Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

Una hakika alifanya sherehe au ndio uzushi wa watu tu?
Ni vyema Kuna vitu kabla ya kuviongea vithibitishwe kwanza
 
Hili suala wahusika wasilichukulie poa, this is a testament that Magufuli/ Sukuma gang is still alive and kicking in Spite of their GODFATHER sleeping six feet under somewhere in CHATTLE!
Mjomba inabidi aanze kupiga RAMLI!
Kama hiki ukichoandika ni cha ukweli, basi mimi nina mtizamo tofauti, kwamba tuna vita kati ya makundi 2; kundi la kwanza ni la wazalendo likiongozwa na JPM/SUKUMA GANG na kundi la pili ni la mafisadi au watu wasio na uchungu na rasilimali za nchi likiongozwa na MSOGA GANG.
Ni sawa na ile vita kati ya wema na ubaya ambayo tunahakikishiwa kabisa kwamba pamoja na ubaya kuonekana kuwa na nguvu sana, lakini mwisho wa siku wema lazima utashinda.
Ngoja tuone pia hii vita kati ya wazalendo na mafisadi (ambao nafikiri ina wahusika pia katika mifumo yote ya nchi kwa maana watumishi wa serikali, wakulima, wafanyabiashara n.k), tuone wepi kati yao watakaoshinda..
Sisi wengine ni wapenzi watazamaji.
 
Una hakika alifanya sherehe au ndio uzushi wa watu tu?
Ni vyema Kuna vitu kabla ya kuviongea vithibitishwe kwanza
Ila yote kwa yote kama hakuomboleza, ina maana atakuwa alifurahia. Kuna vitu hakuna ile hali ya kuwa neutral. Ni aidha unasikitika au unafurahia, period.
 
Pamoja na taarifa zote hizi za kiuongozi na kiutawala kabla na baada ya joni kurudishwa mavumbini, bado kuna wanaoamini alikuwa shujaa/mzalendo?!
Basi Yesu wa Tongaren ana wateja weng nchini.
Nadhan tunapata shida vile tu tunaringanisha mtu dhidi ya mtu badala ya kupima kwa kanuni/sheria.
Hebu fikiria ukipambanisha vitu viwili vyote vibovu, ab initio, utapata kizuri?
 
Sasa huo ni mtazamo wako mkuu kama wewe ulimkubali JPM basi sio wote walio mkubali.
Mungu tu hakubaliwi na binadamu wate sembuse JPM?.
MEMBE na magufuli walifikia uadui mkubwa, sasa kama ndivyo ulitegemea membe asifurahie kifo Cha magufuli ikiwa membe alimuona magufuli kama tishio kwa usalama wake?

Yote wa yote maisha ya visasi ni mabaya sana, tutegemee mwendelezo wa kuuana kama wahusika hawatokaa chini wakayamaliza.
 
Hili suala wahusika wasilichukulie poa, this is a testament that Magufuli/ Sukuma gang is still alive and kicking in Spite of their GODFATHER sleeping six feet under somewhere in CHATTLE!
Mjomba inabidi aanze kupiga RAMLI!
Hata hao sukuma gang watakufa tu, siku zao zikifika watalala kama mwendazake
Ni suala la muda tu
 
Huu uzi unazidi kuwachafu watu ya kanda yq ziwa, unafanya wasukuma waonekane ni waty wabaya kuahi kutokea hapa Tanzania kwa ukatili wao na matendo yao ya uuwaji, utekaji na uonevu wakiongozwa na shujaa mwendazake

Itafika mahali hizi chuki zitawajaa watanzania na wasukuma watakua kwenye hali ngumu sana
 
Hatimaye aliyesherehekea kifo cha mwenzake naye kalamba nchanga.

Malipo ni hapa hapa Duniani.

Bahari imetulia, Mungu anaendelea kuamua ugomvi.
 
Na wewe mwandishi ngoja ushughulikiwe na hii sukuma gang. Hapa naona Kuna vita ya chini chini ya watu wa Kusini na wasukuma maana hata mwendazake alienda huko Kusini akafanywa hamna Sasa waache waendelee kushindanisha uchawi Ila hii nchi inalindwa na Mungu na sote tutakufa itabaki milima tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…