Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Waambie watamuona tu, na hiyo Corona waliyoiandaa itawarudia iwaue wenyewe.
 
Kama chizi basi muacheni apeperushe bendera ya upinzani mwaka huu.

Mnamuogopa TUNDU LISSU kuliko hata mnavyokiogopa kifo. Tulieni tu Huyu ndo msiyempenda na ndo amekuja sasa.
Huna adabu na nchi na watanzania weye😂😂

Kifamilia tu...weye uko radhi kumuozesha CHIZI Yule mdogo wako mrembo wa BAF pale IFM?!! namaanisha Rosemary......😂😂😂
 
Lumumba mnalo mwaka huu. Na kwa taarifa yenu ni kuwa msiyempenda TUNDU ANTIPAS LISSU ndo amekuja sasa.

Nani aliwaambia mumpige risasi??? Hamkufikiri kuwa lile tukio litakuja kumjenga kisiasa????

Ndo hivyo sasa msiyempenda kaja, na mlivyoharibu kwenye wafanyakazi, kilimo, biashara uchumi na haki za binadamu, nawahakikishia jiandaeni kumkabidhi nchi TUNDU ANTIPAS LISSU maana sioni wa kuzuia nguvu ya umma kwake.
 
Ni kweli, hakuna sababu kumaliza nguvu kujadili huu ujinga wa kutunga.
 
Chadema wamtumie kuwabeba huko kwenye mikutano yao lakini asiwe mgombea. Aongeze nguvu kwa Lissu Asante yake baadae
Chadema msifanye kama hatuoni vile!
 
Membe akiweza kuelezea haya vizuri nina hakika hata uchakachuaji wizi wa kura wakurugenziccm kutangaza washindi feki wataogopa, membe akijikita vizuri kuelezea mabaya ya CCM pasipo uoga nina imani ya Malawi yanaenda kutokea Tanzania, moja adai trilion 1.5 ambayo ilipelekea CAG kutolewa kafara, adai bilion 12 alizotafuna Ndungai peke yake, adai kibali cha kujenga Chato Airport adai idhini ya ununuzi wa Ndege. Ufanyike uchunguzi wa miradi yote mikubwa iliyofanyika kipindi hiki cha mtukufu na Naibu Rais, adai pesa cash, faini za mahakamaccm, madini yote vilivyokamatwa mipakani Bandarini Airport na kwingineko kote, adai vyote vyenye ufisadi ili watanzania watambue kuwa CCM ni ile ile ukoo wa panya hakuna malaika CCM wote ni wale wale kama wa zamani ingawa hawa wa sasa wanauma na kupuliza kidogo.
 
Maendeleo ni lazima siyo Hisani za CCM siyo pesa binafsi inatoka mfukoni mwa CCM, maendeleo yanatokana na pesa za walipa kodi ambao wengi siyo wanachama wapenzi wa CCM, walipa kodi wengi ni watanzania wasio na vyama wala itikadi yeyote.
 
That is why his followers call him Mwamba, literally translated Rock!
He is a very clever man especially on monetary and prosperity issues.

Mwamba is very well aware that unless he as captain of the ship spins the gears again in the middle of the ocean, this time the ship is definately going to sink very deeply into the sea and will never be seen again. These are facts, sane or insane, everybody everywhere knows.

The air gear spinning strategy he employed in 2015 of substuting the very popular by then secretary general of his party for a very popular ex-prime minister from the ruling party was very successful. It enabled his party to have a bumper havest of over one third of the members of paliament in the house. It enabled his party to become the major opposition party in the country ripping billions of shillings as government subsdies. That strategy enabled him to get the very prestigious & highly paid post of KUB!

God is great. While the ship is in the process of captisizing, a high ranking spy with reputable international epsionage experience has volunteared to rescue this sinking ship. It is true that most of the voters do not know this man because during his political era he spent most of his time outside the country doing diplomatic epsionage activities. But he has the technical epsionage talents to rescue the sinking ship. How can Mwamba dismiss such an offer coming at the right time. Just as his followers were obedient to lockdown themselves when he so ordered during the covid19 epidemic, we expect them to be obedient when he receives this rescue offer from this man. We

They are going to sing, 'Mwamba tuvushe.........'

 
A
Acha kulialia....ww ni mmoja wa wale WATAKASA FEDHA wa zile Bureau de change?!!?
 
