Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Guys!
i urge you all to take a collective chill pill and put trust in your honorable chairperson as you did in 2015. Everything will turn out great..
 
Tulieni dawa iwaingie. Lissu anakuja na ndo raisi wako coming October 2020
 
Hilo ndo halitakiwi. Lisu kugombea
 
Fake news!
 
Guys!
i urge you all to take a collective chill pill and put trust in your honorable chairperson as you did in 2015. Everything will turn out great..
Hello Lumumba ID. Kwa taarifa yenu msiyempenda kaja. Ni TUNDU ANTIPAS LISSU
 
We jamaa ni kiazi sana, wewe una nguvu gani humu chadema ya kuzungumzia lolote kuhusu jasusi membe??
Membe ni mwanachama wa chadema na ndio mgombea uraisi kupitia chadema, kama hutaki si UHAME?? kwani lazima uwe chadema??
 
Membe anavunja dirisha muda wowote atakao. Hamna wa kumpinga! Membe for president via chadema
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli Lumumba mbamhanya Lissu. Hiyo project yenu ya kumleta Membe upinzani imeshafeli kabla ya kuanza. Watanzania wa sasa tuna akili sana
 
Tulieni dawa iwaingie. Lissu anakuja na ndo raisi wako coming October 2020
DAWA yenyewe ni ile "faru John" hatimiliki ya mh.mwenyekiti?!!!!

Yah atakuwa rais wa wameza DAWA za Mirembe pale wodi ya ACUTE no.14......πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli Lumumba mbamhanya Lissu. Hiyo project yenu ya kumleta Membe upinzani imeshafeli kabla ya kuanza. Watanzania wa sasa tuna akili sana
Wewe endelea na ushabiki huku jf ila wenye chama wameshamchagua kipenzi chenu cha kuwavusha na kuwapeleka ikulu, si mwingine bali ni jasusi mbobezi na mwanaeiplomasia nguli kama mnavyomuita.
 
Nina elimu ya kidato cha pili, iliyokatishwa na kupoteza mzazi wa kunilipia ada. Ila nina uelewa mpana wa mambo. Huku kwenye siasa wala sibahatishi, ninaijua ndani nje. Yaani kama ww ndio una masters ya sayansi ya siasa, sijutii kutokuwa intellectual.
 
DAWA yenyewe ni ile "faru John" hatimiliki ya mh.mwenyekiti?!!!!

Yah atakuwa rais wa wameza DAWA za Mirembe pale wodi ya ACUTE no.14......πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jiandae October 2020. Lissu ndo anaapishwa. Ni kama Malawi tu mwaka huu.
 
Lisemwalo lipo!

Ukitaka kujua kinachoendelea, angalia maoni ya wanaCDM ambao wako jikoni hasa wale viherehere kama yako neutral kuhusu ujio wa Membe jua tayari mbobezi yupo ndani.

Rondo na Dar kwa sasa wala siyo mbali labda angekuwa Mars!

Hata picha ya kwanza ya Mamvi akiwa na kamati kuu ya CDM pale Bahari Beach ilipovuja mitandaoni tuliambiwa Photoshop!
 
Wewe endelea na ushabiki huku jf ila wenye chama wameshamchagua kipenzi chenu cha kuwavusha na kuwapeleka ikulu, si mwingine bali ni jasusi mbobezi na mwanaeiplomasia nguli kama mnavyomuita.
Naona mnapiga ramli. Endeleeni tu ila msiyempenda TUNDU ANTIPAS LISSU ndo mgombea wa upinzani mwaka huu. Na nakuhakikishia kwa mlivyoharibu kwenye kilimo, uchumi na wafanyakazi kwa miaka hii mitano jiandaeni kumkabidhi nchi na ikulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…