Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

Kwani membe hukumu kapewa kwa haki? Musiba alikua anasema kweli tupu. Hao waliyokua wanamsengenya magufuli na kumuhujumu mbona hawakuchukuliwa hatua badala yake wakasamehewai. Membe alionyesha dharau kwa mwenyekiti wa ccm hadi kufukuzwa ccm. Kurejeshewa uanachama na samia asijidai sio mtu fisadi. Samia na hao gang of four ndio haohao tu.
 
Haya majitu ya Sukuma Gang bado yanaendesha nchi remotely from unknown location. Rais Samia asipowafutilia mbali hawa chawa kupitia TISS, mwaka 2025 anaweza kuambulia manyoya
 
hii comment ni ya tarehe 30 April leo Membe Character mkuu anafariki. hakika JF ina mambo mazito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya majitu ya Sukuma Gang bado yanaendesha nchi remotely from unknown location. Rais Samia asipowafutilia mbali hawa chawa kupitia TISS, mwaka 2025 anaweza kuambulia manyoya
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Dah sisemi kitu
 
[emoji30]
 
Ulisema kweli
 
sisi tusiofungamana na upande wowote tunaona raha sana sukuma gang mnavyoparurana na timu msoga. uwaneni tu maana wote nyinyi ni walewale. mpo madarakani kulinda interest zenu.

tunasubiri tuone vile timu msoga watamdondosha nani huko sukuma gang ili kulipiza kifo cha mwenzao membe(if it's true from what i hear about his death).


yaaani raha mpaka basi..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mashavu yamekushuka.

Jifunzeni kuacha ujuaji.
 
Wewe mtu huwa sikubezi andiko lako!!

HUWA nasoma HADI nukta !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…