Miaka 5 hakuna nyongeza ya mshahara watumishi wa umma wametaabika mpaka kubuni mbinu za kisasa za kuiba ili wapate kujikimu, wizi unafanyika kwa mbinu ambazo watakuja kuzigundua miaka 6 ijayo kukiwa na Rais mwingine au hao hao endapo wataisigina katiba kama uganda.
 
Sasa umesikia hz BUMU za mikopo inayowasaidia watoto wa vyuo vikuu inatoka MAKULU AMA WHITE HOUSE CCM DODOMA?!!!acha kudhihaki pesa ya wavuja jasho wa nchi hii
Maendeleo ni lazima siyo Hisani za CCM siyo pesa binafsi inatoka mfukoni mwa CCM, maendeleo yanatokana na pesa za walipa kodi ambao wengi siyo wanachama wapenzi wa CCM, walipa kodi wengi ni watanzania wasio na vyama wala itikadi yeyote.
 
Kuing'oa CCM madarakani mwaka huu, na sio mwaka mwingine, ni hitaji la kila mtazania mwenye akili timamu na anayeishi kwa kujitegemea mwenyewe, na si kwa kurushiwa makombo na CCM. Ndani na nje ya CCM kuna hitaji kubwa la kukiondoa CCM madarakani ifikapo Oktoba 2020 kupitia sanduku la kura. yapo mazingira yanayomtofautisha Membe na Lowasa, ingawa inaweza kuwa vigumu kueleweka kwa wengi. Lakini, ilmradi waliodhamiria kukiondoa madarakani CCM mwaka huu ni pamoja na wanaCCM wenyewe, hata kama atakuwa Membe potelea pote ilimradi mpango ni kuking'oa chama katili na wakatili wake!
 
A

Acha kulialia....ww ni mmoja wa wale WATAKASA FEDHA wa zile Bureau de change?!!?
Duka moja la mchele likiiba mchele mnaenda kupora mchele kwenye maduka yote? na zile pesa ulichukua wewe inaelekea wewe ni mnufaika wa ile operation uliiba pesa nyingi sana hutaki warudishiwe kwa hofu ya kudaiwa
 

Huyo Membe anaweza kubweka akiwa upinzani tu? Kimemmshinda nini kubweka akiwa ccm hadi amekatwa na watu watano tu, na hajafanya lolote?
 
Nikumbushe hv nyongeza za MISHAHARA kipindi Cha mh.kikwete kilikuwa kinaRANGE kiasi gn vile?!!!

KUHUSU wastaafu waliokatwa malipo yao kwa AJILI ya KIINUA MGONGO kwa miaka ile 15 ya kisheria....kipindi hk Cha magufuli wanaingziwa kila mwezi....kila mwezi....tofaut na kpnd Cha mh.kikwete....huko kwenu HAKUNA wazee wastaafu wote ni wakulima TU?!!!!
 
A
Duka moja la mchele likiiba mchele mnaenda kupora mchele kwenye maduka yote? na zile pesa ulichukua wewe inaelekea wewe ni mnufaika wa ile operation uliiba pesa nyingi sana hutaki warudishiwe kwa hofu ya kudaiwa
Acha uzwazwa serikali haipori watu wake wee....serikali ya magufuli asiyetaka uonevu?!!!
Waliokwenda NI Askari polisi....magufuli anawaogopa Askari polisi asiwakosoe huyu baba mwenye HURUMA?!! Thubutuu

Hii SI serikali ya IDD AMIN DADA na Mobutu kuku ngbendu wa zabanga😂😂😂
 

Hizi sifa zote ulizomwagia Membe ni sawa, ila aende ACT au UDP, cdm hapana.
 
Wewe ndiyo zwazwa hizo kesi wanazobambikiwa wapinzani hufanywa kwa idd Amin dada?
 
Yaani nilijamba kwa kukudharau....uliposema tu "ndani ya CCM Kuna hitajio la kuking'oa madarakani"......

Kwa kukusoma TU najua we ni inexperience wa vingi....
Km una umri zaidi ya miaka 25 ntajua ndio nyinyi vijana "waliberali" wavaa skin jeans za RANGI ya njano na other crazy colors,kujichubua na VIDUKU kichwani.....

Km sivyo bx ww ni zwazwa ndwanye HOBOBO...
Yaaani kabisa mwanaCCM mwanachama,mwenye kadi yake,mfuatiliaji wa ya nchi....aliyeiva madarasa yetu ya ITIKADI...Leo atake CCM IONDOKE MADARAKANI...ama kioja....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…