econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Na Nani?YONO kanyang'anywa Leseni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Nani?YONO kanyang'anywa Leseni
Wewe kweli muongo. Sio mahakimu ni majaji. Naona umewashika wajinga wanakuamini.Ndio. Eti Wanatoa vitisho kwa mdomo hukumu isitekelezwe. Na Mahakimu wanaogopa kweli
aongeze na bilioni 2 za Fatma KarumeDaaah maana hata hii serikali yenyewe ya SSH , Wengi Mr Musiba aliwatukana sana na kuwadhalilisha kwahiyo hata mh Bernad Camillus Membe hayuko pekee yake!!!!!!! tusubiri tuone.
Watu wamepoteza kumbukumbu mzeeAngalia tena kumbukumbu zilizoko utaona Membe alifungua lini kesi.
Je hukumbuki Musiba alisema haiogopi Mahakama sababu alikuwa na mtu mwenye kuwaamrisha majaji?
Alisema lini? Magufuli alikuwa hai au mfu?
Unafikiri kiburi cha kutamka hayo kilitoka wapi? Kwa nini alitamka hayo maneno?
Mali haziuzwi zinapigwa mnada. Zinapigwa mnada na mahakama. Inapofika stage kikaza hukumu mahakama ndio hutekeleza hukumu kwa kupitia madalali.Wakati wa JPM kila uliyemuona anafanya aliyofanya musiba ujue alikuwa kazini.
Haya yatapita na hakuna mali itauzwa.
Sabaya is freeMali haziuzwi zinapigwa mnada. Zinapigwa mnada na mahakama. Inapofika stage kikaza hukumu mahakama ndio hutekeleza hukumu kwa kupitia madalali.
Kwamba kuna mabaunsa wamezuia amri ya Mahakama kutekelezwa au?Salaam Wakuu,
Sasa nataka kuona hii ngoma Membe ataichezaje.
View attachment 2603532
Bernard Membe
Baada ya Mahakama kuu ya Tanzania, masijala kuu Dar Es Salaam kumtaka Cyrpian Musiba kumlipa Bernard Membe TZS 9.9 Bilioni, kwa kosa la kumchafua kupitia magazeti yake, Kampuni ya Yono Auction Mart ilipewa Idhini na Mahakama Kupiga Mnada Mali zote za Musiba Ili Kumlipa Membe Fidia inayohitajika baada ya Musiba kudai hana hela za kulipa.
Sasa wale waliokuwa wanamuunga Mkono Musiba na Uchafu wake waliopo kwenye Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Samia Suluhu, Wamekunjua Makucha. Kigogo mmoja wa juu kwenye Mhimili wa Haki amedaiwa kucheza na kesi hii ili kupindua meza.
Kundi la watu ‘wenye nguvu’ wameingilia kati hukumu hiyo na kuwataka YONO wasithubutu kugusa mali yoyote ya Cyprian Musiba kama wanataka kuendelea na Udalali Tanzania. So Wachague moja, kuacha kufanya hiyo kazi au wafutiwe leseni Mazima.
View attachment 2603535
Cyprian Musiba
Kwanza hapa tunapoongea, inadaiwa YONO ameshanyang'anywa Leseni yake ya kazi. YONO kakaliwa Kooni anakaguliwa kila kazi alowahi kufanya na kila aina ya Figisu anafanyiwa
Hawa Watendaji wa Serikali ambao nasikia Wanajiita Sukuma Gang, wamemuhakikishia Musiba hakuna baya litamkuta just atulie tu.
Sasa Membe anahaha jinsi ya kukusanya Mabilioni yake kwa sababu aliyepewa kazi ya kukusanya hayo Mabilioni kanyang'anywa Leseni ili ifanyiwe ukaguzi kwa miezi 6.
Baada ya Miezi Sita, Membe atakuta kuna chochote kinamilikiwa na Musiba?
Hapo ndo nimegundua Musiba hayupo peke yake. Kuna kikundi kikubwa cha Watu nyuma yake kikiongozwa na kigogo huyo wa Mhimili wa kutoa Haki.
Je, hawa watu wenye uwezo wa kuingilia Mahakama na Mahakama ikaufyata, watashindwa nini kumchezea figisu Samia ili asigombee 2025?
Hii imetoa nafasi kwa Samia kujua wale wanaompinga ambao anaambatana nao.
Musiba ni Mmiliki wa magazeti yanayotuhumiwa kuchafua watu ya Tanzanite, Fahari Yetu na Tanzania perspective. Magazeti siku nyingi yanalalamikiwa kwa kuandika habari kinyume na maadili ya uandishi.
