Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Chaguo ni Tundu lisu lakini kazi ni vipi Tundu lisu atapenya kwenye mitego ya Naibu Rais Bashite na kikundi chake.
 
Mzee wewe upo sayari ipi? au upo mwenzini haupo Duniani? Kama upo Duniani iweje umejitoa fahamu kiasi hicho?

Mbona bado niko sober sjaianza ile chupa yenye faru John hatimiliki ya mh.mwenykt.....
Hujanijibu nilichokuuliza...πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ninakubaliana na wewe katika hiyo hoja ya fursa ya kipekee iliyojitokeza safari hii ya kuiondoa CCM madarakani.

Itakuwa ni udhaifu tu wa vyama vya upinzani ikishindikana kuiondoa mara hii.
 
Pole BOY. Lissu only
 
Ninakubaliana na wewe katika hiyo hoja ya fursa ya kipekee iliyojitokeza safari hii ya kuiondoa CCM madarakani.

Itakuwa ni udhaifu tu wa vyama vya upinzani ikishindikana kuiondoa mara hii.
Peni bwana,Chadema waliingia makubaliano na wenzao ktka vpngl hv;
1.WAACHIANE MAJIMBO

Wakakaidi majimbo mengi tu....

2.WAGAWANE RUZUKU ITAKAYOPATIKANA KWA SABABU YA IDADI YA WABUNGE BUNGENI KWA HUYO MGOMBEA MMOJA LOWASSA

Wakawachinjia wenzao baharini bila kuwagawia hta Senti 5.

SIUONI MUUNGANO WA VYAMA VIKUU VYA UPINZANI NA CHADEMA labda mh.Mbowe ajiunge na mwanasheria HASHIM RUNGWE,ADC na Yule mzaramo mvaa bereti nyekunduπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Chaguo ni Tundu lisu lakini kazi ni vipi Tundu lisu atapenya kwenye mitego ya Naibu Rais Bashite na kikundi chake.
Kazi yetu ni kupambana na huu ukandamizaji.Tusiukwepe. Ni Lissu tu.
 
Alafu wewe inaonekana unampenda sana Musiba na Le Mutuz

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Mpishi huyu bwana unakoroga tu propaganda....angalia mbona SUFURIA imetoboka lakini...
 
Kuna wanaume na watoto wa kiume, na kuna watoto wakiume wenye tabia za kike au usenge ndani yake. Ni mara kadhaa wewe na genge lako umekuwa mtetezi wa ujinga unao endelea ndani ya cdm. Leo unajifanya kutoa maoni kama sio mwanacdm. Mwaka 2015 walituharibia chama, wengi tuliamua kutokupenda upinzani na kujiweka pembeni na siasa. Hatupendi yanayofanywa na ccm ila hatuoni mpinzani wa kweli mwenye kusimamia sera zake.
Wewe ni cdm lialia, mlimsapoti lowasa na kuona babu slaa chizi, mliwakumbatia na kuwatetea mafisadi. Baada ya kurudi kwao, mkaanza kuwatukana tena. Wengi wa wafuasi wa cdm ni watoto wa kiume wenye tabia za kike au usenge, ni wepesi sana kubadirika kama ulivyo wewe.
Hii ni karma, mjifunze kutunza maneno.
Kwa kuwa ni tetesi, tuchukulie kuwa uongo ili mbaki kuwa kwenye utoto wa kiume labda mtaingia kwenye sifa zetu za uanaume.
Mnabore sana nyinyi na ndio mnaosababisha cdm inachukiwa, coz mnasapoti kila ujinga na kupinga hata yale mema madogo. Ni wepesi wa kusahau shukran.
 
FactsπŸ‘ˆπŸ‘ˆπŸ‘ˆπŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
CHADEMA si wajinga wasioweza kujifunza kwa makosa. Huu ni ujumbe wa wanaccm kupima upepo ndani ya CHADEMA. Huko kunaogopwa. Pamoja na kubanwa na utawala wa zama hizi lakini bado ni tishio!
 
Kumbuka ccm inaungwa mkono wa watu wasiojua kusoma, mbumbu, wajinga, wapiga makofi na wanaosapoti kila ujinga wa miaka zaidi ya 50. So sidhani kama wanaweza kuandika kiingereza 😎😎😎🀣🀣🀣.
Hili bandiko litakuwa la wanacdm wenye mashaka na wasiopenda membe aje ili kuficha aibu ya mwaka 2015.
Hili ni bandiko la CDM kwa 100% coz ndio wasomi pekee hapa nchini.
 
Wait and see!!
 
Kwi kwi kwi eti sisi CCM hatujasoma...eti sisi CCM hatujui KIINGEREZAπŸ˜‚πŸ˜‚

Si bure we hauko sober...
Si bure utakuwa ushafakamia ile kitu pendwa bwana faru John hatimiliki yake mh.CHAIRMAN....
 
Chadema imezidiwa sana .na inaweza zimika kabisa wala wasipate hata jimbo moja kutokana na nguvu ya JPM.so kupanga ni kuchagua.akiwekwa membe anayejua mbinu zote chafu anaweza saidia kurudisha taswira mpya ya CDm.hata kama hatashinda lakini atausha chama

Honestly speaking,Cdm imeanza kupoteza uaminifu hasa na makando kando ya mwenyekiti kuhusu matumizi mabaya ya ofice na ufisadi alioshutuniwa nao na bila ya kukanusha kwa data.

Naiona ACT na NCCR mageuzi zikirudi kw kasi.waendelee kuwaita NCCR wanatumika na chama tawala.lakini ndiyo watakaoingiza viti vingi na hatimayo ruzuku ya kutosha.Chama ni fedha.kama huna fedha huwezi endesha chama.

Kupanga ni kuchagua,waendelee kurumbana, Membe atageukia Act au NCCR lakini siyo CUF.chama kitakachomsimamisha Membe kitapaishwa.Ingawaji Membe hatashinda Uraisi.Wala Lisu hata shinda pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…