barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mkuu, maipaniki. Jasusi yupo ndani ya ufipa. Tayari kushika usukani...MATAGA naona mnajitungia tungia tu vijistori vyenu. Hicho kigazeti chenu cha "Tanzania Perspective" habari zake tunazo. Ni kijarida cha hovyo tuu.
Chadema tunajua mwaka 2015 tulikosea wapi ingawa faida ilikuwa upande wetu. Hivyo puuzeni uzushi wote unaotolewa na MATAGA.
Membe yupo Rondo huko, Mbowe yupo Dar. Membe hajapewa kadi ya Chadema na mchakato wa uchukuaji fomu za kuomba kuchaguliwa unaendelea. Nyie endeleeni kuota ndoto za mchana.
Sawa.
Ila wenye chama wanamtaka membe. Lissu kuna vigezo hatimizi.
Tunaangalia uhalisia. TAL hana chansi kwa washua kule ushimbonini...Naona mnapiga ramli. Endeleeni tu ila msiyempenda TUNDU ANTIPAS LISSU ndo mgombea wa upinzani mwaka huu. Na nakuhakikishia kwa mlivyoharibu kwenye kilimo, uchumi na wafanyakazi kwa miaka hii mitano jiandaeni kumkabidhi nchi na ikulu.
Hapana. Sio provoker mie.Hapo ndio unaona umewaprovoke cdm!
Tundu lisu anakubalika kote kwani hana Tatizo na hao wazee, shida ipo CCM ndiyo hawataki kumuona akiwa jukwaaniTunaangalia uhalisia. TAL hana chansi kwa washua kule ushimbonini...
Kwa Taarifa yako izo propaganda zilishafeli siku nyingi. Kiuhalisia Chadema inakubalika zaidi na jamii ya wasomi nchi nzima na Ndo mana hata mwenyekiti wenu haachi kuwarubuni vijana makini wa Chadema waunge juhudi mkono.Tunaangalia uhalisia. TAL hana chansi kwa washua kule ushimbonini...
Alisikika bavicha mmoja baada ya kupiga kvant ya kamanda mkuu.Kwa Taarifa yako izo propaganda zilishafeli siku nyingi. Kiuhalisia Chadema inakubalika zaidi na jamii ya wasomi nchi nzima na Ndo mana hata mwenyekiti wenu haachi kuwarubuni vijana makini wa Chadema waunge juhudi mkono.
Sasaivi ni vigumu kuwashinda Chadema Mbeya, Tarime na Songwe kuliko hata Kilimanjaro na Arusha kwa wachaga.
Mnalo mwaka huu.
LOoo, hii ni JF kweli katika ubora wake!Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakubaliana bila wengine kuwa vinyongo.
CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.
Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
Magonjwa! hata mimi Niko tayari kumuunga mkono magu ikiwa huu upuuzi utatendekaKwa nini wajitoe? Wabaki humo humo kumpigia deki Membe barabara za lami.
Al marhum Sheikh Yahaya alifundshwa utabiri alipokuwa jela nchini Misri...wako uliupatia wapi?!!!😂😂😂.Lumumba tulieni. TUNDU ANTIPASS LISSU ndo mgombea wa Upinzani October 2020. Na kwa taarifa yenu mpende msipende mnamkabidhi nchi iyo October
Kwa hyo unakataa kuwa mwenykt wako hakulambishwa MPUNGA wa kubadili gia angani?!!!! Sema suuu....Hakuna mpasuko wowote, hatumuhitaji Membe fullstop.
Former Foreign Minister ,Top Diplomat and retired Senior Spy meets CHADEMA top officials at Dar es Salaam aimed #Election2020 discussion.
The event followed by former Membe (former CCM cadre) who recently returned his Membership Card of the very powerful and influential party in Africa as its roots originate from back to Freedom fighting era.
Sources close to both parties told that CDM want to deploy Bernard Membe due to his popularity as makeshift towards resurrection of the party due to recently internal crisis. The same strategy used 2015 Election to maximize the number of parliamentary seats has been backed by member of the floor, as they face a very stiff competition from President Magufuli who is admired by many in the world.
According to reports CHADEMA Senior figures have made clear that the odds of becoming presidential candidate are against Tundu Lissu and he is too predictable to use 2017 gunshot as @2020Election main strategy to seek public sympathy.
Until late night the members were yet to agree to line up Bernard Membe in 2020 Election due to large divided opinions as many feared not to repeat 2015 blunder Some told Mr. Membe to wait until 2025 but it has been seen so far Membe wont abide any delays.
The meeting Chaired by most influential man in the Party Mr. Freeman Mbowe who has been publicly criticized by outsourcing Former Prime Minister in 2015 Election.
Troll JF
Kama chizi basi muacheni apeperushe bendera ya upinzani mwaka huu.Al marhum Sheikh Yahaya alifundshwa utabiri alipokuwa jela nchini Misri...wako uliupatia wapi?!!!😂😂😂.
Tundu...hatishi lolote sanasana akirudi atatumalizia DAWA zetu za machizi....zle HALOPERIDOL na modicates🤣🤣🤣🤣
Kinachoendelea CCM ni hicho hicho ..... labda ndiyo utamaduni wetu huo Watanzania!Anachopanga Mbowe wafuasi hamna la kupinga