Pia soma: Chalamila: Katiba Mpya ni muhimu, Katiba ya sasa inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi
2. Jaji Mkuu: Hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye kesi fulani ipo mbele yake
3. Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua
Wewe upo nyuma ya wakati na uwe unafanya research kabla ya kuongea. Membe kafungua kesi hii Mwaka 2018, tena watu walimkejeli Sana na kumcheka wakisema mahakama imeshikiliwa na Magufuli. Wewe leo unakuja na uongo wa kutunga hapa. Acha hizo.Membe anafanya sikukuu baada ya Magufuli kufariki. Hii kesi kwa nini hakuifungua wakati wa Magufuli.
Musiba alikuwa anafichua corription kama ilivyokuwa fasheni wakati wa Awamu ya Tanu.
Tena la sijui wakubwa serikalini ambao wanaweza tumbuliwa anytime.Kwahiyo sio rufaa tena bali ni vitisho [emoji23]
Sema wewe kumbukumbu ilikuwa lini.
Ile makala ya Tanzanite nadhani ilikuwa inasema Membe ame-redirect certain funds,akazipeleka kuendeleza jingo lake la Uchaguzi. Sidhani kama Musiba alimuita Membe mwizi. Na Membe alikuwa amekwisha back down. Isipokuwa ghafla akapata ujasiri mpya,no doubt after drinking many glasses of wine.
Wanadhani wanamkomoa Membe kumbe wandidimiza Musiba. Musiba anaomba watu wamchangie lakini chawa wake wanazidi kumdidimiza.Kama ni kweli Bernard Membe hatomsamehe hata kama alikuwa na nia hiyo.
Unaelewa maana ya free?. Yupo nje kwa kifungo Cha mwaka mmoja. Asifanye kosa lolote ndani ya huo muda.Sabaya is free
Hizi kesi ni kama Mambo ya Lugumi tu. Hakuna kitu hapo.Kesi imeshatolewa maamuzi halafu unadai hakuna kesi.
Umendika porojo zisizo na msingi wowote.Salaam Wakuu,
Sasa nataka kuona hii ngoma Membe ataichezaje.
View attachment 2603532
Bernard Membe
Baada ya Mahakama kuu ya Tanzania, masijala kuu Dar Es Salaam kumtaka Cyrpian Musiba kumlipa Bernard Membe TZS 9.9 Bilioni, kwa kosa la kumchafua kupitia magazeti yake, Kampuni ya Yono Auction Mart ilipewa Idhini na Mahakama Kupiga Mnada Mali zote za Musiba Ili Kumlipa Membe Fidia inayohitajika baada ya Musiba kudai hana hela za kulipa.
Sasa wale waliokuwa wanamuunga Mkono Musiba na Uchafu wake waliopo kwenye Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Samia Suluhu, Wamekunjua Makucha. Kigogo mmoja wa juu kwenye Mhimili wa Haki amedaiwa kucheza na kesi hii ili kupindua meza.
Kundi la watu ‘wenye nguvu’ wameingilia kati hukumu hiyo na kuwataka YONO wasithubutu kugusa mali yoyote ya Cyprian Musiba kama wanataka kuendelea na Udalali Tanzania. So Wachague moja, kuacha kufanya hiyo kazi au wafutiwe leseni Mazima.
View attachment 2603535
Cyprian Musiba
Kwanza hapa tunapoongea, inadaiwa YONO ameshanyang'anywa Leseni yake ya kazi. YONO kakaliwa Kooni anakaguliwa kila kazi alowahi kufanya na kila aina ya Figisu anafanyiwa
Hawa Watendaji wa Serikali ambao nasikia Wanajiita Sukuma Gang, wamemuhakikishia Musiba hakuna baya litamkuta just atulie tu.
Sasa Membe anahaha jinsi ya kukusanya Mabilioni yake kwa sababu aliyepewa kazi ya kukusanya hayo Mabilioni kanyang'anywa Leseni ili ifanyiwe ukaguzi kwa miezi 6.
Baada ya Miezi Sita, Membe atakuta kuna chochote kinamilikiwa na Musiba?
Hapo ndo nimegundua Musiba hayupo peke yake. Kuna kikundi kikubwa cha Watu nyuma yake kikiongozwa na kigogo huyo wa Mhimili wa kutoa Haki.
Je, hawa watu wenye uwezo wa kuingilia Mahakama na Mahakama ikaufyata, watashindwa nini kumchezea figisu Samia ili asigombee 2025?
Hii imetoa nafasi kwa Samia kujua wale wanaompinga ambao anaambatana nao.
Musiba ni Mmiliki wa magazeti yanayotuhumiwa kuchafua watu ya Tanzanite, Fahari Yetu na Tanzania perspective. Magazeti siku nyingi yanalalamikiwa kwa kuandika habari kinyume na maadili ya uandishi.
