa ni temporary tu, yupo mtu ameandaliwa na mtandao fulani. Dah yani acheni tu hii JF hapana kabsa
Uliwahi andika ktk Uzi Ule Kuwa Anapofariki Rais akiwa madarakani kuwa Nchi Huwa inakuwa ktk Hali ya hatari Kwa kipindi kisichojulikana.Nilisema Nini? Haya tulieni muone picha hii Kali ya intelligence ya Tz. Kiufupi kifo cha Magufuli sio ushindi ila nikilio kikubwa kwa waliodhani kwa kufa kwake watafanya vile wanataka kufanya Yani kunawatu watalilia chooni na familia zao. Kuna watu 2025 watakimbia hata nchi ilawatakuta passport ziko freeze. Nani alikwambia kifo cha Rais nichakufanyia sherehe? Kiufupi Tetesi zina sema hata namba moja Kuna mambo Alisha ambiwa awaachie wana usalama na kama anataka kuona cheusi na cheupe basi aingilie wana idara kama hajaona usiku kuwa mchana na mchana kuww usiku. Thanks God namba moja ameamua kupambana na vitu vyake na usalama anakaa pembeni na kushauriwa. Picha nikali sijapata kuona ila kiufupi mwisho wa yote one two microphone check msishange mtu Chali ndio mtajuwa musiba ni msiba. End
Mpk sasa iv nani ni mdogo?Huo muda mtumieni kuchangishana vibubu alipe deni. Musiba ni mtoto mdogo mbele ya Membe kama unataka watumie figisu. Mtu kafyatuka from nowhere kajulikana miaka mitano tu ndio mtake azungushane na kachero mkongwe.
Kwahiyo mpango wenu wa kuomba msamaha kupitia maaskofu umegonga mwamba na sasa mnatumia kisingizio cha Sukuma gang
Badilisha kauli mkuu ...Musiba anao msiba