Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

Watu wamepoteza kumbukumbu mzee
 
Wakati wa JPM kila uliyemuona anafanya aliyofanya musiba ujue alikuwa kazini.

Haya yatapita na hakuna mali itauzwa.
Mali haziuzwi zinapigwa mnada. Zinapigwa mnada na mahakama. Inapofika stage kikaza hukumu mahakama ndio hutekeleza hukumu kwa kupitia madalali.
 
Kwamba kuna mabaunsa wamezuia amri ya Mahakama kutekelezwa au?

Au mnafikiri hayo ni maagizo ya Membe?
 
Membe anafanya sikukuu baada ya Magufuli kufariki. Hii kesi kwa nini hakuifungua wakati wa Magufuli.
Musiba alikuwa anafichua corription kama ilivyokuwa fasheni wakati wa Awamu ya Tanu.
Wewe upo nyuma ya wakati na uwe unafanya research kabla ya kuongea. Membe kafungua kesi hii Mwaka 2018, tena watu walimkejeli Sana na kumcheka wakisema mahakama imeshikiliwa na Magufuli. Wewe leo unakuja na uongo wa kutunga hapa. Acha hizo.
 

Membe kafungua kesi mwaka 2018 Desemba. Wewe tuambie kafungua lini?. Huyo Musiba unayemtetea Kama kila aliyemchafua akiamua kumfungulia kesi atakimbia nchi.
 
Umendika porojo zisizo na msingi wowote.

Yaani mkuu wa muhimili wa utoaji haki ashindwe kudhibiti kesi iliyo ndani ya muhimili wake? Halafu asubiri hukumu itolewe ndio apambane na court broker?
 
Mara ya kwanza Magazeti ya Musiba yalikuwa yanachapwa kwenye mitambo ya TISS then baadaye ikanunuliwa mitambo binafsi.
Ndiyo maana Musiba anakuwa na Jeuri,Membe kaingia cha kike.
Musiba ana Back up kubwa nyuma yake!
Naona umejichanganya , angekuwa na back up Kama mitambo ingebaki ya TISS, Sasa imenunuliwa binafsi back up ataitoa wapi?. Alipe pesa za watu.
 
Nadiriki kusema Membe ni mhuni tu na hata hiyo kesi ni ya ukanjanja tu,wangapi wamechafuliwa na wakalipwa hiyo bilioni 9, Membe ni nani nchi hii, kifupi hatalipwa hata ndururu moja.
Mbona Musiba anadaiwa na watu watatu. Yupo Membe , Madam Karume na Prof Tibaijuka. Wote hao mbona wengi?. Halafu tuhuma zilikuwa nzito Sana, ndio maana membe alienda.
 
Hizi habari mnazitengeneza tu. Mnadhani huu ni mpira wa Simba na Yanga?
 
Mtoa mada unamuharibia Musiba asisamehewe. Kwanza , unaitisha mahakama isifanye kazi yake. Pili, unataka kumuonesha Membe Kuna watu wakubwa zaidi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…