Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

e, hawa watu wenye uwezo wa kuingilia Mahakama na Mahakama ikaufyata, watashindwa nini kumchezea figisu Samia ili asigombee 2025?

Hii imetoa nafasi kwa Samia kujua wale wanaompinga ambao anaambatana nao.
For those who are close to power, this is a wake up call!! Mama should not hesitate to take action whenever duty calls otherwise any delays could be costly!! Sio wote walio karibu nae wanamtakia mema!!
 

Code[emoji119]
 
Aiseeee
 
Haaaaah!! Mwanangu hawa jamaa kumbe ni kweli wanauwana?
Basi huyo jamaa TumainiEl ni miongoni mwa wale viongozi wa dini waliokwenda kumuombea musiba msamaha. Kama sio malasusa basi pengo.
 
Hapana chanjo za kovidi zimegandisha damu ....mtuhumiwa ni chifu aliye leta chanjo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu hii Ngoma Bado mbichi, Hawa wana mitandao watamalizana.usishangae watoto wa mjini wakajibu mapigo kwa kuwalaza chini wawili au watatu kwa mpigo.
Kama move vile kumbe kweli.
 
Ungehitaji sehemu maalumu ili uwe na nafasi kama ya Tumainiel endapo ungedadavua hivi kabla ya tukio la Leo. Hata hivyo, upo fit.
 
Mkuu hii Ngoma Bado mbichi, Hawa wana mitandao watamalizana.usishangae watoto wa mjini wakajibu mapigo kwa kuwalaza chini wawili au watatu kwa mpigo.
Kama move vile kumbe kweli.
Thubutuuuuuu, watoto wa kariakoo watabagazwaa na wa linguse nguse hadi waite maji mma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumekuchaaaaaaa
 
hii comment ni ya tarehe 30 April leo Membe Character mkuu anafariki. hakika JF ina mambo mazito

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu amini usiamini kuna watu wana midomo mibaya, wakisema yanakuwa kweli! Kwa kweli hata mimi kuanzia leo, natangaza rasmi kumheshimu Bwana Mkubwa TumainEl. Much respect to you brother!
Rahaaaaaa, afu mabao yote yamefungwa kwa free kick. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha kale ka clip kake kalikovuja!
Kwamba eti jamaa anashindwa kufunga wakati goli liko wazi...
Kumbe kwenye kufunga kuna kufungwa pia!
 
Lakini kwa nini na yeye alifanya sherehe?
Hivi msiba nao ni wa kufanyia sherehe kweli?
Msiba ambao uliwagusa mamilioni ya Watanzania hasa wale wenye mapenzi mema na nchi yao?
Msiba wa kuondokewa na shujaa wa nchi kuwahi kutokea tangu tupate uhuru, unaufanyia sherehe?!
Hata mimi najua kwa yeyote mzalendo na ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya nchi yake, angeliweza kufanya chochote, wakati wowote kwa yeyote ambaye kwa namna yoyote alisherehekea msiba wa Hayati JPM.
Binafsi nakiri wazi kabisa, toka nizaliwe hadi leo nakaribia miaka 50, sijawahi kuguswa na msiba wowote hata wa ndugu yangu wa karibu, kama nilivyoguswa na msiba wa Shujaa, Hayati JPM. Hii yote ni kutokana na jinsi alivyoipenda nchi yake pamoja na wananchi wake hasa wananchi wanyonge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…