Pia soma: Chalamila: Katiba Mpya ni muhimu, Katiba ya sasa inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi
2. Jaji Mkuu: Hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye kesi fulani ipo mbele yake
3. Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua
Naona umejichanganya , angekuwa na back up Kama mitambo ingebaki ya TISS, Sasa imenunuliwa binafsi back up ataitoa wapi?. Alipe pesa za watu.Mara ya kwanza Magazeti ya Musiba yalikuwa yanachapwa kwenye mitambo ya TISS then baadaye ikanunuliwa mitambo binafsi.
Ndiyo maana Musiba anakuwa na Jeuri,Membe kaingia cha kike.
Musiba ana Back up kubwa nyuma yake!
Mbona Musiba anadaiwa na watu watatu. Yupo Membe , Madam Karume na Prof Tibaijuka. Wote hao mbona wengi?. Halafu tuhuma zilikuwa nzito Sana, ndio maana membe alienda.Nadiriki kusema Membe ni mhuni tu na hata hiyo kesi ni ya ukanjanja tu,wangapi wamechafuliwa na wakalipwa hiyo bilioni 9, Membe ni nani nchi hii, kifupi hatalipwa hata ndururu moja.
Hizi habari mnazitengeneza tu. Mnadhani huu ni mpira wa Simba na Yanga?Salaam Wakuu,
Sasa nataka kuona hii ngoma Membe ataichezaje.
View attachment 2603532
Bernard Membe
Baada ya Mahakama kuu ya Tanzania, masijala kuu Dar Es Salaam kumtaka Cyrpian Musiba kumlipa Bernard Membe TZS 9.9 Bilioni, kwa kosa la kumchafua kupitia magazeti yake, Kampuni ya Yono Auction Mart ilipewa Idhini na Mahakama Kupiga Mnada Mali zote za Musiba Ili Kumlipa Membe Fidia inayohitajika baada ya Musiba kudai hana hela za kulipa.
Sasa wale waliokuwa wanamuunga Mkono Musiba na Uchafu wake waliopo kwenye Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Samia Suluhu, Wamekunjua Makucha. Kigogo mmoja wa juu kwenye Mhimili wa Haki amedaiwa kucheza na kesi hii ili kupindua meza.
Kundi la watu ‘wenye nguvu’ wameingilia kati hukumu hiyo na kuwataka YONO wasithubutu kugusa mali yoyote ya Cyprian Musiba kama wanataka kuendelea na Udalali Tanzania. So Wachague moja, kuacha kufanya hiyo kazi au wafutiwe leseni Mazima.
View attachment 2603535
Cyprian Musiba
Kwanza hapa tunapoongea, inadaiwa YONO ameshanyang'anywa Leseni yake ya kazi. YONO kakaliwa Kooni anakaguliwa kila kazi alowahi kufanya na kila aina ya Figisu anafanyiwa
Hawa Watendaji wa Serikali ambao nasikia Wanajiita Sukuma Gang, wamemuhakikishia Musiba hakuna baya litamkuta just atulie tu.
Sasa Membe anahaha jinsi ya kukusanya Mabilioni yake kwa sababu aliyepewa kazi ya kukusanya hayo Mabilioni kanyang'anywa Leseni ili ifanyiwe ukaguzi kwa miezi 6.
Baada ya Miezi Sita, Membe atakuta kuna chochote kinamilikiwa na Musiba?
Hapo ndo nimegundua Musiba hayupo peke yake. Kuna kikundi kikubwa cha Watu nyuma yake kikiongozwa na kigogo huyo wa Mhimili wa kutoa Haki.
Je, hawa watu wenye uwezo wa kuingilia Mahakama na Mahakama ikaufyata, watashindwa nini kumchezea figisu Samia ili asigombee 2025?
Hii imetoa nafasi kwa Samia kujua wale wanaompinga ambao anaambatana nao.
Musiba ni Mmiliki wa magazeti yanayotuhumiwa kuchafua watu ya Tanzanite, Fahari Yetu na Tanzania perspective. Magazeti siku nyingi yanalalamikiwa kwa kuandika habari kinyume na maadili ya uandishi.
Pia soma: Chalamila: Katiba Mpya ni muhimu, Katiba ya sasa inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi
2. Jaji Mkuu: Hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye kesi fulani ipo mbele yake
3. Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua
Ngoja tuone mkuu.Hizi kesi ni kama Mambo ya Lugumi tu. Hakuna kitu hapo.
haaaa haaaa! HKwamba kuna mabaunsa wamezuia amri ya Mahakama kutekelezwa au?
Au mnafikiri hayo ni maagizo ya Membe?